Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110095 articles
Browse latest View live

MICHUZI TV GOSSIP: SHILOLE APONZWA NA MILIONI 3, ROMA MIEZI 6 BENCHI..

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM ZANZIBAR YATOA AGIZO ZITO KWA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.TASNIA ya Habari ni sekta muhimu inayoziwezesha Serikali mbali mbali Duniani kuimarisha dhana ya Demokrasia kupitia matangazo na taarifa za utekelezaji wa Ilani ya Chama...

View Article

INTRODUCING NEW SINGLE "KILANGA" BY STANREX

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA NA STAND KUCHEZA UWANJA WA TAIFA KESHO, DROO KOMBE LA SHIRIKISHO LA...

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara mzunguko wa 19 inaendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaowakutanisha Simba ya Dar es Salaam dhidi ya Stand United ya Shinyanga Mchezo huo utakaochezwa saa 10 jioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019

Na Emmanuel Masaka,Globu ya JamiiBARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam limepitisha makadirio ya mapato kwa mwaka 2018/2019Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa Mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOA KIBANO KWA WATENDAJI WANAOHUJUMU FEDHA ZA SERIKALI.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefunga kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Elimu na Mipango ngazi ya Mikoa, Wakaguzi wa ndani wa Hesabu, na Maafisa Elimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga (CCM) amefanya ziara ya kukutana na akina mama wafanyabiashara ndogo ndogo zaidi ya 250 wanaofanya shughuli zao katika Soko Kuu, Mtaa wa Sukari na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama Kinondoni yamuhumuku msanii Shilole kulipa milioni 14 ndani ya wiki...

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI...

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Christina Mndeme akifuatilia maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Mtiangimbole kilichopo katika Halmashauri ya Madaba ambapo jumla ya sh. Milioni 500 zimetolewa na Serikali...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 01.03.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO MARCH 2,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MGIMWA ATOA VIFAA VYA UJENZI JIMBONI MWAKE

MBUNGE wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 12 vitakavyotumika kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu na afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJLIWA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI MBECHA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary Majaliwa, wakiwasalimia watoto wa shule ya msingi Mbecha, katika kijiji cha Mbecha Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani humo kwa ziara ya kikazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAGIZA OPERESHENI YA KUONDOA WAVAMIZI WA KIGENI KATIKA KISIWA CHA...

.........................................................................................Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa siku 7 kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori...

View Article

Article 4

CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA, KILICHOPO USA-RIVER, ARUSHA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019 KAMA IFUATAVYO:ASTASHAHADA (CERTIFICATE)1.      Astashahada (Certificate) ya ICT (mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TACAIDS KUANZA KAMPENI KUHAMASISHA WANAUME KUPIMA AFYA ZAO-MABOKO

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniTUME ya Taifa ya kudhibiti ukimwi (TACAIDS), inatarajia kuanza kampeni za kitaifa kuhamasisha wanaume kupima afya zao ,ili kujenga tabia ya kujitokeza kujua afya zao kwani ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mkoani Njombe.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka alipomtembelea ofisini kwake kupata taarifa ya Viwanda na uwekezaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI TAMASHA LA PASAKA YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAZIDI KUMIMINIKA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akizungumza mapema jana mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani),jijini Dar kuhusiana na  maandalizi ya Tamasha la Pasaka 2018  litakalofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 11.4 KUBORESHA WAKALA WA NDEGE ZAKE

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kuboresha Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) ambayo inasimamia na kuendesha ndege ambazo zinasafirisha viongozi wa kitaifa wa SerikaliHayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘TUTAIFANYIA MABADILIKO MAKUBWA TUME YA UMWAGILIAJI’-AWESO

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso amesema wizara yake itaifanyia mabadiliko makubwa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutokana na udhaifu mkubwa aliougundua kiutendaji, hali inayosababisha...

View Article
Browsing all 110095 articles
Browse latest View live




Latest Images