Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110139 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUBORESHA MAFUNZO KWA WATU WENYE ULEMAVU

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMASerikali kwa kushirikiana na wadau imeendelea kuboresha Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi vya Watu wenye Ulemavu ili kuwawezesha kuajiriwa na kujiajiri na kupata ujuzi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU USO KWA USO NA WADAU WA PAMBA JIJIN MWANZA

WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa, ameitisha kikao cha wadau wa pamba nchini, ili kujadili namna bora ya kuongeza tija ya zao hilo.Kikao hicho kitakachofanyika jijini Mwanza Februari 15 hadi 16, 2018,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIMAMOTO YAJIWEKA TAYARI KWA MAOKOZI MAJINI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye katika picha ya pamoja na Kikosi cha Maokozi cha Jeshi hilo, wakati alipotembelea Kikosi hicho kilipokuwa kikionesha zoezi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIBA MTANDAO KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

Serikali imejipanga kutumia tiba mtandao kuboresha huduma za afya nchini kwenye hospitali zote za ngazi ya taifa, rufaa na wilaya ili kuwawezesha wagonjwa waishio sehemu mbali mbali nchini kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AONGOZA MAZIKO YA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU MAKABURI YA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kishapu yafikia lengo upigaji chapa ng’ombe

Na Robert Hokororo- Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya wilaya ya Kishapu imeweza kupiga chapa jumla ya ng’ombe 225,131 katika zoezi la utambuzi na usajili wa mifugo linalofanyika katika kata zote zenye...

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo 5th February 2018

View Article

UNNewsKiswahili leo Februari 5, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu aongea na wanahabari

Na Ali Issa - MAELEZO Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu  amesema uwendeshaji wa kesi kwa mwaka uliomaliza haukuwa mbaya na kwamba  kiasi Idara ya Mahakama imefanikiwa katika utekeleza wa...

View Article


KENYA – A Country At Economic and Political Crossroads by ZURIEL ODUWOLE: The...

Believing that the best way to change the negative perception on Africa is to show investors potential partners on the continent, Film Maker Zuriel Oduwole has continued her series, focusing on the...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA UTAFITI WA MAPATO,MATUMIZI KWA...

Na,Consolata Evarist,GeitaWananchi Mkoa wa Geita wametakiwa kutoa ushirikiano kwenye zoezi la utafiti wa mapato na matumizi kwenye Kaya binafsi ili kutoa takwimu za hali ya umasikini zitakazosaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO FEBRUARY 6,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kushoto) akizungumza katika kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MAMA OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA

TAREHE 6 – FEBRUARI 2018, UMETIMIZA MIAKA 24 TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA. TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU HII TUKIOMBA...

View Article


MICHUZI TV: MWANAMITINDO ASIA IDAROUS ATANGAZA KULIACHIA TAMASHA LA LADY IN RED

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara

 Meneja Usimamizi wa Mabenki (BOT), Eliamringi Mandari akiwasilisha mada ya Usimamizi wa shughuli za Mabenki na Taasisi za Fedha katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA SIKU SABA WANANCHI WALIOVAMIA JUMUIYA HIFADHI WANYAMAPORI YA...

Serikali kupitia Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na wa TAMISEMI imetoa siku saba kwa wananchi waliovamia kwa kuendesha maisha yao na kufanya shughuli za kilimo pamoja na kulisha mifugo ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA

Chama Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kinazipongeza timu za JKT Tanzania, KMC na African Lyon  kwa kufanikiwa kuwa miongoni mwa timu sita zilizopanda ligi kuu daraja (VODACOM Premier...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU...

 Katika kusherehekea miaka 41 ya CCM , Katibu wa CCM  wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyu ameongozana na wanachama wa CCM wengine kutembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha Irente na kuwakabidhi...

View Article
Browsing all 110139 articles
Browse latest View live




Latest Images