Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110002 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MALIASILI, ARDHI,TAMISEMI KUAMUA HATMA MGOGORO PORI LA AKIBA...

Na Hamza Temba - Kondoa, Dodoma.....................................................Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla jana tarehe 7 februari, 2018 ametembelea Pori la Akiba...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBARAWA AMKABIDHI NAIBU SPIKA MWONGOZO WA WATUMIAJI HUDUMA NA BIDHAA ZA...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa pili kushoto) akimkabidhi Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) Mwongozo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AKITETA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Bungeni mjini Dodoma Februari 8,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSTAHIKI MEYA SELEBOSI AONGOZA KIKAO BARAZA LA MADIWANI JIJINI TANGA

Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga(CCM) Alhaji Mustapha Mhina Selebosi akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza la Madiwani leo kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ASHUSHA NEEMA YA LAMI CHANG’OMBE, AMFAGILIA MAVUNDE KWA UCHAPAKAZI WAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo, amemfagilia Mbunge wa Jimbo la Dodoma Anthony Mavunde kwa jitihada zake za kuwaletea maendeleo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KIBAHA ATOA SIKU 90 MWEKEZAJI KURUDISHA HEKARI 5000 KWA WANANCHI KIJIJI...

NA VICTOR MASANGU, KIBAHA PWANISERIKALI wilayani Kibaha,Mkoa wa Pwani imemtaka mwekezaji ambaye alichukua eneo lenye ukubwa wa hekari zipatazo 5000 za ardhi bila ya kuzingatia sheria na taratibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti ameendesha harambee iliyopatikana sh17. 5 milioni ya umaliziaji wa jengo la maabara ya shule ya sekondari Bishop Hando ya Wilayani Mbulu.Pia, Mnyeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERA ZA MAGUFULI ZITAIBADILISHA KINONDON-MTULIA

--  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi Maulidi Mtulia akizungumza kuomba kura katika Mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Makumbusho Jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WABUNGE MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa, Bungeni mjini Dodoma Februari 8, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wawindaji wa Panya Rukwa Kukomeshwa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Khalfan Haule kuhakikisha anatafuta dawa ya kuulia panya wakiwa mashambani ili kuokoa miti kutokana na uchomaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA YAKABIDHI HUNDI BILIONI 1.1 ZA USHURU WA HUDUMA KAHAMA MJI NA MSALALA

Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu Acacia kupitia migodi yake ya Buzwagi na Bulyanhulu imekabidhi hundi za shilingi bilioni 1.1 kwa halmashauri ya wilaya ya Mji wa Kahama na Msalala mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga

Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, ametembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.Katika ziara hiyo, Dkt. Mwinuka amejionea shughuli mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MALIASILI YAAGIZWA IRUDI KWA WANANCHI KUTOA MAJIBU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii irudi kwenye maeneo yote yenye migogoro ya mipaka na iungane na Halmashauri za wilaya ili waweze kutoa majibu kwa wananchi.Waziri...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DYNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarShirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limetoa msaada wa Komputa aina ya Laptop 200 kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar ili kuimarisha usimamizi wa mfumo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola hii leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) ikiwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISHAPU KUWAHAMISHIA WALIMU WA SEKONDARI KUFUNDISHA SHULE ZA MSINGI KUONGEZA...

Na Robert Hokororo, Ofisi ya MkurugenziHalmashauri ya Wilaya ya Kishapu ipo katika mchakato wa kuwahamishia walimu wa ziada wa masomo ya sanaa wa shule za sekondari kwenda kufundisha shule za msingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI KONDOA WAIOMBA SERIKALI IWAREJESHEE SEHEMU YA ARDHI YAO PORI LA...

Wakazi waishio jirani na Pori la Akiba la Mkungunero lililoko Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, wameiomba Serikali iwarejeshee eneo la kilometa 12 kuanzia kwenye vijiji vyao kwenda ndani ya Pori hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Haitaivunja Taasisi ya Elimu ya Watu wazima Kwa Kuwa Bado Inahitajika

Serikali imesema iko tayari kupokea ushauri wa namna bora ya kuimarisha utendaji wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa kuwa azma ya Serikali ni kuendeleza Taasisi hiyo kwani bado inahitajika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA UINGEREZA : MSHIRIKA KATIKA PROGRAMU ZA MABADILIKO KATIKA...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe....

View Article
Browsing all 110002 articles
Browse latest View live




Latest Images