Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIJAGE MGENI RASMI KONGAMANO LA VIWANDA KESHO UKUMBI WA MWALIMU NYERERE...

Na Humphrey Shao, Globu Ya jamii  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage anataraji kufungua kongamano kuhusu Maendeleo ya Viwanda Tanzania litakalo fanyika katika chuo cha kumbukumbu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

View Article

Rais wa FIFA alivyotua Dar, kisha kuzungumza na Waziri Mwakyembe

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino tayari amewasili nchini Tanzania majira ya saa 9 usiku wa kuamkia leo (22/02/2018) akiwa ameambatana na Rais wa Shirikisho la Soka barani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WASHIRIKI MAONYESHO YA UTALII

Ubalozi wa Tanzania wa Riyadh nchini Saudi Arabia hivi karibuni ulishiriki katika maonyesho ya Travel and Tourism Pioneers Forum 2018 mjini Riyadh. Maonyesho haya ya kimataifa yaaliandaliwa na Al...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO FEBRUARY 23,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI TAMASHA LA PASAKA YAZIDI KUNOGA,ROSE MUHANDO KULINOGESHA KWA...

Mwimbaji Mahiri wa nyimbo za Kiroho (Injili) Rose Muhando anatarajia kuizindua albamu yake ndani ya Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika kufanyika Aprili mosi katika uwanja wa CCM Kirumba jijini...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU MAFUNZO YA BIMA NYANDA ZA JUU KUSINI WATUNUKIWA VYETI

Mkuu wa chuo cha usimamizi wa fedha "IFM"  Pro. Tadeo Satta akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya Bima pamoja na wadau wa bima kwa nyanda za juu kusini katika hafla fupi ya mahafali ya wahitimu walio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

.WAZIRI JAFO AAGIZA DARAJA CHIPANGA LIKAMILIKE KABLA YA MWEZI JULAI, MWAKA HUU

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo amemtaka mkandarasi wa kampuni ya Medes Company Limited na Millenium Master Builders (T) Limited anayejenga daraja la Chipanga wilayani Bahi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUCHIKA AKUTANA NA UJUMBE WA DfID

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) ameishukuru Idara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uingereza (DfID) kwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE BADO AENDELEA KUSOTA MAHABUSU

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKIONGOZI Chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea kusota mahabusu baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro.Zitto anashikiliwa kwa tuhuma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIVYOWASILI RAIS WA FIFA KITUO CHA MIKUTANO JNICC JIJINI DAR

Baadhi ya Wajumbe wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakiwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tayari kwa kikao cha shirikisho hilo mapema jana jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAM INTERNATIONAL YAWAPA SAPOTI WATOTO YATIMA KIMARA DAR ES SALAAM

MENEJA Mahusiano na Maendeleo ya Biashara .wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla (wa pili kushoto) akikabidhi jiko la gesi kwa Mlezi wa ‘New Hope for Girls Organization’ Consoler Wilbort...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AZISHAURI HALMASHAURI MUSOMA KUNUNUA NYUMBA ZA NHC

Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Angelina mabula amezishauri halmashauri za mji na wilaya ya Musoma mkoa wa Mara kununua nyumba zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa (NHC) kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAIPONGEZA FIFA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

SERIKALI ya Tanzania inalipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na shirikisho hilo katika mapambano dhidi ya rushwa.Kauli hiyo imetolewa leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA KUCHUKUA MAENEO BILA KULIPA FIDIA –NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi Angelina Mabula amesema ni marufuku halmashauri kuchukua maeneo ya wananchi bila ya kuwalipa fidia.Mhe. Mabula amesema hayo Wilayani Butiama mkoa Mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bungoni Ilala, Barua Mwakilanga akikabidhi bati 150 kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema, leo jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALALI ATAKA TAWI LA SIMBA CREAM TANGA KUANZISHA TIMU YA VIJANA U-17

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Simba, Hassani Dalali amelitaka tawi la Simba Cream la Jijini Tanga kuanzisha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ili iweze kuwa hazina kubwa ya wachezaji kwa siku za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAM KAMANGA- NIC KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA 'BARCODES'

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga wakati wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa sita wa taasisi ya kutoa huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live




Latest Images