MFANYABIASHARA WA NGUAO KARIAKOO AJISHINDIA MILIONI 60 ZA TATUMZUKA
Mwakilishi wa TatuMzuka,Kemi Mutahaba akimkabidhi mfano wa hundi Bi Neema Mtewele (38),ambaye ni mfanyabiashara wa nguo za akina mama Kariakoo jijini Dar Es Salaam,aliyeibuka na kitita cha shilingi...
View ArticleLYATONGA MREMA KUUNGURUMA LEO STENDI YA MABASI MWENGE JIJINI DAR
KATIBU MKUU WA TLP, Mhe Nancy Mrikaria,anapenda kuwataarifu akina mama na akina baba kuwa Mhe.Augustino Lyatonga Mrema Mwenyekiti Wa Taifa wa bodi ya Parole na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa TLP...
View ArticleWITO WATOLEWA KWA VYAMA VYA SIASA KUTII SHERIA WAKATI WA UCHAGUZI.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi amevikumbusha vyama vya siasa kutii Sheria ya Vyama vya Siasa, Sheria ya Gharama za uchaguzi na kanuni zake wakati wa uchaguzi. Wito...
View ArticleMsanii Wastara awashukuru watanzania kwa kuchangia matibabu yake
Na Genofeva Matemu – WHUSMMsanii wa filamu nchini Bibi. Wastara Issa ameendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha moyo wa kuguswa na tatizo...
View Article"101 Letters from a Vocal Coach" Goes to Amazon, Barnes & Noble
At last, my new book, available in paperback, is now in globalREACH retail distribution via the world’s top online bookstores Amazon and Barnes & Noble. Which means, anyone on the planet who is...
View ArticleMsanii Wastara awatoa hofu watanzania kuhusu matibabu yake
Na: Genofeva Matemu – WHUSM Msanii wa filamu nchini Bibi. Wastara Issa ameendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha moyo wa kuguswa na tatizo...
View ArticleEXIM IMEKABIDHI VITANDA NA MAGODORO 40 KWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA...
Mkurugenzi Mtendaji was hospital ya rufaa ya Mbeya Dr Godlove Mbwanji akitoa shurkani kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto) baada ya...
View ArticleMohammed Enterprises yazindua shindano la Pindua Ushinde
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imezindua shindano la Zawadi ya Chini ya Kizibo (UTC) la “Pindua Ushinde” litakalofanyika kwa muda wa siku 45, linalotarajiwa kuisha Machi 10...
View ArticleDK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI...
Benny Mwaipaja, DodomaWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, amekutana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Kanda ya Afrika, Bw. Peter Matlare na kuiomba Benki hiyo kuangalia...
View ArticleIGP SIRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI WA MBWA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Canine Association Ltd (TCAL) Sinare Sinare, akizungumz na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, leo wakati akitangaza uzinduzi rasmi wa Chama...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es...
View ArticleMKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA...
Afisa kutoka Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) zone ya Pemba, Nd. Ali Shaaban Suleiman akitoa ufafanuzi wa maeneo yanayotegemewa kuekezwa. Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Bi. Salama Mbarouk Khatib...
View ArticleBALOZI WA CUBA NCHINI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA JENERALI...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akisalimiana na Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es...
View ArticleKAIMU KATIBU IDARA YA VYUO,VYUO VIKUU AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA...
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndugu Daniel Zenda akikabidhi kadi 1500 za wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Katibu wa Hamasa Seneti ya mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleTATIZO LA MAJI LINDI MJINI KUBAKI HISTORIA.
Na Mwandishi WetuKatibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo amefanya ziara kutembelea mradi wa maji wa Ng'apa Mkoani Lindi wenye thamani ya Euro milioni 11.7 ikiwa ni sehemu ya...
View Article
More Pages to Explore .....