MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE
Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akizungumza jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la...
View ArticleRC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wahakikisha wanatokomeza uvuvi haramu katika ziwa Victoria.Waziri...
View ArticleWADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elizabeth Tagora akifungua mkutano wa wadau kuhusu mapitio ya Sera ya Ujenzi ya mwaka 2003 na uwasilishwaji...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI SITA, IKULU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Januari, 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi sita walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini....
View ArticleKIWANDA CHA SUNFLAG CHA ARUSHA CHAPIGWA FAINI KUFADHILI UVUVI HARAMU
Na John MapepeleWaziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina amekitoza faini ya Shilingi milioni mia moja Kiwanda cha Sunflag Tanzania Limited cha jijini Arusha baada ya kukutwa na makosa mawili ambayo...
View ArticleJUKWAA LA USIMAMIZI WA MAAFA LAHITAJI UTASHI KISIASA,KISHERIA -PROF KAMUZORA
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiKATIBU Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu),Profesa Faustine Kamuzora amesema jukwaa la usimamizi wa maafa la Taifa linahitaji utashi wa kisiasa,uwajibikaji...
View ArticleTANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA
TANZIA: Familia ya Bwana Sylvester Manase Matunda Lema, wa Sinza mkabala na kituo cha daladala Simu 2000 jijini Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mama yao, Bibi.Lulu Sylvester kilichotokea...
View ArticleWaziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira. Kikao hicho kimejumuisha pia wajumbe...
View ArticleMV Njombe yafungua fursa za biashara Tanzania, Malawi na Msumbiji
Kuanza safari kwa Meli za kisasa za mizigo za MV Njombe na MV Ruvuma ambazo zina uwezo wa kubeba uzito wa tani 1,000 kumefungua fursa za kibiashara kati ya Tanzania, Malawi na Msumbiji.Meli ya Mv...
View ArticleMIFUKO 3000 SARUJI YACHANGWA KUKAMILISHA USHINDI SEMINARI
NA TIGANYA VINCENTVIONGOZI mbalimbali wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) na Serikali Mkoani Tabora wameahidi kutoa mifuko 3000 ya saruji kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Shule ya Seminari...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 22, 2018. PICHA NA IKULU
View ArticleMALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itatuma wakaguzi ili wakague mali za Chama cha Ushirika cha mkoa wa Mara.Amesema Serikali imeanza kufuatilia mali za vyama vya Ushirika nchini zikiwemo za...
View ArticleUSAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA
Wananchi katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara wameendelea kujitokeza kwa mamia kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa pamoja na changamoto ya umeme iliyopo kwa sasa katika kijiji cha Rwamkoma ambacho kwa...
View ArticleHANANASIFU JOGGING WATOA MSAADA KWA YATIMA DAR
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Kawawa Kata ya Hananasifu Elizabeth Masao akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, katika hafla ya kukabidhi vya kula kwa watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre...
View ArticleDHAMANA KESI YA UHUJUMU UCHUMI KUJULIKANA FEBRUARI 5 MWAKA HUU
*Ni inayomhusu bosi meli ya Huihang 68 inayotuhumiwa kupeperusha bendera ya Tanzania bila kibaliNa Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema Februari...
View ArticleISRAEL KUJENGA KITENGO CHA DHARULA NA TIBA YA MIFUPA MKOANI DODOMA
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSERIKALI ya Tanzania imesaini makubaliano na Serikali ya Israel ya ujenzi wa kitengo cha dharula na tiba ya mifupo katika hospitali ya Benjamini mkoani...
View ArticleNIDA YAFANIKISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA...
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWaumini wa dini ya kiislamu Tanzania wametakiwa kufuata mafunzo na maagizo ya Mtume ili kuweza kupata dhawabu mbele za Mwenyezi Mungu.Hayo yamesemwa na Mufti Mkuu wa...
View ArticleUVCCM SIMANJIRO WAJINYANYUA KIUCHUMI
VIJANA wajasiriamali wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wamefanikiwa kujinyanyua kiuchumi kwa kukusanya sh40 milioni, kupitia kikundi cha...
View Article