MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA...
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd. Omar Khamis Othman (kati) akimsikiliza afisa kutoka Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) zone ya Pemba, Nd. Ali Shaaban Suleiman akitoa ufafanuzi wa maeneo...
View ArticleBREAKING: WAZIRI MPINA AKAMATA MELI YA MALAYSIA IKIFANYA UVUVI HARAMU, AWAPA...
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amekamata meli ya uvuvi mali ya Kampuni ya Buah Naga 1 ya nchini Malaysia na kuitoza faini ya Dola za kimarekani 350,000 sawa na Sh.milioni 770 kwa kosa la...
View ArticleNEWS ALERT: RAIS DKT MAGUFULI ATEUA MWANASHERIA MKUU NA NAIBU WAKE WAPYA
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
View ArticleBREAKING: MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU HATUNAYE TENA
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii MWANASIASA mkongwe na maarufu nchini Tanzania mzee Kingunge Ngombale-Mwiru(87), amefariki dunia,akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambako alikuwa...
View ArticleSPIKA NDUGAI AMLILIA MAREHEMU MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru kufuatia kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 2...
View ArticleDr. Jane Goodall t hold live video screening in Dar es salaam on Monday
For previous posts of Dr. Jane Goodall on this blog CLICK HERE
View ArticleTANZIA: MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AFARIKI DUNIA, RAIS DKT MAGUFULI AOMBOLEZA
Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMWANASIASA mkongwe na maarufu nchini Tanzania mzee Kingunge Ngombale-Mwiru(87), amefariki dunia,akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambako alikuwa...
View ArticleMAHAKAMA YAAMBIWA AFYA MMILIKI IPTL, RUGEMARILA ZINA MASHAKA
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa afya ya mmiliki wa IPTL, Harbinder Singh Sethi na mfanyabiashara James Rugemarila zinaendelea kuwa za mashaka.Hayo...
View ArticleNYUMBA INAUZWA IPO CHAMAZI SAKU DAR ES SALAAM, TANZANIA
Nyumba inauzwa mil.30 Eneo la Chamazi Saku, Wilaya ya Temeke,Dar es Salaam Ina Vyumba 3 ,Jiko na stoo yake (Food pantry), sitting room, Dinning, vyumba viwili ni master bedroom pia Kuna common bath na...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha nne cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge...
View ArticleKumbukumbu ya Kifo cha marehemu mama yetu mpendwa Joyce Bartlett Kallaghe
Ni mwaka moja umepita tokea ulipotuacha. Tokea ulipotoweka hakuna siku inayopita ambapo haupo katika mioyo na akili zetu. Enzi za uzima wako matendo yako yaligusa mioyo mingi kwa namna ya kipekee...
View ArticleMatumizi ya TEHAMA kusaidia kupunguza msongamano ofisi za DC na RC
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesema maboresho ya TEHAMA yanayofanywa na mhimili wa mahakama nchini utasaidia kupunguza foleni za wananchi wanaofika ofisi za Wakuu wa Wilaya na kwa Mkuu wa...
View ArticleUJENZI RASMI BOMBA LA MAFUTA KUANZA MEI
Na Veronica Simba – DodomaSerikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na Kampuni ya Total wamekubaliana kuharakisha hatua zote za awali katika Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Hoima Tanga...
View ArticleRC MAKONDA AKOSHWA KASI YA UJENZI OFISI ZA MAKAO MAKUU BAKWATA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda jana amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA ambapo amefurahishwa na...
View ArticleUJENZI STENDI KUBWA YA KISASA DODOMA KUANZA MACHI, NI YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI
Na Ramadhani Juma,Ofisi ya MkurugenziUJENZI wa stendi ya mabasi kubwa na ya kisasa katika Manispaa ya Dodoma unatarajiwa kuanza mapema mwezi Machi mwaka huu katika eneo la Nzuguni nje kidogo ya Mji wa...
View ArticleDC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amekabidhi hundi za mikopo shilingi milioni 25 kwa vikundi vitatu vya vijana na kimoja cha wanawake zilizotolewa na halmashauri ya wilaya ya Shinyanga....
View Article
More Pages to Explore .....