Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110137 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ekari sita za bangi zateketezwa mkoani arusha

Waziri wa mambo ya ndani nchini,Dkt Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mjini Dodoma hapo jana, ikiwa ni sehemu ya ratiba yake ya kujitambulisha kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI

Mwishoni mwa wiki Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi ya umeme vijijini (REA II & REA III) kwenye jumla ya vijiji 18 katika wilaya za ROMBO,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAVURUGA ELIMU KONDOA WAMKERA MKUU WA WILAYA

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mh. Sezaria Makota amesema hatowafumbia macho wale wote wenye nia ya kuishusha wilaya ya Kondoa kielimu kwa kuvuruga kwa makusudi mikakati ya kuinua elimu wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA ZIMAMOTO MKOANI ARUSHA LAMUUNGA MKONO JPM

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Arusha limemkabidhi vifaa vya kuzimia moto (fire extenguisher’s) sita mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri Kishapu yaboresha huduma za elimu kupitia ushirikishaji wananchi

Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi.Serikali ya Tanzania imeweka mkazo kuboresha mazingira ya elimu kwa wanafunzi katika kujifunza ambayo ndiyo chachu ya mabadiliko na kufanya sekta hiyo nyeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

 Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.9 kwa Mwezi wa Disemba 2017 hadi asilimia 5.2 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zaidi ya Bilioni 25 kutekeleza shughuli mbalimbali Halmashauri Wilaya Njombe

Na Lukelo Mshaura- Njombe.Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Njombe limepitisha mapendekezo ya rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 wilayani hapa.Katika mapendekezo hayo baraza hilo...

View Article


BAKWATA YAGEUKA MBOGO SAFARI ZA HIJJA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA BILIONI 2.1 KUKARABATI BIHAWANA NA DODOMA SEKONDARI

Na Ramadhani Juma, Ofisi ya Mkurugenzi .SERIKALI kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 2.1 kwa ajili ya kukarabati Shule za Sekondari za Bihawana na Dodoma zilizopo...

View Article

2000 WAIBUKA NA USHINDI WA 1GB PROMOSHENI SHINDA NA SMATIKA

View Article

CREATING A BETTER LIFE IN TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni mjini Dodoma Februari7, 2018. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Kazi, Vijana, Ajira na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHAMIAJI YAWACHUNGUZA WATOTO WATATU RAIA WA RWANDA KWA KUINGIA NCHINI BILA...

Na Jumbe Ismailly, SingidaIDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Singida inawashikilia kwa uchunguzi watoto wa kike watatu raia wa  Rwanda wenye umri chini ya miaka 18 kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha...

View Article

HYATTY REGENCY HOTEL YAJIANDAA NA VALENTINE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI WALOWEZI WATAKIWA KUJIORODHESHA UHAMIAJI

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiIDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imewataka  wahamiaji walowezi kujiorodheshwa Marika ofisi zao za uhamiaji  wilaya.Lengo ni kwamba baada ya kufanya hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KINARA UTAWALA BORA AFRIKA MASHARIKI

Na. Immaculate Makilika- MAELEZOOrodha ya Hali ya Demokrasia Duniani (2017 Democracy Index) iliyozinduliwa Februari 2, mwaka huu na kuchapishwa na jarida kongwe na mashuhuri duniani la The Economist...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTUNZAJI FEDHA BADO NI CHANGAMOTO KWA WATANZANIA

Na Said Mwishehe,Blogu ya jamiiBENKI Kuu ya Tanzania(BoT) imesema bado ni changamoto kwa watanzania walio wengi katika kutunza fedha za noti na noti ya sh.500 na noti ya Sh.1000.Hayo yamesemwa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Selemani Jafo amewataka Wadau wote wa Elimu pamoja na jamii kwa ujumla kushirikiana na serikali  kutekeleza sera ya elimu Bila...

View Article

VIONGOZI KAGERA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO WAKATI WA UTAFITI KAYA BINAFSI

View Article
Browsing all 110137 articles
Browse latest View live




Latest Images