Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MADIWANI WAIKATAA MIRADI MINNE YA MAJI KAKONKO

Na Rhoda Ezekieli, KigomaBARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameikataa miradi minne ya maji yenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni mbili iliyoanza kutekelezwa tangu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU

Na Karama Kenyunko,Globu ya JamiiHALI ya taharuki imeibuka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutokea kwa mlipuko wa moto uliosababishwa na Transfoma.Akizungumza na waandishi wa habari,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA...

 Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt. Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Venance Mwamoto (kushoto) na Makamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI KIJIJI CHA KIBAMBA JIMBONI MKURANGA

Na Emmanuel Masaka ,Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga Abdalah Ulega ameweka jiwe la msingi katika Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii Roma Mkatoliki afungiwa miezi sita kutofanya kazi za sanaa

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMSANII wa muziki wa kizazi kipya Ibrahim Mussa a.k.a Roma Mkatoliki amefungiwa kwa kipindi cha miezi 6 baada ya kukaidi agizo la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAELEZWA NAMNA HALIMA MDEE ALIVYOITA WAANDISHI KUPINGA KAULI YA RAIS

Na Karama Kenyunko, Blogu ya JamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa mbunge wa Kawe jijini Dar as Salaam, Halima Mdee aliitisha mkutano na waandishi wa habari ili kupinga kauli ya Rais John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AKUTANA NA UGENI KUTOKA UTURUKI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu amekutana na ugeni kutoka nchini Uturuki ukiongozwa na Balozi wao Dkt. Ali Daoutoglu mapema leo katika ofisi ndogo za Wizara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MA-DED WATAKIWA KUSIMAMIA WATOTO YATIMA WAPATE ELIMU.

NA TIGANYA VINCENTMKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka Wakurugenzi Watendaji wote kuhakikisha watoto yatima ambao hawana ndugu maeneo wanawasidia kupata fursa  ya elimu na huduma nyingine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAMUONYA NAY WA MITEGO

Na Zainabu Nyamka, Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza amemtaka Msanii Emmanueli Elibariki maarufu Ney Wamitego kuacha kutumia maneno yenye utata yanayolenga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ KUWAAGA MAJENERALI WASTAAFU KESHO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waliomaliza Shule ya Msingi Bunge 1997 watoa msaada wa viti 20 kwa shule hiyo

Umoja wa Wanafunzi waliomaliza Shule ya Msingi Bunge mwaka 1997 iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wametoa msaada wa viti 20 kwa shule hivyo ambayo vitatumiwa na walimu ambao wanafundisha katika shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MTAKA AWATAKA WANANCHI, VIONGOZI SIMIYU KUTOA USHIRIKIANO UTAFITI WA...

Na Stella Kalinga, SimiyuMkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi na Viongozi Mkoani humo kutoa ushirikiano kwa wadadisi na wataalam wa Takwimu katika utafiti wa mapato na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA HALI YA HEWA WAMETABIRI UKWELI KUANZA KWA MVUA LEO

Na Leandra Gabriel, Globu ya JamiiKWA mara ya kwanza wamepatia!Ndivyo ambavyo kwa siku ya leo baadhi ya wananchi hasa wa Jiji la Dar es Salaam wanavyodai baada ya mvua kunyesha kama ambavyo Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO

Na Emmanuel Masaka,Globu ya JamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewatangazia wananchi wote ambao wamewasilisha malalamiko kwenye ofisi yake dhidi ya taasisi za fedha na benki kufika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAJIHAKIKISHIA KUIBUKA KIDEDEA DHIDI YA SINGIDA UNITED

Na Agness Francis, Globu ya jamiiTIMU ya Azam FC imeendelea kujifua kikamilifu kwa lengo la kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Singida United,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAAHIDI KUSIMAMIA UPATIKAJI WA BIMA KWA WACHEZAJI LIGI KUU

Na Humphrey Shao, Globu ya jamiiRAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Warace Karia amesema atasimamia suala la bima kwa wachezaji wanaoshhiriki katika Ligi Kuu pamoja na ligi mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU...

Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali wa Kampuni ya simu za mkononi  Tigo, Sylvia Balwire akisaini ubao wa uzinduzi wa mfumo usajili wa laini za simu unaotumia alama za vidole kuhakiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI UFUNGUZI WA OFISI YA KATA KIMANGE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ashiriki katika Ufunguzi wa Ofisi ya Kata ya Kimange na kuzungumza na Wananchi mafinikio yaliyofikiwa ktk kutatua migogoro ya Wakulima na Wafugaji, Elimu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Adelardus Kilangi, leo (Alhamisi) amekutana na kuwa na mazungumzo na  Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Gambia Mhe.   Hassan Bubacar Jallow.Jaji Mkuu wa Gambia, yupo hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIA ASEMA SUALA LA BIMA ALIKWEPEKI KWA WACHEZA SOKA WA TANZANIA

Na Humphrey Shao, Globu ya jamiiRais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Warace Karia amesema atasimamia suala la bima kwa wachezaji wanaoshhiriki katika ligi mbalimbali zinazo simamiwa na shiriki hilo...

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images