Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NACHINGWEA ASUBUHI HII

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea kuanza ziara ya kazi mkoani Mtwara Februari 26, 2018....

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA ATOA MAAGIZO YANAYOTAKIWA KUTEKELEZWA NDANI YA WIKI MBILI

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imepewa wiki mbili kufanya tathmini kuona kama kuna haja ya kuagiza maziwa na mazao yake kutoka nje ya nchi na kama waagizaji wanafuata taratibu na masharti ya kisheria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNZENI MAJALADA YA HATI ZA ARDHI KWA KUFUATA TARATIBU- NAIBU WAZIRI ANGELINA...

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akieleza namna bora ya kuhifadhi majalada ya hati za ardhi katika halmashauri ya Tarime mkoa wa Mara wakati za ziara yake mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA AFANYA OPARESHENI USAFI NA MAZINGIRA,AKAMATA NA KUTOZA FAINI...

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendesha oparesheni ya usafi na Mazingira kukagua usafi na miti iliyotelekezwa na kuwawajibisha wananchi ambao miti yao imekufa kwa kulipa faini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI,MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA...

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela kila mmoja baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kutumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEKNOLOJIA YA KISASA KUTUMIKA KUKABILIANA NA UJANGALI HIFADHI ZA TAIFA,MAPORI...

Na Woinde Shizza,KilimanjaroIMEELEZWA kuwa teknolojia mpya itaanza kutumika kwenye hifadhi za Taifa na mapori ya akiba ya wanyama ya Serikali kwa lengo la kupambana na ujangili hasa maeneo ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI MASASI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, akiwa ameanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu, Mkoani Mtwara  Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENEO YA KITALII YANAYOPATIKANA KUSINI MWA TANZANIA

Miongoni mwa maeneo ya kitalii ambayo hayapewi kipaumbele au kutokuwa maarufu ni pamoja na Kusini mwa Tanzania. Tofauti na vivutio vya kitalii vya kanda ya Kaskazini kuwa maarufu kama vile Mlima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA UMMA MSINYANYASE WACHIMBAJI WADOGO – BITEKO

Serikali imesema itawachukulia hatua za kinidhamu watendaji wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kuwanyanyasa wachimbaji wadogo wa madini nchini ili kujipatia kipato kinyume na taratibu.Hayo yamesemwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAFANYA MSAKO WEZI WA UMEME

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Kupitia kikosi kazi maalum limeendesha kampeni kabambe ya kubaini na kutokomeza matukio ya wizi wa umeme pamoja na uhujumu miundombinu ya Shirika Mkoani Njombe ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS APOKEA VIFAA MBALI MBALI VYA WALEMAVU KUTOKA SERIKALI YA KUWAIT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Vifaa vya Walemavu vilivyotolewa na Serikali ya Kuwait ,pichani ni Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al Najem...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAM WA AFYA MOJA WAJIPANGA KUDHIBITI VIMELEA HATARISHI NCHINI

Wataalam wa Afya moja nchini ambao ni wataalam wa sekta ya Afya ya binadamu, Afya ya wanyamapori na mifugo pamoja na mazingira wamejipanga kudhibiti vimelea hatarishi kwa kuimarisha ulinzi na usalama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AZUNGUNGUMZA NA MABALOZI WAPYA (WILBROAD SLAA NA ALLY MBOWETO) LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Mhe.Wilbroad Peter Slaa alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PLAN INTERNATIONAL,UMOJA WA ULAYA YAWAWEZESHA KIUCHUMI VIJANA 592 WANAOISHI...

VICTOR MASANGU, KISARAWEJUMLA ya vijana wapatao 592 wanaoishi katika mazingira magumu,yatima,na wasichana waliopata mimba katika umri mdogo kutoka katika Wilaya ya Kisarawe Kibaha Mkoani Pwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Yamwaga Smatifoni Kwa Washindi wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus

‘Kwa sasa mama yangu anatumia simu ya kawaida ambayo haituwezeshi kuwasiliana kikamilifu kwa njia ya mtandao. Kwa mfano siwezi kumtumia picha za wajukuu wake. Ndio maana nitampa zawadi ya simu hii mpya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: UTEUZI WA DIWANI WA VITI MAALUM - CHADEMA

  Kwa kuzingatia matakwa ya kifungu cha 86A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Kikao chake cha tarehe 23 Februari, 2018, imemteua Ndugu JANE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR

Na Agness Francis Globu ya jamii VIONGOZI wa Timu ya Township Rollers inayotarajia kumenyana na mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC  katika dimba la Uwanja wa Taifa  wameamua...

View Article


KIJANA ATIWA MBARONI KWA UTAPELI NA UBAKAJI JIJINI DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI KANDA MAALUM WAMSHIKILIA 'MTU HATARI', ANAYEJIFANYA FREEMASON NA...

Na Said Mwishehe,Globu ya JamiiJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia, Rajabu Mohamed(25) anayejifanya ni Freemason na amekuwa akifanya ukatili,unyanyasaji wa kijinsia na kupora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAHIDI ADAI WEMA ANATUMIA BANGI KAMA STAREHE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, msanii wa Filamu na Miss Tanzania mwaka 2006  Wema Sepetu  alimueleza askari polisi kuwa anatumia bangi kama...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images