Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109604 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA TISA KUCHEZESHA NA KUSIMAMIA LIGI YAMABINGWA NA KOMBE LA...

Waamuzi nane kutoka Tanzania wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuchezesha mechi za Ligi ya Mabingwa Africa na Kombe la Shirikisho.Waamuzi wanne wameteuliwa kuchezesha mchezo...

View Article



WADADISI WATAKIWA KUZINGATIA MAJUKUMU YAO WAKATI WA UKUSANYAJI WA TAKWIMU

View Article

WADAU WA SEKTA BINAFSI WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kifo cha Jaji Mstaafu Robert Kisanga

Jaji Mstaafu Robert Kisanga enzi za uhai wake.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA KODI KWA WADAU MBALIMBALI

Na: Veronica Kazimoto.Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepongezwa kwa kuendelea kutoa elimu ya kodi kwa wadau mbalimbali wakiwemo wafanyakazi wa ofisi za Serikali na Asasi za Kiraia kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA SAINT LOUIS FC LIGI YA...

Shirikisho la Mpira wa miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi watakaochezesha mchezo wa kwanza na mchezo wa pili wa Ligi ya mabingwa Africa kati ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Saint Louis FC ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAVUTIWA NA HUDUMA KATIKA BANDA LA MAONYESHO LA MAMLAKA YA...

Mamia ya wananchi wa Tanzania Zanzibar wameendelea kufurika katika viwanja vya Maisara Zanzibar kunakofanyika Tamasha la Nne la Maonyesho ya Biashara la Zanzibar; yakiwa ni sehemuu ya maadhimisho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI ISIYOPANDA MITI MILIONI 1.5 MWAKA HUU ITATOZWA FAINI- RC WANGABO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameziagiza Halmashauri nne za Mkoa wa Rukwa kuhakikisha zinafikia lengo la kupanda miti milioni 1.5 kila moja hadi kufikia mwisho wa mwaka wa 2017/2018 ili...

View Article


WADAU WA SEKTA BINAFSI WAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF YATAJA WAAMUZI SIMBA, GENDARMERIE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Waamuzi kutoka Sudan Kusini wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuchezesha mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya Simba ya Tanzania na Gendarmerie Tnale ya Djobouti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI

 Kocha  mkuu wa Simba SC, Pierre  Lechantre  katikati na kushoto ni kocha Msaidizi  Masoud Djuma wakipeana maelekezo katika mazoezi  hayo kulia ni Meneja wa Simba SC, Robert Richard Uwanja wa Bandari...

View Article

Michuzi TV: JKCI YAISHUKURU REDIO TIMES KWA KUTAMBUA MCHANGO TAASISI HIYO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mrisho Mpoto atoa msaada kwa yatima, awapa msingi wa maisha

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto kwa kushirikiana na team yake ya Mpoto Foundation alitembelea kituo cha watoto yatima cha  Mwandaliwa na madrasa ya Tidaiya iliyopo Tandale jijini Dar es salaam...

View Article


VOA Swahili: Duniani Leo 24th January 2018

View Article

MICHUZI TV 1 TO 1 GOSSIP: MTOTO WA RAY KIGOSI UTATA MTANDAONI, NABII TITO NI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO JANUARY 25,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI NYUMBA ZA MAKAZI 63 ZA IYUMBU SATELLITE...

Meneja wa Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Itandula Gambalagi kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa na Kamishna wa Fedha, Ndugu Peter Chogero kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILA MWAKA WATANZANIA 50,000 HUPATA SARATANI

*Yaelezwa saratani ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza *Wanafunzi wa kike kuanzia darasa la nne kupewa chanjoNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiTAASISI ya Saratani ya Ocean Road imesema imekuwa ikipokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA WILAYA MKOA WA MARA WAIMWAGIA SIFA AGPAHI

Wakurugenzi wa halmashauri za wilaya mkoa wa Mara wamelipongeza Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) kwa kutekeleza kikamilifu mradi wa “Boresha” unaotoa huduma za...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article
Browsing all 109604 articles
Browse latest View live




Latest Images