WAFUASI WATATU CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI
Na Karama Kenyunko, Globu ya JamiiWAFUASI watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa tuhuma za kufanya mkusanyiko isivyo...
View ArticleTADB, NDC SIGN MoU FOR AGRI-INDUSTRIAL RESOURCE MOBILIZATION
Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) and National Development Corporation (NDC) signed a Memorandum of Understanding of cooperation in resource mobilization, lending, distribution, and...
View ArticleAIRTEL YAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE
Na Agness Francis, Globu ya jamiiKAMPUNI ya simu za mkononi Airtel Tanzania, imeendelea kutoa zawadi kwa wateja wake kupitia promosheni ya SMATIKA yatosha na Intanenti Bando inayoendelea kufanyika...
View ArticleTANDAHIMBA DHIBITINI MIMBA KWA WATOTO WA SHULE-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tandahimba kuhakikisha inadhibiti ongezeko la mimba kwa watoto wa shule.Ameyasema hayo leo (Jumatano, Februari 28, 2018)...
View ArticleCCM IRINGA MJINI YATEKELEZA AHADI YA SOKO KUU
Na MatukiodaimaBlog CHAMA cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa mjini kimetekeleza ahadi ya TV iliyoahidiwa wakati wa kampeni za ubunge mwaka 2015 na mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter...
View ArticleWAZIRI MAHIGA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA VIETNAM NA JAPAN WALIOPO...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Kim Nguyen Doanh. Katika mazungumzo yao walisisitiza umuhimu...
View ArticleBALOZI SEIF AHAIRISHA MKUTANO WA TISA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika mapambano yake dhidi ya vitendo vya udhalilishaji wa Kijinsia vilivyokithiri katika maeneo mbali mbali Nchini, kamwe haitamvumilia, kumuonea aibu, wala muhali...
View ArticleRPC ARUSHA BADO AENDELEA KUPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MOUNT MERU
Na Ripota Wetu, ArushaKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo (pichani) ambaye amepata ajali ya gari juzi mkoani Manyara bado amelezwa Hospitali ya Mount Meru akiendelea kupatiwa...
View ArticleRAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilisha Wizara...
View ArticleJAPAN YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BILIONI 77.3 KUJENGA NEW BAGAMOYO ROAD...
Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), imeipatia Tanzania ruzuku ya Yen bilioni 3.78 sawa na Shilingi bilioni 77.3 kwa ajili ya upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo, kuanzia Morocco...
View ArticleProf. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Prof. Elisante Ole Gabriel, (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kwenye Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara...
View ArticleWATAALAM WA AFYA MOJA KUANDAA MPANGO MKAKATI WA ULINZI NA USALAMA WA VIMELEA...
Wataalam wa Afya moja nchini ambao ni wataalam wa sekta ya Afya ya binadamu, Afya ya wanyamapori na mifugo pamoja na mazingira wameanza kuandaa Mpango Mkakati wa ulinzi na usalama wa vimelea hatarishi...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilomita tatu iliyojengwa kwa fedha za halmashauri leo Februari 28, 2018. (Picha na...
View ArticleVIONGOZI MTWARA FUATILIENI WATU WANAOTAKA KUHARIBU MASOKO YA KOROSHO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa mkoa wa Mtwara kupambana na makundi ya watu yanayotaka kuharibu masoko ya korosho.Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa mnunuzi aliyekataa kununua...
View ArticleCASTLE LAGER KUWAPELEKA WATANZANIA ‘WORLD CUP’
Meneja wa Bia ya Castle Lager, Pamela Kikuli, akionyesha moja ya kipeperushi kinachoelezea mashindano maalumu ya soka yanayofahamika kama ‘Castle Lager Africa 5s’ (5 – Aside) yaliyozinduliwa leo...
View Article
More Pages to Explore .....