DC MLOZI AHIMIZA WATENDAJI,MADIWANI WA MANISPAA YA TABORA KUZINGATIA MUDA
Na Tiganya VincentMKUU wa Wilaya ya Tabora Queen Mlozi amewataka Madiwani na Watumishi wa Manispaa ya Tabora kuzingatia muda wanapokuwa katika shughuli mbalimbali kama wanataka kupata maendeleo ya...
View ArticleKamishna Nsekela: Zingatieni mgongano wa Maslahi mnapojadili rasimu ya kanuni
Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela amewataka wadau wa maadili kuzingatia suala la mgongano wa maslahi wanapojadili rasimu ya kanuni za maadili ili kupata kanuni sahihi zitakazosaidia...
View ArticleSERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanya mnada wa hadhara wa kuuza meno ya viboko vipande 12,467 yenye uzito wa kilo 3,580.29 katika ofisi zake ndogo katika Jengo...
View ArticleRais Shein Afungua Warsha ya Uelewa Mamlaka ya Viwanda Vidog Vidogo...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Warsha ya Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogona Vya Kati...
View ArticleBALOZI SIMBA AKUTANA NA UGENI KUTOKA NCHINI MAREKANI
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (kulia) akimkaribisha katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, Afisa wa Masuala ya Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani...
View ArticleYANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD utakaopigwa kwenye...
View ArticleBFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA
Na Agness Francis Globu ya Jamii. KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Ngumi Tanzania(BFT) Makore Mashaga amesema katika kujiandaa na michuano kuelekea Jumuiya ya Madola watakwenda Mjini Dodoma kwa ajili ya...
View ArticleNAIBU SPIKA AONGOZA KIKAO KAMATI YA UONGOZI MJINI DODOMA.
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba...
View ArticleBASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI
Basi la kampuni ya Tahmeed lenye namba za usajili T483 BFL limeungua moto katika Kijiji cha Kabuku wilayani Handeni. Kwamujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, SACP Edward Bukombe alisema basi hilo...
View ArticleASKARI 16 WA JESHI LA POLISI WATUNUKIWA VYETI
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa RUVUMA Gemini mushi amewatunuku vyeti askari 16 kikosi cha usalama barabarani kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kipindi cha mwaka 2016 na 2017.
View ArticleSHERIA YA TAKWIMU MWAKA 2015 HAIJAZUIA TAFITI ELIMU YA JUU
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Albina Chuwa amesema sheria ya Takwimu ya mwaka 2015, hazigusi tafiti zinazofanywa na Vyuo Vikuu nchini kutokana na...
View ArticleMGOMBEA TLP AOMBA WANANCHI KUENDELEA KUWAAMINI WAPINZANI
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiMGOMBEA ubunge Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia Tanzania Labour Party(TLP), Dk. Godfrey Malisa ameomba wananchi wa jimbo hilo kuendelea kuamini kuwa...
View ArticleBodi ya Filamu Yamaliza Mzozo Malipo Filamu ya Utu Wangu
Na: Mwandishi WetuHatimaye Bodi ya Filamu nchini imerejesha furaha kwa msanii na mtayarishaji wa filamu ya Utu Wangu kufuatia kuongoza kikao cha usuluhishi kilichofikia muafaka kwa msanii huyo kulipwa...
View ArticleMKOA WA PWANI WAZINDUA MSIMU MPYA WA KILIMO IKIWEMO MPUNGA 2018/2019
Na Mwamvua Mwinyi,PwaniMKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ,amekiagiza Chama Cha Ushirika cha Wakulima wa Umwagiliaji Ruvu (CHAURU), kumnyang'anya mwekezaji wa Kichina M/S Guoming Tang...
View Article
More Pages to Explore .....