Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ ametuma salamu za rambi rambi kwa familia ya mtumishi wa Chama hicho Zanzibar Marehemu Bi. Nakia Khamis...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO

*Mkurugenzi aelezea namna wanavyotoa elimu ya  kuokoa maisha ya mama mjamzito*Wapania kumfanya mwanamke mjamzito kuwa malkia, mwanamke shujaa na mwenye thamani *Aprili 6 mwaka huu Rais Mstaafu ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Dkt Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame (kushoto kwa Rais),  katika mazungumzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RWEGASIRA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA, JIJINI DAR ES...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira (wapili kushoto) akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Askari Magereza, Mhandisi Khadija Salum,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI...

Katibu Tawala Mkoa Kaskazini Pemba Ahmed Khalid Abdalla akiwakaribisha wageni katika Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa huo.Mkuu wa Mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA AKAGUA UKARABATI SEKONDARI YA JANGWANI, AZANIA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMKUU wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, Sophia Mjema amefanya ziara ya kukagua ukarabati wa majengo unaofanyika kwenye Sekondari ya Wasichana Jangwani na Sekondari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASITISHA SHUGHULI ZA WAKALA BINAFSI WA HUDUMA ZA AJIRA WALIOKIUKA...

Serikali yasitisha Shughuli za Kampuni Tatu (3) za Wakala Binafsi wa Huduma za Ajira hapa Nchini kutokana na kukiuka matakwa ya sheria ya Huduma za Ajira Na.9 ya mwaka 1999 na Kanuni zake.Akitoa tamko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Bi. Elizabeth Tagora akifungua rasmi kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Anthony Mavunde leo amezindua kampeni ya upandaji miti milioni moja katika kijiji cha Ibwagwa,Wilayani Kongwa Dodoma ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

Na Agnes Francis, Globu ya JamiiKOCHA Mkuu wa kikosi cha Real Madrid, Zinedine Zidane ameendelea kusakamwa na matokeo mabaya anayoyapata baada ya jana kuondolewa kwa jumla ya mabao 2-2 dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA ATAJA ORODHA WATUHUMIWA UJANGILI LEO MJINI DODOMA

Na Hamza Temba - DodomaWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla leo Januari 25, 2018 mjini Dodoma ametaja majina ya watuhumiwa wa ujangili ambao wengi wao ni wamiliki na washirika wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA AWAKUMBUSHA WAZAZI UMUHIMU WA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME

 Mkuu wa Wilaya Ilala,Sophia Mjema akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tumkumbuke Mtoto wa kiume, inayoendeshwa na Tasisi ya Dahuu Foundation...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMILIKI NYUMBA 59 KIPUNGUNI A WAPEWA SIKU SABA WAHAME

JOPO la maofisa wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA), limefanya utambuzi wa nyumba 59 zilizopo eneo la Kipunguni A, jijini Dar es Salaam na kutoa notisi ya siku saba kwa wakazi wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHALIFU ATAINGIA DAR AKIWA SALAMA LAKINI HATATOKA SALAMA-MAMBOSASA

*Asema wamedhibiti uhalifu, azungumzia Panya road Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema iwapo kuna mhalifu yoyote na wa kutoka sehemu yoyote...

View Article

DKT. KIGWANGALLA AKITAJA ORODHA WATUHUMIWA WA UJANGILI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

mvua iliyoambatana na upepo yaezua paa za nyumba 30 tanganyika mkoani Katavi

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika,Salehe Muhando (Mwenye miwani pichani juu na chini) akikagua athari ya  Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha jana na kusababisha kuezua mapaa ya nyumba 30 na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi saba wafanya mtihani na kufaulu kupandishwa madaraja ya mkanda...

 Na Sultani Kipingo wa Globu ya JamiiWanafunzi waandamizi saba wa  shule za Karate (dojo) mtindo wa Okinawa Goju Ryu  za  Kaizen na Hekalu la Kujilinda  za jijini Dar es salaam na Dodoma wamefanya...

View Article


MICHUZI TV ! ON 1 GOSSIP: ALIKIBA ADONDOSHA MZIGO MPYA SOKONI NA KUNYAKUWA TUZO.

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 25.01.2018

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo 25th January 2018

View Article
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live


Latest Images