Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Mabula apambana kuondoa kero tatizo la Maji Shule za Msingi.

Mhe Stanislaus Mabula Leo amemkabidhi tenki kubwa la maji Diwani mteule Kata ya Isamilo Mhe Charlse Nyamasiriri linaloweza kuhifadhi lita 10000 za maji kwa ajili ya shule ya Secondari ya Ole Njoolay...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TGNP Mtandao wakutanisha madiwani 20 kujadili kushirikiana

Zaidi ya madiwani 20, kutoka mikoa mitano na wilaya Nane wamekutana jijini Dar Es Salaam, kubadilishana uzoefu na kujifunza jinsi ya kushirikiana na wananchi katika kuleta maendeleo katika kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA TENA UGENINI DHIDI YA SINGIDA UNITED KOMBE LA FA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Droo ya upangaji wa ratiba ya michezo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam sports Federation Cup (ASFC) imefanyika mapema mda huu na kila timu kumfahamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Pesa to offer Masterpass QR in Tanzania

With over 40 million mobile users in Tanzania, there is a real opportunity to use technology to financially connect those not yet included. Tigo Tanzania, Mastercard and leading local fintech Selcom...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Mwijage afanya ziara Mkoani Njombe

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka alipomtembelea ofisini kwake kupata taarifa ya Viwanda na uwekezaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYONGO ATAKA MADINI YA NICKEL YAONGEZWE THAMANI NCHINI

Na Veronica Simba – NgaraNaibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema kuwa Serikali itaboresha mazingira ya uwekezaji wa Madini ya Nickel yanayopatikana Ngara mkoani Kagera lakini pia itahakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi wa Udom waunga mkono Jitihada za Elimu Bure

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMIWanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wanaosomea Shahada ya Ualimu wameunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika  Utoaji wa Elimu Msingi bila malipo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam FC, Mtibwa Sugar Uso kwa uso FA.

Na Agness Francis, Globu ya jamii Kikosi cha AzamFc kukutana na Mtibwa sugar robo fainali ya Michuano  Kombe la Shirikisho  la Azam Sports  Federation Cup (ASFC). Ambapo Mabingwa wa Afrika Mashariki na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA

Na Benny Mwaipaja, WFMWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uchumi Mpana, Biashara na Uwekezaji wa Benki ya Dunia, Dkt. Felipe Jaramilo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA ALIYENUSURIKA KULIWA NA MAMBA MTONI AFANYIWA UPASUAJI MOI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiDAKTARI Bingwa mwandamizi wa upasuaji mifupa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa(MOI), Paul Marealle amesema tayari wamemfanyia upasuaji Martha Malambi (25)ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KWANZA WA GLOBAL DRYLAND ALLIANCE ULIOFANYIKA...

Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Mhe. Fatma M. Rajab (wa kwanza kulia walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe walioshiriki mkutano wa kikao cha Kwanza cha Wajumbe wa Global Dryland Alliance....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19

Na,Consolata Evarist,GeitaBaraza la madiwani wa halmashauri ya mji wa Geita,Wilayani Halmashauri ya Mji Geita limepitisha makadirio ya bajeti ya matumizi ya ya mwaka wa fedha 2018/2019 kiasi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFADHILI WARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI MAJARIBIO WA KUTUMIA TEKNOLOJIA KWA...

Wadau wa mradi wa miaka mitano wenye lengo la kutumia teknolojia ya kisasa kuwawezesha watoto waliona fursa ndogo ya kupata elimu katika umri wa miaka tisa hadi kumi na mmoja, kujifunza wenyewe stadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AFANIKISHA SAFARI YA MATIBABU YA ALBAITY CHINA

Na Emmanuel Masaka, Globu ya JamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhi tiketi za ndege za watu wanne kwa ajili ya safari ya matibabu ya kijana Ahmed Albaity ambaye ambaye anakwenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA WAAHMADIYYA TANZANIA YAWEZESHA MAJI WAKAZI WA MITAA YA KATA...

Na John Nditi, MorogoroWANANCHI wa mitaa ya Kata ya Kihonda Maghorofani , Manispaa ya Morogoro  wameondokana na adha ya kutopata uhakika maji safi na salama baada kujengwa kituo cha kuchota maji ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WA CHINA ALIPA MILIONI 110/- KUKWEPA KWENDA JELA MIAKA 20

Na Karama Kenyunko, Blogu ya JamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Raia wa China, Liu Xiu Feng kutumikia kifungu cha miaka 20 jela ama kulipa faini ya Sh.milioni 110 baada ya kukiri kosa la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC KESHO KUIKARIBISHA SINGIDA UNITED CHAMAZI

Na Agness Francis Globu ya jamiiKLABU Bingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC kesho itawakaribisha Singida United ya mkoani Singida kwenye mchezo wa raundi ya pili ya michuano wa kuania ubingwa wa Ligi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHABA MADARASA WASABABISHA WANAFUNZI 346 KIDATO CHA KWANZA KUSHINDWA...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,JUMLA ya wanafunzi 346 wa kidato cha kwanza wilayani Kakonko mkoani Kigoma,wameshindwa kuripoti shuleni kutokana na shule walizopangiwa kuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa.Hali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAND UNITED WAPUNGUZA SPIDI YA SIMBA LIGI KUU

Na Zainab Nyamka Globu ya Jamii.STAND United yapunguza spidi ya Simba!Ndio kauli ambayo unaweza kuitumia baada ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba kushindwa kufurukuta mbele ya wapiga debe wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEKUWA MWANAJESHI, WENZAKE WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 20

Na Karama Kenyunko,Blogu ya jamiiALIYEKUWA mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ),Ex MT 66807 na wenzake watatu wamehukumiwa kwenda jela miaka 20 baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno...

View Article
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live




Latest Images