Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI ELFU 16 KONDOA VIJIJINI WAONDOKANA NA KERO YA MAJI

Na Benny Mwaipaja, KondoaZAIDI ya wakazi elfu 16 wa vijiji vitatu vya Mauno, Makiranya na Kinyasi-Majengo, katika Jimbo la Kondoa Vijijini mkoani Dodoma wameondokana na adha ya kukosa maji baada ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA

Na Zaynab Nyamka KLABU ya Singida United imemsimamisha kwa muda usiojulikana mshambuliaji wake raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kambale Salita Gentil kwa utovu wa nidhamu.Taarifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA CCM MKOA WA PWANI WALAANI VIKALI VITENDO VYA WATU WANAOHUJUMU ZAO...

VICTOR MASANGU-PWANISAKATA la kuhujumu zao la korosho linalofanywa na baadhi ya wanunuzi,wakulima,pamoja na viongozi wa vyama vya ushirika hatimaye limechukua sura mpya baada ya uongozi wa chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU KICHERE AWATAKA WAFANYAKAZI SIRARI KUENDELEA NA UTOZAJI WA KODI...

Na: Veronica Kazimoto-SirariKamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere amewataka Wafanyakazi wa taasisi mbalimbali wakiwemo wa mamlaka hiyo wanaofanya kazi katika Kituo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Klabu za Fema Hip zasema "Ukatili wa kijinsia sasa Basi"B

Kongamano la kumi la Fema Clubs kutoka kote nchini limemalizika leo jijini Dar es Salaam likiwa limekutanisha wanafunzi zaidi ya mia moja pamoja na walimu wao. Hawa ni wawakilishi kutoka mikoa yote ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASWA YASHAURIWA KUWEKEZA KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI

Na Stella Kalinga-SimiyuHalmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imeshauriwa kuwekeza katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi ikiwemo viatu, mikoba na mikanda kinachomilikiwa na kikundi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI

  Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi kifaa cha kupimia Pumu kwa  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC RUVUMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSIMAMIA VYEMA MAADILI YA WAUMINI WAO

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka viongozi wa dini mkoa humo kusimamia vyema maadili ,unywaji pombe uliokithiri pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya amesema hayo wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI

Na Zainab Nyamka,Globu ya JamiiKIKOSI cha Yanga kimeondoka leo jijini Mbeya kuelekea Iringa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Lipuli siku ya Jumamosi.Mchezo huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA MJI WA MBULU WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 16

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara, limepitisha bajeti ya shilingi 16, 225,661,581 kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019. Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu, Anna Mbogo akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO

Kaka na dada wetu,@imetoshafoundation wa kushirikiana na Umoja wa watu wenye ualbino Tanzania, na Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, tumeandaa upimaji wa Kansa kwa watu wenye ualbino waishio jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe

Mawakili wa Kujitegemea Mkoani Njombe Wamewatupia Lawama Watoa Maamuzi Katika Muhimili wa Mahakama Kwakuwa na Visingizio Mbalimbali Vinavyosababisha Mashauri ya Watuhumiwa Kuahirishwa Mara Kwa Mara na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA

Na Nyakongo Manyama-MAELEZODAR ES SALAAMMKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chama cha Kutetea Maslahi ya Wafugaji Mbwa unaotarajia kufanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR ES SALAAM

 Mbeba mizigo katika soko la Buguruni akiwa amebeba matenga ya kubebea nyanya leo jijini Dar es Salaam. Mwananchi akifanya usafi wa mazingira nje ya soko la Buguruni bila ya kuwa na vifaa vya usafi leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tatu Mzuka yazindua kampeni ya Valentine, ‘Ukishinda, Unayempenda naye...

• Zaidi ya milioni 300 kutolewa katika msimu huu wa Valentine Kampuni ya mchezo wa bahati nasibu, Tatu Mzuka, leo wamezindua kampeni mpya ya Valentine, ambayo inaanza rasmi leo hadi tarehe 18 ya mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YASEMA MFUMO WAKE WA TAARIFA UKO SALAMA

*Yapunguza bei ya bia ya Castle Lite Premium LagerNa ripota Wetu,Globu ya jamiiKAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizozagaa mitandaoni za kudukuliwa kwa mfumo wake wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA: UFAFANUZI JUU YA “UVUMI” UNAOENEA KATIKA MITANDAO YA...

Kumekuwepo na uvumi unaoenezwa kupitia baadhi ya Mitandao ya Kijamii kuwa Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira kwa nafasi za Mkaguzi Msaidizi, Koplo na Konstebo. Kufuatia kuwepo kwa uvumi huo,...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 01.02.2018

View Article

UNNewsKiswahili: Kijana wa kitanzania angara katika jukwaa la Umoja wa...

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo 1st February 2018

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images