Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zimamoto JNIA kutoa mafunzo endelevu

KITUO cha Zimamoto na Uokoaji cha Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kitaendelea kutroa mafunzo ya uzimaji moto na uokoaji kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUIMARISHE USAWA WA KIJINSIA NA KUWEZESHA WANAWAKE VIJIJINI-DC MCHEMBE

Wilaya ya Gairo imefanya maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8 kupanda miti ili kuashiria uhai kwa wanawake waliokata tamaa. Zoezi hilo liliongozwa na mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Gairo,...

View Article

Introducing "Sitokuweza" Official Video by Byson Barlow

View Article

INTRODUCING "WAYU WAYU" BY DOGO JANJA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB TAWI LA VIVA WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUWAHAMASISHA...

 Mgeni rasmi GeminaLukuvi akizungumza wakati wa benki ya CRDB tawi la VIVA wakisheherekea siku ya wanawake dunia pamoja na kuwashawishi  jinsi ya kuhifadhi pesa zao za akiba kwa kila mwezi kwa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASASI YA KIRAIA YA FEDHA KUJA NA MRADI WA “VIJANA NA ELIMU YA PESA” (VIEPE)

 Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya kiraia ya FEDHA Jafari Selemani  akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo pamoja na kutambulisha mradi wa "Viepe" kwa kutoa elimu kwa vijana wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AzamFc kuvaana na Mbao FC kesho.

Kikosi cha Azam FCNa Agness Francis Globu ya jamii. KLABU Bingwa Afrika Mashariki na kati AzamFc  kuvaana na MbaoFC ya Jijini Mwanza   baada ya kumalizana na Mwadui FC  ambapo wanalambalamba hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATU MZUKA YAKABIDHTI KALENDA 500 KWA JESHI LA POLISI,IGP SIRRO ATOA NENO

Kampuni ya Bahati Nasibu Tatu Mzuka imekabidhi kalenda 500 kwa Jeshi la Polisi nchini,kama mwanzo wa uhusiano mwema utakaozaa matunda kati ya Tatu Mzuka na Jeshi la Polisi. Akizungumza na waandishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII ITB BERLIN 2018 NCHINI...

Na Mwandishi Wetu - Berlin, UjerumaniKatibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maj. Gen. Gaudence S. Milanzi ameongoza msafara wa Tanzania unaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya ITB...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SDA YATOA MAFUNZO KWA SANAA YA MAIGIZO YA JUKWAANI

Ili kupunguza Changamoto zinazomkabili Mwanafunzi hasa wa KikeShirika la Sports Development Aid SDA Limefundisha Sanaa ya Jukwaani walimu wa shule kumi za Mkoa wa Mtwara Manispaa na Mtwara Vijijini kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAONGEZA HUDUMA ZA MATIBABU YA UGONJWA WA FIGO.

Na WAMJW. Dar Es salaam.SERIKALI kupitia Wizara wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imeongeza wigo wa kutoa huduma za matibabu ya ugonjwa wa figo nchini kwa kuongeza vituo vya usafishaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWT YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI KUZUIA MAANDAMANO

*Watangaza vipaumbele vinne watakavyoanza navyo*Waomba viongozi kutoa kauli za kudumisha mshikamanoNa Said Mwishehe,Globu ya JamiiKAMATI ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SORING WOMEN INTERNATIONAL WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2018

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.  Wanawake wanaweza kuleta mabadiliko ya maendeleo katika jamii ikiwa watasimama imara kwa pamoja na kuwezesha wenzao ambao hawana elimu ya kutosha. Hayo yamesemwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA

Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga imesema mpaka ifikapo machi 31 mwaka huu, itawachukulia hatua Kali za kisheria wazazi na walezi wote ambao watoto wao wamefaulu na hawajaripoti shuleni mpaka sasa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AWATAKA WATANZANIA KUJENGA UTAMADUNI WA KUFANYA MAZOEZI YA VIUNGO

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo ameongoza zoezi la kufanya mazoezi kwa watumishi wa Wizara hiyo na Taasisi zake za Chuo cha Serikali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI

 Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Great Hope Foundation, Noelle Mahuvi akizungumza wakati wa Sherehe ya uzinduzi wa tuzo za uwezo kwa shule za Sekondari zilizopo katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM REDIO YAWAWEZESHA KINAMAMA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

Efm redio katika kuadhimisha siku ya wanawake ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 8 machi kila mwaka, imetimiza jukumu iliyojipatia kuwasaidia wanawake wanaolea watoto wao wenyewe “single mothers”...

View Article
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live




Latest Images