Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamal Group brings New-Year smiles to hundreds in artificial limb project

Dar es Salaam. Over 100 people, who lost their limbs in various accidents, will now be able to walk again, thanks to a multi-million shilling initiative by the Dar es Salaam-based Kamal Group guided by...

View Article



MICHUZI TV: RC MAKONDA KUKUTANA NA WANANCHI WA DAR

View Article

MICHUZI TV: EXCLUSIVE INTERVIEW NA RAYVANNY...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 22, 2018

Kupata magazeti yote BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU SEYA NA PAPII KOCHA WAANZA MAANDALIZI YA UJIO WAO MPYA

​Muimbaji nguli wa muziki wa dance, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya pamoja na mwanae, Papii Kocha wameanza maandalizi ya ujio wao mpya, ikiwa ni takriban miaka 14 tangu waachie kibao kipya.Wawili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dk. Shein Awasili Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu Kuanza Ziara Yake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kiongozi wa Ngazi za Juu wa nchi za Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu( UAE) Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC LUHUMBI ATANGAZA KIAMA KWA WAZAZI NA WALEZI WALIOGOMA KUWAPELEKA WATOTO...

Na,Joel Maduka,GeitaSerikali mkoani Geita imetangaza oparesheni ya kuwafuatilia wazazi na walezi ambao watoto wao walichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza na kwamba hadi sasa bado awajawapelekwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA BUSARA KUENZI SANAA NA UTAMADUNI WA MWAFRIKA

. Watanzania wametakiwa kuenzi sanaa na utamaduni waliona kwa ajili ya kizazi kijacho ili kukijendea uzalendo wa kupenda nchi yao. Hayo yamesema Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara, Yusuf Mahmoud...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA 139 WA CHADEMA SIMANJIRO WAJIUNGA NA CCM

WANACHAMA 139 wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, wamejiunga na CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Manyara Mosses Komba. Akizungumza wakati wa kuwapokea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

Na Anitha Jonas – WHUSMSerikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia suala la uwekezaji kwa Klabu zilizoanzishwa na wanachama ambapo wanachama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANJIRO YAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 25.3

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wamepitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya shilingi bilioni 25.3 kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019. Akizungumza baada ya kupitishwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI ULEGA AONGOZA KUTEKETEZA NYAVU HARAMU ZA MAMILIONI MWALO WA IGOMBE...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla Hamisi Ulega jana ameongoza shughuli ya kuziteketeza nyavu haramu zenye thamani ya jumla ya shilingi Milioni 400 katika Mwalo wa Igombe,mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUCHIKA AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA TPSC TAWI LA MBEYA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (katikati) akipatiwa maelezo juu maendeleo ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makete: Diwani apanga kwenda kwa Waziri Lukuvi

Diwani wa kata ya Mbalatse Wilayani Makete Mkoani Njombe (CHADEMA) Edson Msigwa amesema wanampango wa kwenda kumuona Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi awasaidie kutatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHALINZE MH. RIDHIWANI KIKWETE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI...

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza Shedeli Mikole Mwenyekiti wa CCM kata ya Vigwaza wakati akiwa katika ziara ya kikazi kukagua huduma za maendeleo na miradi mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mabweni mawili ya Magufuli na Majaliwa katika Shule ya Sekondari ya Bumagi wilayani Butiama Januari 20, 2018. Watatu kulia ni mkewe Mary.Waziri Mkuu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea...

Timu mbili zaidi zimethibisha zimethibitisha kushiriki katika mashindano ya taifa ya kuogelea kwa vijana wa umri  kuanzia miaka  saba mpaka 14 yaliyopangwa kuanza Ijumaa (Januari 26) na kumalizikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel FURSA: zaidi ya vijana 10,000 wajiandikisha kusoma kupitia VSOMO

Meneja Miradi Airtel Tanzania Jane Matinde akizungumza wakati wa semina kwa vijana kuhusu umuhimu wa kusoma kwa kutumia mtandao kupitia aplikesheni ya VISOMO inayotumiwa na VETA kwa kushirikiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASILIAMALI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO YA SIDO KIKAMILIFU

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sporah Lyana akiongea na wajasiliamali mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akifunga mafunzo yaliyokuwa yameandaliwa na SIDO jijini Dar es Salaam yenye lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa...

Na Karama Kenyunko, Blogu ya JamiiMahakama ya wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemuhukumu Mwalimu wa Sanaa ya kujihami, 'Martial arts' Salum Njwete maarufu kama Scorpion, kutumikia kifungo cha...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>