Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109606 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGOMBE 27 WATEULIWA MAJIMBO 2 KATA 4

Hussein Makame-NECWAGOMBEA 27 wa ubunge na udiwani wameteuliwa kugombea nafasi hizo katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Februari 17, mwaka huu katika majimbo mawili ya ubunge na kata nne.Katika uteuzi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAVYUO WATAKIWA KUTUMIA NAFASI ZAO KULINDA NA KUHIFADHI MAZINGIRA

Na Tiganya VincentWANAVYUO Mkoani Tabora wameagizwa kuhakikisha kuwa wanatumia elimu wanayopata kuwa mabalozi watakaosaidia katika kuzuia uharibufu wa mazingira na kuwahimiza jamii kujenga utamaduni wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAIDA KAROLI KUPAMBA TAMASHA LA 15 LA SAUTI ZA BUSARA 2018

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli anatarajia kutuimbuiza katika tamasha la busara 2018 linalotarajia kuanza Februari 8, 2018 Ngome Kongwe mjini Unguja,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF kuimarisha na kuboresha huduma za matibabu nchini

Na Grace Michael, GeitaMKUU wa Mkoa wa Geita Injinia Robert Gabriel ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa namna ulivyojipanga na unavyoshirikiana na Uongozi wa Mikoa mbalimbali kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, Kinondoni Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018. Shughuli hiyo itafanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M

 Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiHOSPITALI ya J.PM  imesema ujio wa madaktari wa India katika hospitali hiyo kumesaidia wananchi wa Jiji Dar es Salaam kuonana na madaktari hao, kupata vipimo na dawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NI TIMU NZURI, TUTAINGIA KWA UMAKINI MKUBWA- KOCHA AZAM

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga utakuwa mgumu na watacheza kwa umakini ili waibuke na ushindi.Azam FC watakuwa wenyeji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKUTANA NA WATENDAJI WA ASASI YA INTERNATIONAL...

 Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akiteta jambo Ofisini kwake  na Maafisa Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship(IYF), leo Januari 23, 2018 walipotembelea Makao Makuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDESHA MNADA WA HADHARA WA MENO YA VIBOKO JANUARI 29 JIJINI DAR...

Na Hamza Temba - WMU- Dodoma*Wanunuzi wataruhusiwa kuyakagua (Januari 25 na 26) kabla ya mnada*Watakaovuruga mnada kukiona cha mtemakuniSERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SC WAREJEA DAR KWA RAHA ZAO

Na Agness Francis, Globu ya Jamii.KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC kimewasili leo jijini Dar es Salaam kikitokea mkoani Kagera kilikokuwa na mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar.Mchezo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MASENZA AZIPIGA JEKI SHULE TANO MKOANI IRINGA

Na Fredy Mgunda,KiloloMKUU wa mkoa wa Iringa Amina Masenza ametoa jumla ya shilingi milioni nne (4,000,000) kwa ajili ya kuchochea manendeleo ya ujenzi majengo kwenye shule nne za sekondari ikiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu (Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu.CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA VIWANJA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM VITATU KUTOTUMIKA HATUA YA...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limefanya ukaguzi wa viwanja vinavyotumika kwa kombe la Shirikisho na kuzuia viwanja vitatu kutumika kwa mechi zinazofuata za hatua ya raundi ya tatu.Viwanja...

View Article


INTRODUCING Nzaya Don Ngosha ft Mirror - Achana na Mimi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUIBA NYAYA ZA UMEME

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.WATU saba wakazi wa sehemu tofauti jijini Dar es Salaam,wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kuiba roli nne za waya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA UFILIPINO AKUTANA NA IGP SIRRO

 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kulia),  akizungumza na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe.Uriel Norman R. Garibay, mwenye Makazi yake Nairobi nchini Kenya aliyefika Makao Makuu ya Jeshi...

View Article

WIKI YA SHERIA KUFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uongozi wa Kampuni ya iSAtech ya Ujerumani Watembelea ubalozi wa Tanzania...

Kampuni ya isatech Water  Watengenezaji wa mita za maji za kutumia LUKU kwa ajili ya matumizi mbali mbali kama Water Kiosk kwa matumizi ya community , Domestic meter kwa makazi na  meter kubwa kwa...

View Article

CLEMENT SANGA EXCLUSIVE:MSANII WA FILAMU IRINGA ATANGAZA KUUZA FIGO ILI...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 23.01.2018

View Article
Browsing all 109606 articles
Browse latest View live




Latest Images