Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA MAENEO YA HIFADHI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangallah,( wa kwanza ) pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga ( wa tatu ) wakiruka viunzi wakati walipotembelea jana ili kujiridhisha kabla...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU GAVANA BENKI KUU TANZANIA (BOT) AFUNGUA SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI...

Bw. Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani (AIC) akifungua semina ya siku tano ya waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi inayofanyika katika ukumbi wa BOT...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akiwa katika picha na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kushoto) baada ya...

View Article

FUATILIA LIVE KUAGWA KWA MWILI WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU VIWANJA VYA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BoT YAELEZEA UMUHIMU VYOMBO VYA HABARI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBENKI Kuu ya Tanzania(BoT), imesema vyombo vya habari nchini mchango wao ni muhimu zaidi ili kufikia azma ya uchumi wa viwanda huku ikisisitiza haja ya kuandikwa taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHABARI PATRICK MWILLONGO ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

Ndugu wanahabari mwenzetu Patrick Mwillongo yupo hoi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke ambako amelazwa kwa matibabu.Mwillongo anasumbuliwa na ugonjwa wa kujaa maji kwenye mapafu ambao umesababisha...

View Article

MICHUZI TV: MZEE KINGUNGE AAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHABARI PATRICK MWILLONGO ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

Wanahabari Hellena Mwango, Careen , Kulwa Mwaibale na mke wa Patrick Mwillongo wakiwa wamekaa nje ya jengo la Hospitali ya Mkoa Temeke wakitafakari namna ya kumsaidia Mwillongo walipofika  kumjulia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiwa huru mfanyabiashara Abdullah Hauga (73) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kupeperusha bendera ya Tanzania...

View Article


LIVE: MAZISHI YA MZEE KINGUNGE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU HAKI JINAI WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUTOA HAKI KWA WAKATI

Na Mary Gwera, Mahakama WADAU wa Haki Jinai nchini wameazimia kwa pamoja kukuza ushirikiano baina yao katika kushughulikia uhalifu wa makosa yanayovuka mipaka kuanzia eneo la Ukusanyaji wa taarifa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WAWILI WA UINGEREZA KORTINI WAKITUHUMIWA KWA MASHTAKA TISA,YAMO YA...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.RAIA wawili wa Uingereza na Mkurugenzi Mkuu wa Afri Transport, wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kujibu mashitaka tisa yakiwamo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mji Mkongwe, Ali Saleh kwenye viwanja via Bunge Mini Dodoma Februari 5, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ileje, Janet...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wawekezaji Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mkoani Manyara

Na: Frank Shija – MAELEZO, Babati,Wawekezaji wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazopatikana katika Mkoa wa Manyara badala ya kukimbilia katika maeneo ambayo yamezoeleka na wadau wengi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA YA WATANZANIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MZEE...

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba  wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLEPOLE AZINDUA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika...

View Article

NI WAJIBU WA KILA MWANANCHI KUTOA TAARIFA SAHIHI UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIWANJA VYA NDEGE 11 NCHINI KUFANYIWA UPANUZI NA UKARABATI

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMASerikali imeanza majadiliano na Benki ya Dunia ili kupata mkopo wa kugharamia ukarabati na upanuzi wa Viwanja vya Ndege 11 kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO

Na Agness Francis -Globu ya jamiiKAMPUNI ya Simu za mkononi Airtel Tanzania imeamua kuzindua promosheni ya Yatosha Intanenti kwa wale wanaonunua vifurushi vya bando la Yatosha SMATIKA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAAHIDI KUTOWAANGUSHA MASHABIKI,WAPO KAMILI KUIVAA SIMBA

NAHODHA Msaidizi wa Azam FC,  Agrey Moris ameweka wazi kuwa hawatawaangusha mashabiki kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Simba.Moris ametoa kauli hiyo ikiwa zimebaki...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images