Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109597 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM YAVUNA WANACHAMA 350 CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James amepokea jumla ya Wanachma wapya 350 katika Kongamano Maalum lililoandaliwa na Tawi la Chuo...

View Article



INTRODUCING NEW SINGLE "KABAKA" BY SAIDA KAROLI

View Article

MICHUZI BEAT: "JINA LA MR. KESHO NILIPATA BAADA YA USUMBUFU WA MASHABIKI NA...

View Article

INTRODUCING Isha Mashauzi - Nibembeleze (Official Video)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARI 21, 2018

Kupata magazeti yote BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAWOPA yapiga Msasa Wadau wa Elimu-Mtwara.

Shirika lisilokuwa la kiserikali la faidika wote pamoja FAWOPA limetoa Elimu kwa Wadau Mbalimbali wa sekta hiyo Juu ya uandaaji wa Bajeti na kuweza kuwasilisha kwa kamati za Shule, ili kuzifanyia kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NA KUTOA HESHIMA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na Mama Maria Nyerere wakati walipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI MABEYO AKAGUA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA...

Na. Andrew Chimesela – MorogoroHali mbaya ya mafuriko yanayoendela kuathiri wananchi wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro yamemfanya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Generali Venance Mabeyo kufika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA JAPAN YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA MIRADI YA UMWAGILIAJI NCHINI

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia(kushoto) akimshukuru Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaharu Yoshida baada ya kuweka jiwe la msingi katika shamba la mafunzo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waandishi wa Habari wa Dodoma Kupewa Kipaumbele Katika Mafunzo ya Kuwajengea...

Na. Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.Serikali kupitia Idara ya Habari ya MAELEZO imesema itatoa kipaumbele kwa waandishi wa habari wa Dodoma kwa kuwapa mafunzo ya kuwajengea uwezo kutokana na mkoa huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIGISU FIGISU KAMA HIZI KWENYE SOKA LETU,MPAKA LINI.!?

 Na Hafidh Kido, Moshi.KWA nafasi yangu ya msemaji wa timu ya Coastal Union 'Wagosi wa Kaya' ninatakiwa kusafiri na timu popote iendapo lakini kutokana na majukumu mengine nashindwa kutenda haya.Lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA BINAFSI YARIDHISHWA NA UHUSIANO WAKE NA SERIKALI

Na Benny Mwaipaja-WFM, DodomaSekta Binafsi nchini imekiri kuwa uhusiano kati yake na Serikali umezidi kuimarika kutokana na kuboreshwa kwa mazingira ya uwekezaji na ufanyajibiashara hapa nchini kuliko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI.

Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akisisitiza jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWAKYEMBE AOMBA WATANZANIA KUSAIDIA MATIBABU YA WASTARA

Na Anitha Jonas – WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania kujitokeza kumchangia msanii wa Filamu Wastara Issa ili aweze kwenda kupatiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE KASULU VIJIJINI AAHIDI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.MBUNGE wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Agaustine Vuma ameahidi kufanya ziara ya kutembelea vijijini vyote vya jimbo hilo kwa lengo la kuangalia changamoto na kero zinazo wakabili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANJIRO KUJENGA HOSPITALI YA WILAYA

Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, ambayo haina hospitali ya Wilaya imejipanga huhakikisha inaanza mchakato wa ujenzi wa hospitali hiyo. Wilaya ya Simanjiro iliyoanzishwa mwaka 1993 baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU WAWILI KIBAHA WASHUSHWA VYEO KWA KUKAIDI AGIZO LA ELIMU BURE

Na Mwamvua Mwinyi,KibahaMKUU wa wilaya ya Kibaha,Mkoani Pwani, Assumpter Mshama ameamuru walimu wawili wa shule za msingi washushwe vyeo kutoka nafasi ya mwalimu mkuu na kuwa walimu wa kawaida...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandalizi ya Ujio wa FIFA YAANZA

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) (hawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA AFYA YA UZAZI YASISITIZWA KUOKOA VIJANA KISIWANI PEMBA

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kisiwani Pemba ili kuokoa kizazi kutokana na kukua kwa wimbi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANA ZA UVUVI HARAMU ZA MAMILIONI ZATEKETEZWA GEITA

Na Joel Maduka,Geita.Serikali Mkoani Geita Imeteketeza zana haramu zenye thamani ya shilingi milioni therathini na tatu zikiwemo Nyavu za makila zilizounganishwa 2,393,makokolo ya sangara 32,timba 142...

View Article
Browsing all 109597 articles
Browse latest View live




Latest Images