Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110114 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPONGEZA HOSPITALI HUBERT KAIRUKI KWA UJENZI JENGO LA KISASA...

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinodnoni, Dkt. Festo Dugange (kwanza) na  Mama Kokushubira Kairuki ambaye ni mke wa Marehemu Hubert Kairuki (wa pili)  wakiangalia ramani ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEHENA YA MAGOGO 297 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MIL.26.3 YATAIFISHWA...

Na Jumbe Ismailly-ITIGI SHEHENA nyingine ya magogo 297 yenye thamani ya shilingi milioni 26,370,000/= yaliyokuwa yakimilikiwa na Kampuni ya ARIZONA ENTERPRISES iliyopo katika Mji mdogo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

wawili wapendanao wajishindia milioni 10 za tatu mzuka

Mwakilishi wa kampuni ya TatuMzuka,Milard Ayo akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema jana jijini Dar,alipokuwa akiwatambulisha washindi wa TatuMzuka Daily,waliojinyakulia Milioni 10 wakiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHUMI CUP YAFUNGULIWA HANDENI KUHAMASISHA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA VIJANA

Katika kuhamasisha vijana kujishughulisha na shughuli za maendeleo hususani kilimo mashindano ya mpira wa mguu na mpira wa pete UCHUMI CUP yamefunguliwa rasmi kwa ngazi ya robo fainali na Mwakilishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA ahukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100...

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu imemuhukumu Karani wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA, Winfred  Businge (33) kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kutumikia kifungo cha miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TICTS WASHEHEREKEA REKODI YA ONGEZEKO SHUGHULI 2017-

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya TICTS, Jared.H. Zerbe akiongea kwenye hafla ilioyandaliwa na kampuni hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency mwishoni mwa wiki iliyopita kusheherekea rekodi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchini, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viana, Akira na Wende Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto)  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC, SIMBA SC VITANI KESHO UWANJA WA TAIFA

Na Agness Francis,  Globu ya jamii MABINGWA Afrika Mashariki na kati Azam FC watakuwa wageni dhidi ya vinara aa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sc katika mchezo wao wa 2 mzunguko wa 2.Mchezo huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENERALI MABEYO AWATAKA WACHEZAJI WA GOFU LUGALO KUREJESHA HESHIMA KWA KUWA...

Na Luteni Selemani Semunyu JWTZMKUU  wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amewataka wachezaji wa Gofu wa Klabu ya Jeshi ya Lugalo kuhakikisha wanarejesha heshma ya jeshi kwa kuwa kinara katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTARATIBU WA SHERIA UNAPOHAMISHA OFISI ZA KAMPUNI.

Na  Bashir  Yakub.Vijana  wengi  wamefungua  makampuni. Mengine  tayari  yanafanya  kazi  na  mengine  hayafanyi  kazi. Kutokana  na  sababu  mbalimbali  vijana  wamekuwa  wakihamisha  ofisi  za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI TANZANIA IKULU LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzoRAIS wa Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI

Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya StarTimes imefanya hafla fupi ya kumkutanisha muigizaji maarufu wa China Hai Qing maarufu kama Mau Dou Dou na wasanii wa Kitanzania pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LESENI MADUKA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI KAA LA MOTO

*Maduka yamepungua,baadhi ya wamiliki waingia mitini*Kati ya maduka 297 ya awali sasa yamebaki 70,matawi 40*BoT yaendelea kuchambua leseni za maduka 65, Na Said Mwishehe,Blogu ya jamiiBENKI Kuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HANANG AFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO

 Mkuu wa wilaya ya Hanang, Sarah Msafiri  akikagua gwaride wakati  alipofunga Mafunzo ya Mgambo katika tarafa ya Bassotu wilayani humo mwishoni mwa wiki. (Picha kwa Hisan ya New Hanang Photo Studio)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NDIKILO AIAGIZA CBT KUMLIPA MALIPO MKANDARASI GHALA LA KUHIFADHIA KOROSHO...

Na Mwamvua Mwinyi,MkurangaMKUU wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo ameiagiza bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuhakikisha inamlipa ,malipo ya awali kiasi cha sh.bilioni 1.6, mkandarasi wa ghala la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA,CHINA KUSHIRIKIANA KUONGEZA WATALII.

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiTANZANIA na China zimeamua kushirikiana kwa lengo la kukuza soko la utalii nchini.Hivyo imeelezwa watu maarufu na mashuhuri wa nchi ya China akiwamo mwigizaji maarufu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MUWAKILISHI BENKI YA DUNIA NCHINI

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Muwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Daniel Mira-Salama ambaye pia ni Mratibu wa Mradi wa REGROW kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI AITAKA GOLF LUGALO KUREJESHA HESHMA YA JESHI MICHEZONI

Na Luteni Selemani Semunyu JWTZMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amewataka wachezaji wa Timu ya Wanawake ya Gofu ya Klabu ya Jeshi ya Lugalo kuhakikisha wanarejesha heshma ya jeshi kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AUWAWA KIKATILI MKOANI MTWARA

Mtoto mwenye umri wa miaka Mitano Jazaka Mussa, ameuwawa kikatili kwa kukatwa na Panga kichwani na mtu asiyefahamika katika kijiji cha Lipwidi, halmashauri ya wilaya ya Mtwara.Akithibitisha taarifa za...

View Article
Browsing all 110114 articles
Browse latest View live




Latest Images