WASANII WA FILAMU BONGO KUPELEKWA NIGERIA NA DRC KUENDELEZA KAZI ZAO
Mkurugenzi wa Mad Mad Entertainment, Yasmin Razak (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kampuni yake kuingia mikataba na wasanii wa filamu wa Tanzania...
View ArticleRais Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Msumbiji na...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Msumbiji na Indonesia ikulu jijini Dar es Salaam.Mhe.Zakaria Anshar wakiwasilisha hati zao za utambulisho kwa...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Hadi leo Ankal anazimia na ngoma ya Otis Redding ya 'Direct Me'
View ArticleTimu ya Simba ikiwa Nchini Oman
Wachezaji wa timu ya Simba wapo nchini Oman kwa kambi maalum ya kujifua wakati wakijiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ambapo jioni ya leo wanakipiga na timu ya taifa ya...
View ArticleMdau akipeperusha bendera yetu maeneo ya utalii
Ankal, Mdau katika harakati zake kutalii maeneo maarufu kwa watali toka pande zote za dunia akipeperusha jina TANZANIA kwa kutumia 'uzi' jezi inayovutia . Maeneo hayo ni pwani za SRI LANKA na Thailand...
View ArticleJamaa wametega.......
Wakati Mahabusu wakikosa haki ya kupelekwa mahakamani wilayani Ruangwa kwa kukosekana Mafuta ya gari la kuwachukua Magereza Nachingwea,Cha ajabu ni kwamba Mafuta ya kwenda umbali kama huo wa Nachingwea...
View ArticleINDOMA TOURS ZANZIBAR KUJA NA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA
Kampuni ya Utalii ya Indoma Tours ya Mjini Zanzibar, inawaleate mchezo mkali wa Kirafiki wa Kimataifa wa Soka, kati ya timu ya Skonda Flota kutoka Barani Ulaya na Timu ya Sale Mdosi Hardware, ya mjini...
View ArticleShirika la ndege la Precision Air yazindua safari za Mbeya
Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri wa Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akikata utepe kuzindua Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe. Kushoto...
View ArticleWAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA TV KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA MJINI DODOMA
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na Walezi wa Kituo cha watoto yatima cha Kijiji cha Matumaini wakati alipotembelea kituo hicho,mjini Dodoma na kutoa Msaada wa Luninga kwa ajili ya...
View ArticleBarabara ya Lindi kwenda Ruangwa hali ni tete
Tanroads tupieni jicho Barabara ya kutoka Lindi kwenda Ruangwa ukianzia Michenga hadi Kitandi Hali ni mbaya.Natoa wito kwa Madereva waedao Ruangwa kuwa makini kutokana na maeneo mengi ya barabara hiyo...
View ArticleAMERICAN PEOPLE PROMOTE TOURISM SECTOR DEVELOPMENT IN TANZANIA
On January 15, 2012 U.S. Embassy Public Affairs Officer Dana L. Banks (left) met with Ms. Scholastica Ponera, (right), Managing Director of Pongo Safaris and Tours Limited at the U.S. Embassy in Dar es...
View Articlekikosi cha timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini chatua leo jijini...
Kikosi cha Wachezaji 28 na viongozi 11 wa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini,wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili mchana wa leo kwa ndege ya shirika la Afrika Kusini, kwenye...
View ArticleUFUNGUZI WA VISIMA 30 KATIKA MAENEO YA WILAYA 6 KAME TANZANIA VILIVYOCHIMBWA...
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe (katikati) akishirikiana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Serikali ya Misri Prof. Dr. Mohamed Bahaa El-Din Ahmed (kulia) kukata utepe...
View Article52 WACHUKUA FOMU TFF, 50 WAREJESHA
Wanamichezo 50 kati ya 52 waliochukua fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Februari 24 mwaka huu wamerejesha...
View ArticleZIARA YA KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA KATIKA GEREZA LA MAHABUSU LA...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu akizungumza na Mahabusu na Wafungwa wa Gereza la Segerea jijini Dar es Salaam...
View ArticleALLIANCE AUTOS YASAIDIA TIMU YA DAR LEOPARDS RUGBY CLUB
Meneja Mkuu wa Alliance Autos, wakala wa Volkswagen nchini, Alfred Minja akikabidhi jezi kwa timu mchezo wa raga (Rugby) ya Dar Leopards jijini Dar es Salaam. Anayepokea ni Mwenyekiti wa Dar Leopards...
View ArticleTaarifa ya Msiba
Familia ya ndugu Demba Sow, inasikitika kutangaza Kifo cha mke wake mpenzi Monique Demba Sow Kasongo. Kilichotokea Burhani Hospital 14-1-13 saa 2 usiku. Habari ziwafikie watoto wa Marehemu, Yan Sow na...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, GERGORY TEU AFANYA ZIARA KATIKA VIWANDA...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa kuhusu picha ya...
View Article