Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110151 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu MAJALIWA amwakilisha Rais Magufuli Mkutano wa Viongozi Wakuu Nchi...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani, kwenye ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa safarini kueleke Ethiopia, katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA GHALA LA KUHIFADHI VIFAA VYA MAAFA...

Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akitoa maelezo kuhusu ghala la kuhifadhi vifaa vya maafa kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA,SERIKALI ZA MITAA YAPONGEZA UJENZI HOSPITALI...

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imepongeza ujenzi wa majengo mbalimbali ya kutolea huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.Kamati hiyo imetoa Pongezi hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUCHIKA AVUTIWA NA MIRADI YA TASAF

Estom Sanga-Singida Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mhe. George Mkuchika amepongeza hatua ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kubuni utaratibu mzuri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDOA ZA UTOTONI BADO NI TATIZO KUBWA TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI

Na,Jumbe Ismailly SINGIDA TATIZO la ndoa za utotoni katika Tanzania na nchi za Afrika Mashariki limeonekana ni tatizo kubwa sana katika maeneo hayo ambapo kitakwimu inaonyesha kuwa kati ya mikoa kumi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUPIMA MAENEO YAKE YOTE MWAKA HUU KUEPUSHA MIGOGORO NA WANANCHI

Na. Hassan Mabuye, Wizara ya ArdhiWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi amezitaka Wizara, Taasisi za Serikali na Vyombo vyote vya Umma kupima maeneo yao na kuyawekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA KODI KUWAJENGEA UWEZO MAWAKALA WA FORODHA ZANZIBAR

Na Oliver Njunwa- Dar es SalaamChuo cha Kodi (ITA) pamoja na Chama cha Mawakala wa Forodha Zanzibar (ZFB), vimeingia katika makubaliano ya kushirikiana katika kuwajengea uwezo Mawakala wa Forodha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI 12 GOLF LUGALO WAAANZA VYEMA MWAKA 2018

Wapiga golf 12 akiwemo aliyekuwa Mkuu wa majeshi ya Ulinzi jenerali Mstaafu George Waitara wameanza vyema mwaka kwa kuibuka washindi katika michuano ya Golf inayofanyika kila baadaya Miezi Mitatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA SKIMU YA UMWAGILIAJI MPUNGA NYAMAGOGO MANYONI WALALAMIKIA...

Na Jumbe Ismailly-Manyoni WAKULIMA wa skimu ya umwagiliaji mpunga ya Nyamagogo,iliyopo katika Kijiji cha Chikuyu,wilayani Manyoni,Mkoani Singida wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuitengeneza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA MAHABUSU GEREZA KEKO...

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akiongea na Mahabusu wa Gereza Keko(awapo pichani) leo Januari 28, 2018 alipotembelea gereza hilo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU JAJI MSTAAFU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Januari, 2018 ametia saini kitabu cha maombolezo na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NG'OMBE 341,098 WAPIGWA CHAPA SIMANJIRO

Ng'ombe 341,098 wamepigwa chapa Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ili kutekeleza agizo la Serikali la upigaji chapa mifugo kwa ajili ya utambuzi na kuepuka migogoro ya mara kwa mara. Katibu Tawala wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae

Bi Flora Liberia (33) akiwa yupo na mwanae Samweli Amos miaka (2)akiwa nyumbani kwake Maili 35 kata ya Visiga Halmashauri ya mji wa Kibaha mkoa wa Pwani.Picha na Vero Ignatus Blog.Na.Vero Ignatus...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Shein Ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania nchi Ubelgiji Mh:Edward Joseph Sokoine katikati akiwa na baadhi ya watanzania waliofika jana kwenye kikao cha kusikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za watanzania wanaoishi nje ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Yatabiriwa Makubwa Uchumi Jumuishi

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Bibi. Bengi’i Issa akizungumza kuhusu katika mahojiano maalumu kuhusu kungara kwa Tanzania katika ukuaji wa uchumi jumuishi miongni mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA IMANI YA MAHAKAMA

Na Lydia Churi-MahakamaJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Watumishi wa Mahakama nchini kutoa huduma kwa kuzingatia Maadili, kuhakikisha kesi zinamalizika kwa wakati pamoja na...

View Article

NEEC KUENDELEA KUWAWEZESHA WATANZANIA KUSHIRIKI SHUGHULIZA UCHUMI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO JANUARY 29,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 110151 articles
Browse latest View live




Latest Images