Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE...

Na Mwamvua Mwinyi,RufijiMBUNGE wa jimbo la Rufiji,mkoani Pwani,Mohammed Mchengelwa amesema Rais Dkt.John Magufuli hakukosea kuridhia kujengwa kwa mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA AFUNGUA KIKAO CHA TAHOSA, ATOA TAHADHARI KWA WAKUU WA SHULE

 Na Kadama Malunde - Malunde1 blogMkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine MatiroMatiro amewatahadharisha wakuu wa shule za sekondari wilayani humo kutothubutu kuchangisha pesa kwa wazazi na wanafunzi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI NA MAKOMANDOO WA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWINYI ASHIRIKI KUPANDA MITI NA ROTARY INTERNATIONAL CLUB JANGWANI SEKONDARI

RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin akikata utepe kuashiria uzinduzi wa zoezi kupanda miti kwenye Shule ya Wasichana Jangwani kushiriki zoezi la kupanda miti kwa lengo kuunga mkono...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEKELEZA MWONGOZO HUDUMA KWA WATUMISHI WA UMMA WENYE...

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA

Na David John KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU YA ASILI YA KUONGEZA UZITO NA...

Je,   umekonda  na  kudhoofika   mwili kwa  sababu  mbalimbali kama  vile  kuugua  maradhi au  msongo  wa  mawazo ( stress)?Uzito wako umepungua  kupita  kawaida ? Unahitaji  kuongezeka uzito  wako kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PASIPOTI MPYA NI SALAMA ASILIMIA 100 - UHAMIAJI

Na Mwandishi Wetu. IDARA ya uhamiaji nchini imewataka watanzania kupuuza habari zinazozagaa kuhusu uvumi wa pasipoti mpya kuwa zimechakachuliwa.Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dar es Salaam wakati...

View Article


SIMBA SC YAIBAMIZA AZAM FC BAO 1 - 0, MKUDE GUMZO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO FEBRUARY 8,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA APANGUA HOJA ZA WABUNGE NAMNA WIZARA YAKE INAVYOPAMBANA KUTOKOMEZA...

Na John Mapepele, DodomaWAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amepangua hoja zilizotolewa na wabunge kuhusu namna Wizara yake inavyopambana kutokomeza uvuvi haramu ili kunusuru kupotea kabisa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LANGU Feb 5 2018 Pt 2 TANO LADIES

Katika sehemu ya pili ya kipindi cha Jukwaa Langu Jumatatu hii tumetembelewa na TANO LADIES."Wadada" walioamua kuwa sehemu ya msukumo wa maendeleo ya wanawake na mabinti zetu.Wamezungumzia (pamoja na...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA: Marekani na Uturuki zatoleana macho

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGI WAJITOKEZA KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA KILIMO BIASHARA CHA PAPAI SALAMA

Na Seleman MsuyaZAIDI ya wanachama 500 wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita), wanatarajiwa kushiriki mafunzo maalum ya kufungua msimu wa kilimo cha Papai salama.Hayo yamesemwa na Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kipindi cha JUKWAA LANGU: SARATANI

Katika sehemu ya kwanza ya kipindi cha Jukwaa Langu, tumezungumzia kuhusu siku ya SARATANI DUNIANI iliyoadhimishwa  Feb 4.· Takwimu za maradhi haya zinaonyesha kwamba kifo 1 kati ya 6 hutokana na...

View Article


INTRODUCING DASHIE FT RUBY MPUTA (OFFICIAL VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKCI yafanya semina ya afya ya moyo,magonjwa yasiyoambukiza kwa Wabunge mjini...

Wazazi wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanapata chanjozote zinazotakiwa ili waweze kuepukana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo.Rai hiyo imetolewa jana na Waziri wa...

View Article


SERIKALI YAANDAA ENEO KWA VIJIJI VILIVYOATHIRIWA NA MVUA MKOANI DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Fedha na Mipango Dk,Khalid Salum Mohammed ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU

 Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Salum Mwalimu akihutubia katika Mkutano wa Wananchi uliofanyika katika Kata ya Kigogo akiomba kura hili aweze kupata ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni katika...

View Article
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live




Latest Images