Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STUDY IN RUSSIA

Grab your chance to study in one of the most Prestigious Universities in Russia with options from over 20 Universities and over 300 Specialities.ADMISSIONS ARE NOW OPEN!For more details contact the...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.   Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI KITENGO CHA POLISI JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI YA CRDB...

 Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi ambaye ndiye Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii, DCP Ahmada. A. Khamis (wanne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja  Maafisa wa benki ya CRDB na viongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII YAASWA KULIANGALIA KWA UZITO SUALA LA NAFASI YA MWANAMKE KATIKA UONGOZI

Na Anil Ricco, Globu ya JamiiJamii ya Kitanzania imeaswa kuliangalia kinaga ubaga suala la nafasi ya uongozi katika jamii kwa kulijadili suala hilo mara kwa mara.Wakizungumza na Waandishi wa Habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPARESHENI ZA KUZUIA UHALIFU ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA

Na Lydia Churi-Mahakama ya TanzaniaViongozi wanaohusika na Oparesheni za kuzuia uhalifu wameshauriwa kufuata na kuzingatia sheria inayoongoza namna ya ukusanyaji wa ushahidi ili kuepuka kuharibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA KIKAO CHA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA...

  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (aliyesimama), akifungua kikao cha Wakuu wa Vyombo ya Ulinzi na Usalama cha kujadili kanuni za kuanzishwa kwa Jeshi Usu la Uhifadhi wa Wanyama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT.MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BURUNDI, AKUTANA NA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa ambaye ni mratibu wa Mazungumzo ya amani ya Burundi, Kampala nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA MAGARI MADOGO KUANZA MACHI, WAENDESHA BODABODA KUFUNGIWA KAMERA

Na Leandra Gabriel, Globu ya Jamii.BARAZA la Taifa la usalama barabarani  limetangaza kuanza kwa ukaguzi wa magari madogo ya binafsi nchini nzima kuanzia Machi moja mwaka huu, huku likieleza kuwa...

View Article


ALICHOKISEMA WAZIRI MWAKYEMBE KWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS- JAMHURI YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA KUZICHAPA NA MFILIPINO-MTWARA

Bondia wa Kimataifa Francis Cheka anatarajia kupigana na Bondia Arney Tinampay Kutoka Nchini Ufilipino katika Pambano la raundi 10 litakalofanyika katika Uwanja wa Umoja Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CDMT YABORESHA MIUNDOMBINU YA CHOO HANDENI

 Uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Handeni umekabidhiwa rasmi mradi wa choo cha matundu sita kilichojengwa na shirika lisilo la Kiserikali CDMT(Community Development Mission of Tanzania) lenye thamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AAGIZA MBINU MPYA ITUMIKE KUDHIBITI WANAOCHIMBA MADINI KWENYE...

Na Hamza Temba, WMU, Muheza Tanga..........................................................................Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA MUSLIMU AZUNGUMZIA BODABODA KUPIGWA BARABARANI

Na Said Mwishehe, Globu ya Jamii. KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslimu amesema hakuna sheria inayoruhusu askari polisi kupiga wanaotumia vyombo vya usafiri barabarani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAMSOMEA MAELEZO YA AWALI TIDO MHANDO ANAYEKABILIWA NA MASHTAKA MATANO

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema, Aprili 28 mwaka huu, itamsomea maelezo ya awali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji uTanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Mtanda Kuanzisha Wangabo Cup kupongeza juhudi za Wana Kirando.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda kuandaa tamasha la michezo ili kuwapongeza wananchi wa Kata ya Kirando kwa kujitokeza kwa wingi katika...

View Article


TBA WATUNISHIANA MISULI NA HALMASHAURI YA NYASA

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) waikatalia halmashauri ya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kukatisha mkataba wa ujenzi wa ofisi za halmashauri hiyo,Hii ni baada ya Baraza la madiwani la halmashauri hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upya Ofisi za Ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini ambazo zilifungwa kwa muda, hatua inalenga kuimarisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KAMWELWE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UHOLANZI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akimkaribisha ofisini mgeni wake, Balozi wa Uholanzi nchini, Jeroen Verheul mara baada ya kuwasili. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO

Na Agness Francis Globu ya jamii  MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wanaendelea vizuri kufanya mazoezi kuelekea mchezo ujao wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI

Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mhe. Angelina Mabula ameshangazwa na uwepo wa majalada ya ardhi katika halmashauri za Butiama na Musoma ambayo wamiliki wake hawafahamiki na majalada...

View Article
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live




Latest Images