Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109936 articles
Browse latest View live

DALADALA ZA KIMARA MATOSA ZATISHIA KUGOMA SIKU YA JUMATANO WIKI HII

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO JANUARY 30,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA PICHA ETHIOPIA ADIS ABABA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL FUND YAIPA SERIKALI TRILIONI 1.155/- KUPAMBANA NA UKIMWI, TB, MALARIA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii SERIKALI ya Tanzania na Global Fund wamewekeana saini mkataba wa Dola za Marekani milioni 525 sawa na Sh.Trilioni 1.155 kwa lengo la kufadhili shughuli za kupambana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WA TANZANIA NA RWANDA WAKUTANA KUJADILI MRADI WA...

Benny Mwaipaja, WFMMawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kupata fedha za Ujenzi wa Reli yenye Kiwango cha Kimataifa (SGR) kutoka Isaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zawadi kem kem promosheni ya Jero Yako ya Zantel.

 Meneja Masojo wa Zantel, Bi.  Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kwa Bwana Moiz Johar Hussein Hassanali  mmoja wa washindi wa wiki wa promosheni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRIKA YAAZIMIA KUZALISHA UMEME WA KUTOSHA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassima Majaliwa amesema nchi za Bara la Afrika zimeazimia kujiimarisha katika uzalishaji wa umeme hadi vijijini ili uweze kuleta maendeleo.Aliyasema hayo jana (Jumatatu Januari 29, 2018)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajasiliamaji watakiwa kuendelea kutengeneza bidhaa bora kujenga uchumi wa...

. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF, Bathow Mmuni wakati akifunga mfunzo ya Sido yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam ambapo aliwataka wajasiliamali kuendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEHEMU YA BAADHI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017/2018

  

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WA AFYA NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuendelea kutatua changamoto za zinazowakabili watumishi wa Kada ya Afya nchini ikiwemo kuboresha miundombinu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017/18, ST. FRANCIS YASHIKA NAFASI...

*Philison Mdee aongoza kwa wavulana,  Ellizabeth  Mangu aongoza wasichana*Wengine 265 matokeo yafutwa, yumo aliyeandika matusi kwenye majibu Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiSHULE ya Sekondari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUPASUKA KWA BOMBA LA MAJI LAZUA TAHARUKI KWA WAKAZI WA TABATA

 Wakazi wa Tabata Chang'ombe wakiwa wanashangaa bomba la maji lililopasuka kutokana na ukarabati unaoendelea katika barabara hizo ambazo zinajengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini(Tarura),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson akisoma dua ya kuliombea Bunge katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, kwenye Hoteli ya Radisson Blue, mjini Addis Ababa, wakati akiondoka kurejea Dar es salaam, kushoto ni Mke wa Salim Ahmed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JPM Kuzindua Pasipoti ya Kielektroniki

Jonas Kamaleki- MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli kesho atazindua Pasipoti Mpya ya Tanzania ya kielektroniki jijini Dar es Salaam.Uzinduzi huo utafanyika Jumatano,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WATEULE WALA VIAPO BUNGENI LEO

  Mbunge wa Songea Mjini (CCM) Mhe.Dkt.Damas Daniel Ndumbaro akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (hayupo pichani)  wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

St Anne Maria yazawadia walioipaisha kitaifa

SHULE ya St Anne Maria ya Mbezi jijini Dar es Salaam imewazawadia wanafunzi wake waliofanya vizuri kwenye matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili yaliyotangazwa hivi karibuni na kuipaisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASISITIZA UWAZI SHUGHULI ZA MADINI

Kampuni za Madini nchini zimetakiwa kufanya shughuli zake kwa uwazi sambamba na kufuata Sheria za nchi ili kuepuka migongano.Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam Januari 29, 2018 na Katibu Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

Na Chalila Kibuda, Globu ya jamiiWAFANYABIASHARA wa matunda Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam wameeleza kuwa kwa sasa matunda yameongezeka, huku wakibainisha wazi bei ambazo wanauza kwa wateja wao....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REPOA YAONGOZA MKUTANO WA WHY THINKS MATTER NCHINI

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiTasisi ya Utafiti nchini Repoa leo imeongoza watafiti mbalimbali nchini katika Mkutano wa Watafiti Duniani ujulikanao kama "WHY THINKS MATTER"  Ambao umefanywa na...

View Article
Browsing all 109936 articles
Browse latest View live




Latest Images