Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA...

 Kaimu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba (wa tatu kulia)akifungua kikao baina ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs ) na Serikali kilicholenga kujadili mpango...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARUMA AKUMBUSHA SOKA LA WANAWAKE KUZINGATIA SHERIA 17 ZA MPIRA

Na Agness Francis,  Globu ya Jamii. MWENYEKITI wa Chama cha Soka  cha Wanawake Tanzania Amina Karuma amewakumbusha viongozi  wa timu mbali mbali za soka la  wanawake  zilizoingia 8 bora katika Ligi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAVIU WASHAURI HALMASHAURI SITA ZA WILAYA MKOA WA...

Shirika la Ariel Glaser Pediatric Aids Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI limeendesha warsha kwa WAVIU Washauri 75 kutoka halmashauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WLAC YAANZA KUTOA MAFUNZO KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA,UKEKETAJI WILAYANI...

Na,Jumbe Ismailly IRAMBAKITUO cha Msaada wa sheria kwa Wanawake( WLAC) kimeanza kutoa mafunzo ya kutokomeza ukatili kwa kijinsia na ukeketaji pamoja na madhara yake kwa watoto wa shule za msingi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI AMTUMIA MBUNGE OLE MILLYA, SALAMU ZA KUACHA JIMBO LA SIMANJIRO

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti, amemtumia salamu mbunge wa Jimbo la Simanjiro James Ole Millya (Chadema) kutumia nafasi hii kuagana na wananchi wake kwani hawezi kushinda tena ubunge wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akutana na viongozi wa dini,...

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini ambapo katika kikao hicho kamati ya Amani ya Mkoa imeundwa ikihusisha viongozi wa Dini zote. Katika...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 30.01.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WANAOOMBWA RUSHWA YA NGONO WATOE TAARIFA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.WANAWAKE wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kuombwa rushwa ya ngono wametakiwa kuripoti katika vyombo vya sheria ili kupatiwa msaada.Akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMNA MAHABUSU,WAFUNGWA WANAVYOTUMIA SEHEMU ZA SIRI KUINGIA NA SIMU, SIGARA...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii WAMETAFUTA mbinu mbadala! Ndivyo unavyoweza kuelezea kinachoendelea kwenye baadhi ya magereza yaliyopo nchini kwa baadhi ya wafungwa na mahabusu kutumia sehemu zao za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENGI AIPA TWCC JENGO LAKE KUENDELEZA UJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) Dk Reginald Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP LTD, amekipatia Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania ( TWCC) jengo la maonyesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO JANUARY 31,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA LA FREE PENTECOST CHURCH OF TANZANIA LAPEWA MIFUKO 25 YA SARUJI

Na Fredy Mgunda,Iringa.MBUNGE wa viti maalum mkoa wa iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati ametoa msaada wa mifuko ishirini na tano (25) katika kanisa la Free Pentecost Church of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Kalemani akagua miradi ya uzalishaji Umeme Katavi

Na Teresia Mhagama, KataviWaziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amefanya ziara mkoani Katavi kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYAMA VYA SIASA VYAKUMBUSHWA KUTII SHERIA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi amevikumbusha vyama vya siasa kutii Sheria ya Vyama vya Siasa, Sheria ya Gharama za uchaguzi na kanuni zake wakati wa uchaguzi.Wito huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahojiano na mwanaDiaspora Dr Frank Minja kutoka Marekani

Karibu katika mahojiano na Dr Frank Minja. Mmoja wa wanaDIASPORA waishio Marekani ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika kusaidia kuboresha huduma za X-Ray nchini Tanzania. Dr Minja Mkurugenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA MIFUGO KUKABIDHI RASMI TAARIFA YA CHAPA YA MIFUGO LEO KWA...

Na John Mapepele-DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Sekta ya Mifugo nchini, Dkt Maria Mashingo amewataka Wakuu Wote wa Idara katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MSANII MKONGE KING MAJUTO HOSPITALINI DAR ES...

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018  Rais wa Jamhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASATA YAZINDUA CHAMA CHA WANAMITINDO TANZANIA

Na Nyakongo ManyamaBARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na wabunifu wa Tanzania wamezindua Chama cha Mitindo Tanzania (FAT) kitakachowaunganisha wabunifu wote hatua inayolenga kuinua na...

View Article

MICHUZI TV: ALICHOKISEMA MZEE MAJUTO BAADA YA KUTEMBELEWA NA RAIS MAGUFULI...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images