Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC TEMEKE AHIMIZA WAENDESHA BODABODA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Na Emmanuel ,Globu ya JamiiMKUU wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Felix Lyaniva amewataka madereva wa pikipiki na Bajaj kuwa makini na kuzingatia sheria za usalama barabarani ikiwemo kuvaa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA GS1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Benki wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, kwa kutambua udhamini wa benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa...

View Article

MICHUZI TV: WAJASIRIAMALI WANAWAKE WANUFAIKA NA MAFUNZO YA MKE WA MANDELA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI KILI MARATHON WAPATA MUAMKO MKUBWA MLIMANI CITY

Usajili wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zinazotarajiwa kufanyika jumapili ijayo mjini Moshi umekuwa mkubwa huku wakazi wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani wakimiminika kukamilisha zoezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA...

  Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita Februari 25, 2018. Rais Mhe. Dkt John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko ameupa Siku 14 Mgodi wa Dhahabu wa Katavi & Kapufi uliopo Mkoani Katavi kuhakikisha uwe umekamilisha taratibu za kuajiri Watanzania na kupunguza wafanyakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIFA na CAF kuendelea kufikiria namna ya kuisaidia Zanzibar

Na Anitha Jonas – WHUSMRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Ahmad Ahmad wakiri kuelewa hali ya Zanzibar pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu Mwenyekiti wa UWT afanya ziara katika Mkoa wa Magharibi Unguja

Na Is-Haka Omar, Zanzibar.VIONGOZI na watendaji wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT) Tanzania wameshauriwa kuendeleza utamaduni wa kuwatembelea wananchi ili kuibua kero zinazowakabili na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI 300 WA KITONGOJI CHA KINACHERE,HANANG WAANZA UJENZI WA KISIMA NA...

Na Jumbe Ismailly -HANANG    WANANCHI  300 wa Kitongoji cha Kinachere,kata ya Sirop,tarafa ya Simbay,wilayani Hanang,Mkoani Manyara kwa kushirikiana na Halmashauri ya wilaya ya Hanang wameanza ujenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto 6 Wawashiwa Vifaa vya Usikivu (Cochlear Implant)

Watoto sita ambao wamewekewa vifaa vya usikivu Januari mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wameanza kusikia kwa mara ya kwanza baada ya kuwashiwa vifaa hivyo.Kuwashwa kwa vifaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

serikali yatakiwa kuzitambua kazi za wanawake katika mipango ya Taifa

NA VICENT MACHA - DAR ES SALAAM.SERIKALI imetakiwa kuzitambua kazi za kutoa huduma zinazotekelezwa na wanawake na kuziingiza katika Mipango ya Taifa kwani zinaweza kusaidia kuongeza pato la Taifa.Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA ASHUHUDIA UZINDUZI HUDUMA ZA KISASA KITUO CHA...

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akilakiwa nawananchi wakati alipokwenda kushuhudia uzinduzi wa huduma za kisasa katika kituo cha Afya cha Nyamwaga kilichopo wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO FEBRUARY 26,2018

KUSOMA ZAIDI MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA: SASA UNAWEZA KULIPA KODI YA MAJENGO KIELEKTRONIKI

Na: Veronica Kazimoto,Dar es Salaam,Wito umetolewa kwa wananchi wote kuanza kulipa Kodi ya Majengo ya mwaka 2017/18 mapema kwa kuwa ulipaji wa kodi hiyo umerahisishwa  ambapo wanaweza kulipa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU CHADEMA KATA YA MAILMOJA ATIMKIA CCM

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniWIMBI la baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limezidi kuwakumba hapa nchini baada ya katibu wa CHADEMA kata ya MailMoja Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STENDI YA KISASA MAILMOJA - KIBAHA KUKAMILIKA MWEZI MACHI

Na Mwamvua Mwinyi,KibahaSTENDI ya mabasi ya Maili Moja wilayani Kibaha mkoani Pwani inatarajiwa kukamilika Machi baada ya mkandarasi wa kuongezewa muda kutokana na mradi huo kukumbwa na changamoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOLOMONI MUKUBWA,CHRISTINA SHUSHO WATHIBITISHA KUNOGESHA TAMASHA LA PASAKA...

Waimbaji wa nyimbo za Kiroho (Injili), Afrika Mashariki na Kati Christina Shusho na Solomon Mukubwa wanatarajiwa kuwaburudisha kiroho vilivyo,watakapokuwa wakitumbuiza katika jukwaa la Tamasha la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SOPHIA MJEMA AELEZEA UMUHIMU WANAWAKE,VIJANA KUPATIWA ELIMU YA UKOPAJI...

Na Ripota Wetu,Globu ya JamiiMKUU wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Sophia Mjema , amemuagiza Mwwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) Kata ya Liwiti Salima Fumbwe kuandaa vijana na wanawake wa...

View Article

KIPINDI MAALUM UWEZESHWAJI WA WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE PWANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND SOMA NILOCHOANDIKA KUHUSU WEWE NA ZARI, NAMUOMBA MUNGU ASIKURUDISHE...

Na said Mwishehe,Globu ya JamiiNI ngumu kuzungumzia mahusoano ya kimapenzi ya watu wengine lakini kuna wakati unaamua kufumba macho na kuziba masikio useme japo kidogo.Nikiri mahusiano ya kimapenzi...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images