Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWAN KIKWETE ASIKITISHWA INSTAGRAM YAKE KUINGILIWA, ATOA UFAFANUZI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMBUNGE wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwan Kikwete(CCM)amesem amesikitishwa na kitendo cha watu kuingilia instagram yake na kisha kuandika maneno hajawahi na wala hawezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI AWASHUKIA MAHAKIMU MANYARA

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti amewataka mahakimu wa mkoa huo kutekeleza wajibu wao ipasavyo wakati wanaposikiliza kesi na kutoa hukumu kwa haki ili kuepuka malalamiko yanayotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI TATU ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI MKOANI GEITA KUBORESHA MIUNDOMBINU...

NaJoel Maduka-Geita.Jumla ya Sh Bilioni 3 zilizotolewa na serikali Mkoani Geita zinatarajiwa kuboresha miundombinu katika Vituo saba vya afya .Mganga mkuu wa Mkoa wa Geita Dkt Japhet Simeo alisema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIPO TAYARI KUNYIMWA KURA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-MBUNGE MGIMWA

Na Fredy Mgunda-IringaWananchi wa jimbo la Mufindi kaskazini wametakiwa kuwapeleka watoto wao shule kwa lazima kwa kuwa elimu inatolewa bure na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais wa Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLE NASHA AAGIZA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KUFUNGWA VIFAA VYA KISASA NDANI YA...

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,William Ole Nasha ameuagiza uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) uwe umefunga vifaa vya kisasa vyenye thamani ya Sh 14 bilioni ndani ya wiki nne badala ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGALU ARIDHISHWA NA KASI YA MKANDARASI SENGEREMA

Na Mwamvua Mwinyi-BagamoyoNAIBU Waziri Wa Nishati Subira Mgalu, ameridhishwa na kasi na kazi anayoendelea nayo ,mkandarasi wa mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya III, Sengerema huko kijiji cha Kongo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA KUTOINGILIA...

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma amewataka viongozi  wa serikali na vyama vya siasa kuacha mara moja kuingilia  muhimili wa Mahakama kwani ndio yenye mamlaka ya kutoa haki.Jaji Profesa Juma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO

Kivuko cha serikali cha MV Misungwi, Busisi jijini Mwanza, kikitokea mjini kupeleka wananchi maeneo ya Sengerema, mkoa wa Geita. Kivuko cha MV Misungwi kina uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito wa tani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Shein Azungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan...

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa...

View Article

MAMBO YA RUNGWE AVOCADO COMPANY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ: "NABII" TITO ATIWA MBARONI MJINI DODOMA LEO

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Marlin Komba amesema hamtambui mtu anayejiita nabii Tito na kwamba hajasajili kanisa lake katika ofisi ya msajili wa taasisi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MHANDO AELEZEA HATUA KWA HATUA MAENDELEO YA WILAYA YA TANGANYIKA

*Amshukuru Rais ,Dk. Magufuli kwa uamuzi wa kuanzisha wilaya hiyoNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiMKUU wa Wilaya ya Tanganyika Salehe Mhando amesema kwa kushirikiana na wananchi wameendelea kutatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

COMRADE NGEMELA LUBINGA AKAGUA MIRADI YA TASAF MARA

Na Mwandishi Maalum, TarimeKatibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Comrade Ngemela Lubinga jana (22/01/2018) ameanza ziara ya ukaguzi wa miradi ya TASAF mkoani Mara.Ziara hiyo ni sehemu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: Mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Hugh Masekela afariki dunia

Mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa wa Afrika Kusini Hugh Masekela amefariki dunia leo jijini Johannesburg baada ya kushindwa vita dhidi ya tezi dume aliyopigana kishujaa kwa miaka kadhaa. Bendi yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA SERIKALI, WANASIASA ACHENI KUIINGILIA MAHAKAMA-PROF JUMA

Na Karama Kenyunko-Globu ya jamii.JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma amewataka viongozi wa Serikali na wanasiasa wenye mamlaka ya kikatiba na kisheria kutoingilia muhimili wa Mahakama badala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

BALOZI wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro,  Sylvester Mabumba ameupokea ujumbe wa Clouds Media Group uliowasili visiwani humo Januari 20 mwaka 2018.Upo kwenye ziara maalumu ya siku tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI HAITAMUONEA MTU HURUMA, SHERIA ITACHUKUA MKONDO WAKE-ULEGA

NAIBU Waziri wa Mifungo na Uvuvi,Abdallah Ulega ameteketeza zana haramu katika Ziwa Victoria.Baadhi ya zana hizo zipo nyavu za Makila zilizounganishwa 21710 zenye macho madogo,makokolo ya Sangara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA BAISKELI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA NCHINI TANZANIA

Mwenyekiti wa Michezo ya Jumuiya za majeshi ya Afrika ya Mashariki, Brigedia Jenerali Martin  Kemwanga amesema kuwa mashindano ya baiskeli yanajenga umoja kwa nchi za afrika Mashariki. Kemwanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE WA AWAMU YA KWANZA KUTOKA DAR ES SALAAM HADI...

Muonekano wa leo wa tuta la kutandazia reli ya kisasa (Standard Gauge) katika eneo la Soga mkoa wa Pwani takriban kilomita 37 kutoka Pugu mkoa wa Dar es salaam ulivyo sasa, ikiwa ni hatua iliyofikiwa...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images