Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110137 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI RUHURU WAJICHANGISHA FEDHA KUJENGA ZAHANATI

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, WANANCHI wa Kijiji cha Ruhuru wilayani Kakonko mkoani Kigoma wamejitolea kuanza ujenzi wa Zahanati itakayogharimu zaidi ya Sh.milioni 50 kwa lengo la kutatua changamoto ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA BILIONI 1.92 KUBORESHA AFYA NANYAMBA

SERIKALI imepeleka sh. bilioni 1.92 katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya.Hayo yalibainika jana (Jumatano, Februari 28, 2018) wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI...

Na Ripota Wetu,Globu ya JamiiMEYA  wa Jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita ametemtembelea nyumbani kwakwe na kisha kumpeleka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwasisi na mkongwe wa Chadema Victa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MWAJELWA AWAPONGEZA WAKULIMA WA CHAI NA PARACHICHI MKOA WA NJOMBE

 NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akisalimiana na sehemu ya wakulima wa chai alipowasili kwenye kijiji cha Lwangu Wilaya ya njombe mkoani Njombe kwa ziara ya kikazi hivi karibuni. Kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI...

Mzee Joram Mollel maarufu BABU mwenye umri zaidi ya miaka 90 akijisajili kushiriki mbio za kilomita 21 Tigo Kili Half Marathon zitakazotimua vumbi siku ya Jumapili wiki hii mjini Moshi, Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA BILIONI 1.92 KUBORESHA AFYA NANYAMBA

SERIKALI imepeleka sh. bilioni 1.92 katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya.Hayo yalibainika jana (Jumatano, Februari 28, 2018) wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA ARDHI YAWATULIZA WANANCHI ARUMERU ,YAWAAMBIA MGOGORO WAO...

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akizungumza na wakazi wa kata ya Sing’isi alipokuenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi ya muwekezaji Sehemu ya wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASI UHARIBIFU WA MISITU HANANG YAONGEZEKA

Na. Jumbe IsmaillyKUTOKANA na hali ya uharibifu wa misitu katika wilaya ya Hanang kuwa kubwa sana,Mkuu wa wilaya ya Hanang,Mkoani Manyara, Sara Msafiri ameziagiza kamati za maendeleo za kata kujenga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI WA SIMBA ,TIMU YA TAIFA ARTHUR MAMBETA AFARIKI DUNIA

Na Zainabu Nyamka, Globu ya JamiiMCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Simba, Arthur Mambeta amefariki dunia  jana Alhamisi  baada ya kusumbuliwa na maradhi ya saratani kwa muda mrefu.Mambeta aliyeanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMIA TANZANIA YAAHIDI KUWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA, MAMILIONI YA WATEJA...

KAMPUNI  ya Jumia Tanzania  inayojishughulisha na huduma za uuzaji na manunuzi ya bidhaa mbalimbali kwa njia mtandao imemtambulisha Zadok Prescott kuwa Mkurugenzi Mkuu wake mpya.Akizungumza leo jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUJISAJILI WCF LENGO NI KUMUONDOLEA MZIGO WA GHARAMA MWAJIRI,KULINDA HAKI ZA...

SERIKALI ya awamu ya tano imedhamiria kwa dhati kuhakikisha wafanyakazi wanalindwa na kupata haki zao pindi wanapopatwa na madhara yatokanayo na kazi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAU BWIRE AZUNGUMZIA UZINDUZI JEZI ZA RUVU SHOOTING

Na Ripota Wetu, Globu ya JamiiMSEMAJI wa Ruvu Shooting Masau Bwire amesema hivi karibuni wamezindua jezi zake za mashabiki.Amesema uzinduzi uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA ZA UJENZI ZANZIBAR, TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR

 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe akisisitiza jambo katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT KIJAJI AZINDUA MKTABA WA HUDUMA KWA WATEJA WA CMSA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNaibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Ashanti Kijaji amesema kuwa mamlaka ya Masoko na Mitaji ni injini katika maendeleo ya uchumi hivyo ni lazima mamlaka hiyo iwafikie...

View Article

KIPINDI MAALUM KUAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI SUGHULI ZA MAENDELEO WILAYA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vanessa Mdee aungana na mastaa maarufu duniani wanaomiliki majukwaa ya mtandaoni

Vee Money App katika kilele cha maendeleo ya mziki Afrika na dunia nzima Vanessa Mdee anaungana na mastaa maarufu duniani ambao wanamiliki ‘majukwaa ya mtandaoni’ ya kuwasiliana na mashabiki wao Je...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANNE WANASWA KWA TUHUMA MTANDAO WA UJANGILI NA MAUAJI YA FARU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI NA WAKUU WA WILAYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya...

 Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi funguo ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa mkazi wa Lindi,  Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA”

Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akikabidhi zawadi ya shilingi milioni 10 kwa Bw. Reuben Bulugu Kinamhala mshindi wa Bahati nasibu ya “Daka Mkwanja”...

View Article
Browsing all 110137 articles
Browse latest View live




Latest Images