Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTULIA ASEMA SHIDA ZA WANANCHI KINONDONI NI ZAKE, ATAJA ATAKAYOANZA NAYO...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiMGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao.Pia shida...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SINE TAMER YATILIA MKAZO AGIZO LA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.Kampuni ya Sine Tamer imedhamiria kuhakikisha inatilia mkazo agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli la kuwa katika uchumi wa kati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA MATUKIO WAZIRI MKUU BUNGENI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Mkoa wa Geita Upendo Peneza, nje ya jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma, Februari 7, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

Mfanyabiashara maarufu mkoani Kigoma, Carole P. Mtei amefariki tarehe 04/02/2018 katika hospitali ya Rabininsia, Tegeta jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTUMIAJI WA ISOTOPU ZA KINUKLIA KATIKA UTIBABU: VIPI INAWEZEKANA?

Kama kawaida maneno kama “kinuklia” au “mionzi” yanatisha ikiwa yanatumika katika nyanja za afya na maisha marefu. Hata hivyo, haiwezekani kufikiria utibabu za siku hizi bila ya teknolojia mpya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AFARIKI DUNIA

Mwanasiasa maarufu nchini, Tambwe Hizza amefariki Dunia leo alfajiri nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, jijini Dar es salaam.Inaelezwa kuwa Marehemu Tambwe Hizza amefikwa na mauti hayo akiwa usingizini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tatu Mzuka yazidi kuwaneemesha Watanzania,wengi waendelea kujizolea mamilioni

Mwakilishi wa Kampuni ya inayochezesha mchezo wa kubahatisha,TatuMzuka,Kemilembe Mbeikya (katikati),akizungumza mbele ya Wanahabari mapema jana wakati wa kuwatambulisha washindi wa TatuMzuka,ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yawazawadia washindi 2,000 wa promosheni ya SHINDA NA SMATIKA Intaneti

Kampuni ya simu za mkokoni Airtel Tanzania leo imewazadia washindi 2,000 wa kwanza wa promosheni ya SHINDA NA SMATIKA Intaneti kwenye droo ambayo imechezesha jijini Dar es Salaam.Promosheni ya SHINDA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI

Na Emanuel Madafa-Mbeya HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imetoa siku saba kwa mkandarasi anayejenga nyumba ya serikali iliyoamuliwa na mahakama kuu kujengwa, kuibomoa baada ya kubainika kujengwa chini ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika  ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KUIFUATA MAJIMAJI SONGEA 16 BORA YA KOMBE LA FA

 Raundi ya nne ya michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (Azam Sports Federation Cup) imefanyika leo kwa timu 16 zimehusika katika droo hiyo.Miongoni mwa timu hizo ni ile ya Buseresere FC ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA WEMA SEPETU KUUNGURUMA FEBRUARI 26 MWAKA HUU

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Shahidi wa pili wa Upande wa Mashtaka katika kesi ya kutumia dawa za kulevya  inayomkabili msanii Wema Sepetu ameieleza  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa...

View Article

LIVE: MKUTANO WA KAMPENI ZA UBUNGE CCM JIMBO LA KINONDONI LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI JANUARI UMEBAKI KUWA ASILIMIA 4.0-NBS

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMFUMUKO  wa bei wa Taifa  wa Januari 2018 umebaki kuwa asilimia 4.0 kama ilivyokuwa mwezi Desemba 2017 kwa ujumla inamaanisha kuwa kasi ya mabadiliko ya bei ya bidhaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI

Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga,akisafisha vikombo katika Barabara ya Morogoro Shekilango jijini Dar es Salaam.Kijana akipima chupa za plastiki anazozikusanya  mtaani na kuziuza jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND NA HAMISA WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Na Karama Kenyunko , Globu ya JamiiMsanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul “Diamond Platzum” mapema leo asubuhi amefika katika viunga vya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa Ustawi wa Jamii...

View Article

MAMBO YA SERIKALI MTANDAO: NDANI YA TCRA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RITA SASA KUTOA CHETI CHA KUZALIWA SIKU MOJA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiWakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini(RITA) imefanya maboresho ya Kanzidata na mfumo wa usajili wa vizazi na kifo kupitia mradi wa maboresho ya miundombinu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba Sc, Gendarmerie Nationale Nani Mbabe.

Na Agness Francis Globu ya jamii VINARA  wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sc  wanaendelea kujifua vikali kukabiliana na mchezo wao  kimataifa dhidi ya Gendarmerie Nationale FC  ya nchini Djibouti katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yahamasisha Kilimo cha Mazao Makuu Matano ya Biashara.

 Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Serikali inaendelea na mpango wa kuhamasisha ulimaji wa mazao makuu matano ya Pamba, Korosho, Tumbaku, Kahawa na Chai nchini ili kuongeza uzalishaji wa mazao...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images