Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI MSICHANA INITIATIVE YAZINDUA KITABU KUZUNGUMZIA HAKI ZA WATOTO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.TAASISI ya Msichana Initiative imezindua kitabu kidogo kinachozungumzia haki mbalimbali za watoto na kupinga ndoa za utotoni kwa mtoto wa kike.Uzinduzi wa kitabu hicho...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bharti Airtel receives Regulatory approval to acquire operations of Millicom...

·         Merged entity to have largest customer base of 5.9 million subscribers·         Merger to result in the only negative ebitda OpCo joining other 13 positive ebitda OpCos in Africa·...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU COMMERCIAL BANK PLC YAZINDUA BIDHAA KWA AJILI YA KUBORESHA MAISHA YA...

Mwalimu Commercial Bank PLC (MCB) imezindua bidhaa iitwayo MCB Salary Advance, ikiwa ni moja ya mkakati wake katika kuboresha maisha ya Watanzania kwa ujumla. Akizungumzia Kuhusu bidhaa hii mpya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE

ZANZIBAR na Sharjah zimekubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano wao uliopo katika kuimarisha sekta mbali mbali za maendeleo zikiwemo elimu na biashara,  Katika mazungumzo yaliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAKALA TIGO PESA KANDA YA ZIWA,NYANDA ZA JUU KUSINI WAZAWADIWA

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo-Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh1 milioni Wakala wa Tigo Pesa, Asha Ramadhani kutoka Mkoani Ruvuma baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meneja MKuu wa Shamba la Kiwanda cha Maziwa atoa Maelezo kwa Rais wa Zanzibar

Meneja Mkuu wa Shamba hilo Dk. Ahmed Eltigani Al Mansour alimueleza Rais Dk. Shein na ujumbe wake jinsi ya shamba hilo linavyofuga ngombe kwa kutumia teknolojia ya kisasa ikiwemo kuwawekea viyoyozi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIWETE YAPEWA TUZO MAALUM

*Profesa Janab amesena alipopata taarifa ya kupewa tuzo hiyo hakuamini kwani...Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Profesa Mohamedi Janabi ameupongeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI JIJINI MWANZA

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo, William Lukuvi ameanza ziara mkoani Mwanza kwa lengo la kusikiliza wananchi wenye kero na changamoto mbalimbali katika eneo la ardhi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaendela kupambana na uvuvi haramu

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akiongoza shughuli ya kuteketeza nyavu haramu zenye thamani ya zaidi shilling milioni 100,a zilizo salimishwa na zilizokamatwa katika kisiwa cha Kerebe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIGOGORO YA ARDHI BADO CHANGAMOTO CHALINZE

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMBUBGE wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete(CCM),amesema migogoro ya ardhi ni moja ya Changamoto kubwa inayotukabili wana Chalinze.Akizungumza leo na Michuzi Blog...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAZIDI KUJIZOLEA MAMILIONI YA TATUMZUKA,WAZIDI KUNG'ARISHA MAISHA YAO.

  Meneja Mawasiliano kampuni ya michezo ya kubahatisha ya TatuMzuka,Sebastian Maganga alisema kuwa wanayo furaha kubwa ya kuwatambulisha washindi wawili wa Tatumzuka waliopatikana tarehe 21 Januari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU YAKAMILISHA UPEPELZI KESI YA MALINZI, WENZAKE

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania( Takukuru) wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa kwa upande wao wamekwisha kamilisha upelelezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo K.V.Thomas jinsi ya kuhifadhi samaki na ufanyaji wa peki kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA SIMBA FC ALAZWA MUHIMBILI

* Mahakama yaelezwa anasumbuliwa na FigoMWENDESHA Mashtaka Mwandamizi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa ,(Takukuru) , Leonard Swai ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Rais wa Klabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA

 Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto kwa kushirikiana na team yake ya Mpoto Foundation alitembelea kituo cha watoto yatima cha  Mwandaliwa na madrasa ya Tidaiya iliyopo Tandale. Akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAVUTIWA NA UBUNIFU WA...

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Allan Kijazi akizungumza kwenye kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira iliyofanya ziara ya kikazi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KORTINI KWA KUTAMKA UONGO KIASI CHA FEDHA ZA KIGENI ALIZOKUWANAZO

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.MFANYABIASHARA Boniface Mbilinyi (32) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka kutamka uongo wa kiasi cha fedha alichokuwa nacho.Mbilinyi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI 499 ZIMIDHINISHWA KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME PEKEE – MGALU

Na Veronica Simba – DodomaSerikali imebainisha kuwa jumla ya shilingi bilioni 499 zimeidhinishwa na Bunge kwa ajili ya kutekeleza miradi ya umeme nchini kote katika mwaka huu wa fedha unaoendelea.Hayo...

View Article

MENEJA HIFADHI YA CHAKULA MKOA WA RUVUMA AKAMATWA

Kauli ya kukamatwa kwa wafanyakazi wa hifadhi ya chakula pamoja na mmiliki wa ghala binafsi linakuja baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na kukuta shehena ya mahindi ya serikali yaliyoibiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI NA WALEZI HANANG WATAKAOKWAMISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO KUKIONA

Na. Jumbe Ismailly, Hanang MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hanang,Mkoani Manyara,Bryceson Kibassa amepiga mafuruku walimu wa shule za msingi kuwatoza wazazi na walezi wa watoto michango...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images