Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110150 articles
Browse latest View live

HOTUBA YA WAZIRI UMMY SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI RUKWA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO

Kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye tarehe za kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria na DR Congo kimetajwa leo Alhamis Machi 8,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGORONGORO HEROES YAINGIA KAMBINI

Kikosi cha timu ya Taifa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wake wa raundi ya kwanza ya kuitafuta tiketi ya kucheza fainali za vijana za Africa dhidi ya Congo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MWANAMEMA SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ZANZIBAR

Akizungumza katika maadhimisho ya ‘Siku ya Wanawake Duniani’ yaliyofanyika leo Machi 8, 2018 katika kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja, mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZASEATTLE COMMUNITY PRESENTS MUUNGANO DAY/DICOTA KICKOFF IN SEATTLE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA KIBAHA ASSUMPTER MSHAMA AAHIDI NEEMA KWA KINAMAMA WILAYANI HUMO

MKUU wa Wilaya ya Kibaha Bi Assumpter Mshama amewaahidi kina mama wajasiriamali wa Wilaya ya Kibaha kuwa atazungumza na uongozi wa Halmashauri ya Mji  ili itengwe  siku na eneo maalum  kwa ajili ya...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 08.03.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

Na Zaynab Nyamka, Globu ya JamiiBalozi wa Kuwait nchini  Mhe. Jasem Al-Najema amezindua kisima cha 61 katika Shule ya Msingi ya GEZAULOLE Wilayani Kigamboni, Dar es salaam ikiwa ni mwendelezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA...

 Mjumbe wa halmashauri kuu (MNEC UWT), Halima Okashi akitoa zawadi kwa Mmoja ya Wanawake waliolazw aktika wodi ya wamama katika Hospitali ya Mwananyamala ambapo UWT Kinondoni walifika katika Hospitali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HDIF YAWAWEZESHA WANAWAKE TANZANIA KATIKA NYANJA YA UBUNIFU

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiSERIKALI imesema inaendelea na utaratibu wa ukarabati wa shule kongwe nchini ikiwemo za sekondari na ufundi ili kuwasaidia wanafunzi kujifunza masuala mbalimbali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA...

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Taifa(UWT), Amina Makilagi akizungumza wakati wa Warsha ya Wanawake Wajasiliamali iliyoandaliwa na Uhuru Fm katika mahadhimisho ya siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO MARCH 9,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI TABORA

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete akimpongeza Mbunge wa Vitimaalum mkoa wa Tabora Munde Tambwe baada ya kupokea kiasi cha shilingi milioni moja kwaajili ya TIKA huku Mbunge huyo Munde Tambwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMCHUKULIA HATUA MHANDISI ULANGA

 Naibu Waziri wa Majina Umwagiliaji, Jumaa Aweso akishuka mara baada ya kukagua tenki la mradi wa maji wa Gombe, wilayani Ulanga, mkoaniMorogoro.   NaibuWaziriwaMajinaUmwagiliaji, JumaaAweso...

View Article

MBUNGE WA TUNDURU KUSINI AKABIDHI PIKIPIKI 15 KWA MAKATIBU KATA.

Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kusini wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Daimu Mpakate amekabidhi pikipiki 15 zenye thamani ya shilingi milioni 23 kwa makatibu kata 15 wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE MSD WATOA MSAADA HOSPITALI YA TEMEKE NA MAKAO YA WATOTO YATIMA...

 Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa MSD, Neema Mwela, akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Amaani Malima,  Mfuko wenye vifaa vya kujifungulia akina mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MSHAMA AWAASA WANAWAKE KUACHA KURUDISHANA NYUMA KIMAENDELEO NA FITNA

Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama.Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha.MKUU wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama ,amewaasa wanawake kuacha tabia ya kurudishana nyuma kwenye maendeleo,fitna na kuwabeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yashirikiana na Polisi kikosi cha usalama barabarani katika ukaguzi ya...

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendeleza juhudi zake za kushirikiana na jeshi la Polisi Tanzania ambapo kwa sasa wameshirikiana na polisi kikosi cha barabarani kuitikia wito uliotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MAJI ZATANGAZWA TENA.

Shirika lisilo la kiserikali la Shahidi wa Maji kwa kushirikiana na wadau mbalimbali nchini na ne ya Tanzania kupitia programu yake ya Uhakika wa Maji, imetangaza kuongezwa muda wa uwasilishwaji wa...

View Article

NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO.

Bank ya NMB tawi la Namtumbo Mkoni Ruvuma imetoa msaada wa vifaa vya hospital ambavyo ni vitanda vya kujifungulia akina mama, vitanda vya kawaida, mashine za shinikizo ya damu na mashuka. Kaimu Meneja...

View Article
Browsing all 110150 articles
Browse latest View live




Latest Images