Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110010 articles
Browse latest View live

MICHUZI TV: IGP SIRRO AZITAKA TAASISI MBALIMBALI NCHINI KUKEMEA VITENDO VYA...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE GAIRO WAONGOZA KIMKOA KUJIFUNGUA WAKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 20

Na John Nditi, GairoWANAWAKE wajawazito 2,600  sawa na asilimia 27 kati ya 9,577 waliojifungulia  zahanati na vituo vya afya  kwa mwaka 2017 katika halmashauri ya wilaya ya Gairo , mkoani Morogoro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA MAJADILIANO MUNYONYO KAMPALA

Bw. Plasduce Mbossa katikati Mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kushoto yake ni Bi. Lydia Mallya ambaye pia ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania pamoja na Bi. Judith Nzamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IN LOVING MEMORY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.WATU 28, wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia Chadema (ChADEMA), wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kukusanyika isivyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO APANIA KUBORESHA SEKTA YA AFYA KWA WAKINAMAMA WAJAWAZITO KWA...

Na Victor   Masangu, Chole  Kisarawe   WAKINAMAMA  wajawazito katika kijiji  cha Kihare kata ya Maluwi Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani  waliokuwa wanakabiliwa na changamoto katika sekta ya afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.WATU 28, wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kukusanyika isivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHANA MPYA WA POLISI ZANZIBAR AJITAMBULISHA KWA RAIS SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Bw. Mohamed Haji Hassan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MADINI ATUA MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI

Na Mathias Canal, SongweNaibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo 22 Februari 2018 ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Songwe ambapo pamoja na mambo mengine atatembelea na kukagua eneo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA DAR AZUNGUMZIA UMUHIMU WA MAMEYA WA MAJIJI YA AFRICA KUBADILISHANA UZOEFU

Na Said Nwishehe,Globu ya JamiiMEYA wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amesema kuna mambo mengi ya kujifunza na kubadilisha uzoefu kutoka kwa Majiji mbalimbali Barani Afrika kuliko majiji ya nchi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI DK. NDUGULILE AFANYA ZIARA WILAYA YA SHINYANGA KUKAGUA HUDUMA ZA...

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amepiga marufuku dawa za serikali kuonekana zikiuzwa kwenye maduka ya watu binafsi kwani serikali haitaki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MAHAFALI YA 34 YA CHUO KIKUU HURIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki matembezi ya mahafali ya 34 ya Chuko Kikuu Huria pamoja na Mkuu wa chuo hicho Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIL.1.7 KUJENGA MIUNDOMBINU YA ELIMU SIMIYU

Uwekezaji katika sekta ya elimu Nchini kupitia mpango wa kuinua ubora wa elimu (EQUIP-Tanzania) ambao umelenga kuboresha mchakato wa kufundisha na matokeo ya kujifunza kwa watoto nchini umeweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASESELA, ASIA JUMA WATINGA KARIAKOO KUPATA UZOEFU NAMNA BORA YA KUSIMAMIA...

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera akisalimia wananchi baada ya kutambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (watatu kushoto) alipowapeleka Kasesera na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITUO MAALUM VYA UCHENJUAJI KUJENGWA KATIKA MAENEO YA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI

Na Zuena Msuya, Geita.Serikali  inadhamiria kujenga vituo maalum vya uchenjuaji na kuvizungushia ukuta katika kila eneo lenye wachimbaji wadogo ili kudhibiti wizi na uuzwaji holela wa madini ya dhahabu...

View Article


RAIS WA FIFA, GIANN INFANTINO AWASILI NCHINI TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO MAALUM WAKUU WA NCHI JUMUIYA YA AFRIKA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika Mkutano huo Maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Kampala nchini Uganda.Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIRST NATIONAL BANK YAENDESHA MKUTANO KUJADILI UCHUMI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa FNB Tanzania, Warren Adams akizungumza na wadau pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kwenye mkutano wa kujadili uchumi unaofanyika kila mwaka nchini. Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YANG'ARA KATIKA VITA DHIDI YA RUSHWA

Tanzania, Rwanda Zang’ara EAC Vita ya Rushwa .MISIMAMO thabiti ya Rais John Pombe Magufuli katika masuala mbalimbali ya maendeleo ya Taifa imezidi kuleta mafanikio ambapo ripoti mpya katika mapambano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI KUU YAFAFANUA KUHUSU RIBA YA DHAMANA

View Article
Browsing all 110010 articles
Browse latest View live


Latest Images