RC Wangabo Asisitiza Kutumia Bidhaa Za Viwanda Vya Ndani Kujihakikishia Soko
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wananchi wa Mkoa wa Rukwa na watanzania kwa ujumla kujenga mazoea ya kutumia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vilivyopo kwenye maeneo yao ili...
View ArticleRAIS MAGUFULI AONDOKA UGANDA MARA BAADA YA KUHUDHURIA VIKAO VYA WAKUU WA NCHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika uwanja wa ndege wa Entebe mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ambao...
View ArticleRC Wangabo Asisitiza Kutumia Bidhaa Za Viwanda Vya Ndani Kujihakikishia Soko
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wananchi wa Mkoa wa Rukwa na watanzania kwa ujumla kujenga mazoea ya kutumia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vilivyopo kwenye maeneo yao ili...
View ArticleMPINA AZIPIGA FAINI MELI 19 ZILIZOTOROKA BILA KUKAGULIWA
Na John MapepeleSerikali imezipiga faini ya bilioni kumi na tisa meli 19 ikiwa ni shilingi bilioni moja kwa kila meli na kuamuliwa kulipa faini hiyo ndani ya wiki mbili kwa kukiuka kanuni ya 10...
View ArticleKIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA, ATUMA SALAMU KWA MUWEKEZAJI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua mazingira ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha alipotembelea hifadhi hiyo jana kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi hususan...
View ArticleRAIS MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI UGANDA ALIPOHUDHURIA MKUTANO WA...
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu...
View ArticleOSHA YASISITIZA KADA YA USALAMA KAZINI KUTAMBULIKA RASMI
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unakusudia kuishawishi serikali na waajiri katika sekta binafsi hapa nchini kuitambua kada ya Usalama na Afya mahali pa kazi na kuiweka katika mfumo...
View ArticleDK MWANJELWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA, ATETA NA KINA MAMA...
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiongea machache na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza alipofika kwa utambulisho na kuanza ziara katika Mkoa huo Februari 23 2018. Pamoja naye...
View ArticleTAARIFA YA KUSITISHA MATUMIZI YA ADA MPYA KWA WAANDAAJI WA MBIO ZA MARATHON
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limepokea tamko la Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kuhusu mada tajwa hapo juu Februari 20, 2018 kwa barua yenye Kumbukumbu namba: BMT/A/2/Vol. 18/69, pia kupitia...
View ArticleMEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA
Na Said Mwishehe,Globu ya Jamii MEYA wa Jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita amewasilisha mpango wa Bajeti wa mwaka 2018 hadi 2019 ambapo jumla ya Sh. bilioni 75.2 zitatumika kwa mwaka huo katika...
View ArticleDK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI
Na Said Nwishehe,Globu ya JamiiMWENYEKITI wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dk.Titus Kamani amesema Serikali kupitia tume hiyo ni awaelekeza viongozi wa Vyama vya Ushirika kutojihusisha kuuza mali za...
View ArticleMBUNGE VITI MAALUM RUVUMA AWAPIGA TAFU WAKULIMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mh.Jacqueline Ngonyani Msongozi ametoa mkopo wa Mbolea kwa vikundi vya akinamama na Vijana vipatavyo 75 vyenye wanachama wapatao 1030 mkoani Ruvuma. Mkopo wa...
View ArticleFIFA KUONGEZA FEDHA ZA MAENDELEO NA KUJIENDESHA KWA SHIRIKISHO
Na Anitha Jonas –WHUSMShirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuendeleza viwanja tisa nchini kufuatia kuongezeka kwa dau la pesa za Maendeleo na Kujiendesha zinazotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu...
View ArticleKUNA WATU WANAJIDAI WANASHAHADA ZA UCHUMI KUMBE MAMBUMBU WA UCHUMI-Dk MPANGO
Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Fedha na Mipango,Dk.Philipo Mpango amesema kuna baadhi ya watu nchini wamekuwa wakijidai wana shahada za uchumi lakini kiuhalisia ni mambumbu wa uchumi.Pia...
View ArticleIDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM,...
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii IDARA ya Uhamiaji nchini imefanya usafi katika Kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu na Shule ya Msingi ya Matumaini ya Jeshi la Waokovu ‘Salvation Army’ iliyopo...
View ArticleTANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba
Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma (RPC) kimepokea kwa msikitiko taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa Mtwara press club Hassan Simba kilichotokea Leo mchana.Uongozi wa RPC unatoa pole kwa...
View Article'SERIKALI YA AWAMU YA TANO HAIKO TAYARI KUONA MWANANCHI ANAONEWA,...
Na,Joel Maduka,Geita. NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema Serikali ya Awamu ya Tano haiko tayari kuona mtu akilalamika ,kunyanyaswa au kunyimwa haki yake.Ametoa kauli hiyo alipokuwa...
View ArticleZoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kujisajili kushiriki mbio za Km 21 za Tigo Kili Half Marathon katika zoezi la usajili linaloendelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini...
View Article