Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MTEULE WA ROTARY INTERNATIONAL AWASILI NCHINI TANZANIA

RAIS Mteule wa Rotary International, Barry Rassin amewasili nchini Tanzania jana na kulakiwa na wenyeji wake District Governor, Bwana Kenneth Mugisha, District Governor Mteule, Sharmila Bhatt pamoja na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

EKARI 130,000 ZA MITI KUTUNZA NA KUPANDWA NA WAKAZI WA UYUI

NA TIGANYA VINCENT-RS TABORAHALMASHAURI ya Wilaya ya Tabora imeagiza kila kaya katika eneo hilo kuhakikisha inapanda miti ekari moja na kutunza miti asili ekari moja ikiwa ni mpango wake wa kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi Ofisi ya Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Marry Nagu: ununuzi wa mbolea kwa pamoja mkombozi kwa mkulima

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMAMfumo wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja(Fertilizer Bulk Procurement) umesaidia kuwawezesha wakulima wadogo kupata mbolea yenye ubora na kwa bei nafuu kwa wakati.Hayo...

View Article

TANZANIA:UNAWEZAJE KUPATA PASPOTI MPYA YA KUSAFIRIA YA KIELEKTRONIKI?...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO MAALUM YA KIJESHI MAPINGA MKOANI PWANI

  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MAMA OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA

TAREHE 6 – FEBRUARI 2018, UMETIMIZA MIAKA 24 TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA. TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU HII TUKIOMBA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali akutana na Katibu wa Bunge mjini Dodoma

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi leo  Jumanne amemtembelea  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Stephen Kigaigai ofisini kwake mjini Dodoma kwa ajili ya...

View Article


KAULI YA YANGA KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA SC DHIDI YA AZAM FC

View Article


AZAM TV: YANGA 4-0 NJOMBE MJI (MAGOLI YOTE, CHIRWA AKIPIGA HAT-TRICK) - VPL...

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo 6th February 2018

View Article

NI KWELI WA CHEZAJI WA MAJI MAJI WANAGOMBANIA CHAKULA ?

Fahamu mambo makuu matatu kuhusiana na Club ya Maji Maji inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara 2017-2018 katika mahojiano maalum yaliyofanywa na Ruvuma Tv on line na Msemaji wa club hiyo Onesimo Emeran .

View Article

Introducing Kingman 107 track

https://www.youtube.com/watch?v=lsFX0Xm2P2Qhttps://www.youtube.com/watch?v=gmP3sOYucaIhttps://www.youtube.com/watch?v=a8mMkG_qTFchttps://www.youtube.com/watch?v=IGD3XG_eu5k&t=215shttps://www.youtub...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAKABILIWA NA CHANGAMOTO LUKUKI

Na Wankyo Gati, ArushaUHABA wa fedha na watumishi katika uendeshaji wa shughuli za Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACJ), unachangia kukwamisha baadhi ya mashauri mahakamani hapo.Akielezea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa wilaya ya Hanang Mhe. Sarah Msafiri afunga Mafunzo ya Mgambo katika...

 Mkuu wa wilaya ya Hanang Mhe. Sarah Msafiri  akikagua gwaride wakati alipofunga Mafunzo ya Mgambo katika tarafa ya Bassotu wilayani humo mwishoni mwa wiki. (Picha kwa Hisan ya New Hanang Photo Studio)

View Article


UNNewsKiswahili: Abdullah aibuka kinara dhidi ya FGM nchini Sudan na habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: LESENI MADUKA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI KAA LA MOTO

*Maduka yamepungua,baadhi ya wamiliki waingia mitini*Kati ya maduka 297 ya awali sasa yamebaki 70,matawi 40*BoT yaendelea kuchambua leseni za maduka 65, Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBENKI Kuu ya...

View Article


WAFANYABIASHARA WADANGANYIFU KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA

NA DITHA NYONI RUVUMA Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka wafanyabiashara katika mkoa wa huo kuhakikisha wanatumia vyema mashine ya kutolea risiti EFD kwa ajili kuongeza mapatao na...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA

Na Fredy Mgunda,Iringa. WALIMU wa shule ya msingi Ilula na Isoliwaya zilizoko katika kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo wanakabiriwa na magonjwa ya Mlipuko kwa kukabiliwa na changomoto ya choo.Shule hizo...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images