Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA AU NCHINI...

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amehudhuria katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli. Januari 29, 2018.   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

5 YEARS DEATH ANNIVERSARY

Moses Tito KachimaBORN:27th January 1945                  DIED: 29th January 2013Gone but not forgotten. Your presence lingers in our life. God blessed us with your presence and now you’re not here...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOWAFUMBIA MACHO WANAOJIHUSISHA NA UVUVI HARAMU

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiSERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais ,Dk.John Magufuli imeapa kutowafumbia macho viongozi au watu wanaojihusisha na shughuli za uvuvi wa kutumia zana haramu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA JIJI LA MWANZA AJISHINDIA MILIONI 40 ZA TATUMZUKA

 Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela,Khadija Nyembo akimkabidhi mfano wa hundi  mkazi wa Buswelu,Ilemela,jijini Mwanza, Gibson Gratian Erasms,aliyejishindia kitita cha shilingi milioni 40 kwenye mchezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AAGIZA VIWANDA VYA SAMAKI KANDA YA ZIWA VICTORIA VIANZE KAZI IFIKAPO...

Na John Mapepele, Mara.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameagiza viwanda vinne vya kuchakata samaki na mazao yake vilivyofungwa katika Mikoa ya Mwanza na Mara kuanza kazi mara moja ifikapo Julai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJINA YA VYUO YABADILISHWA ZANZIBAR

Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kiliunganishwa na Chuo cha Uongozi wa Fedha Zanzibar cha Chwaka, Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar cha Maruhubi na Chuo cha Afya cha Mbweni kwa sheria No. 7 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akipata maelezo ya eneo la kiwanja chenye hati namba 4091 kilichopo Njiro Jijini Arusha ambacho kimevamiwa na watu mbalimbali na kuanzishwa...

View Article

DKT. MWAKYEMBE: TUMEJIPANGA, LAZIMA TURUDI NA MEDALI JUMUIYA YA MADOLA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZAATHIRI UZALISHAJI UMEME NYUMBA YA MUNGU

Na Rhoda James, KilimanjaroImeelezwa kuwa, shughuli za Kibinadamu zinazofanywa kuzunguka Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Nyumba ya Mungu zimeendelea kuathiri uzalishaji wa nishati hiyo kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADARASA YA NYASI, TEMBE, UDONGO YASITUMIKE KATIKA SHULE ZOTE NCHINI-WAZIRI JAFO

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi ambao kwenye maeneo yao bado kuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBULU YAPITISHA MPANGO WA BAJETI YA MABILIONI KUKAMILISHA VIPAUMBELE VYAKE

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, limepitisha shilingi bilioni 43.983 za mapendekezo ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019. Mkurugenzi Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU AZINDUA KITUO CHA MAFUNZO, HABARI KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.JAJI Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma amezindua Kituo cha Mafunzo na Habari za Mahakama kilichopo Kisutu Dar es Salaam ambacho kitasaidia kuwajengea uwezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAFF YAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA MSAADA WAKE WA MATIBABU YA MSANII WASTARA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSEMAJI WA JESHI LA ZIMAMOTO,UOKOAJI NCHINI ATEMBELEA CHANNEL TEN

 Mwandishi wa habari na mtangazaji mwandamizi wa African Media group Ltd inayosimamia Vyombo vya utangazaji Channel ten na Magic Fm, Bw. Kibwana Dachi akifafanua jambo kwa Msemaji Mkuu wa Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jafo Apiga Marufuku Madarasa ya Udongo na Tembe.

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halamshauri zote nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MTEULE DKT....

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS Dkt Magufuli akutana na Maafisa Wakuu sita wa JWTZ wanaotarajiwa kustaafu

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo kabla hajaanza kuwatambulisha Maafisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA AU NCHINI...

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amehudhuria katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli. Januari 29, 2018.   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI ATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA WATUMISHI TPSC KUPIGWA MSASA

Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt.Henry Mambo (wa pili kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo huku Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Wapongeza Tanzania Kutajwa Kinara Uchumi Shirikishi

Wananchi Mkoani Dodoma wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali katika Kujenga uchumi shirikishi unaogusa maisha ya wananchi baada ya Tanzania kutajwa na Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images