Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA MPYA WA SIMBA KUSHUHUDIA MTANANGE WA LEO

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya, Mfaransa Pierre Lechantre.Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO

Na Chalila Kibuda, Globu ya jamiiWAFANYABIASHARA wa matunda katika Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam wamelezea bei mbalimbali za matunda wanayouza kwa wateja wao sokoni hapo.Wakizungumza na Michuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANDIKWA AAGIZA DARAJA LA RUHUHU KUKAMILIKA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amemtaka mkandarasi anayejenga daraja la Ruhuhu wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha anamaliza daraja hilo kwa wakati...

View Article

UN yapitisha kikombe baada ya marekani kupunguza misaada Palestina

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAJA NA MUONGOZO WA KUPAMBANA NA USUGU WA VIMELEA VYA DAWA.

NA WAMJW-DAR ES SALAAMSERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeandaa Muongozo wa matibabu nchini na orodha ya dawa zote muhimu ili kuepukana na tatizo la usugu wa vimelea vya dawa. Hayo yamesemwa na Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya Jeshi la Magereza baada ya kukutana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAJADILI MTAALA WA MAFUNZO KWA VYUO VYA USTAWI

Kamishna Msaidizi Ustawi wa Jamii (Mafunzo) kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Bw. Simon Panga amesema utengenezaji mitaala ya taaluma ya Ustawi wa Jamii katika ngazi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA...

Afisa Mradi wa Envirocare , ndugu Antony Mlelwa (Mwenye shati jeupe) akifungua na kumkabidhi kompyuta Afande Kamishna Gaston Sanga huku Mkurugenzi na Meneja Mradi wakishuhudia. Kompyuta hizo zitatumika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja sita wa Benki ya NBC wajinyakulia Suzuki Carry ‘kirikuu’ kampeni ya...

WATEJA sita wa Benki ya NBC wameibuka kidedea baada ya kila mmoja kujishindia gari jipya aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ katika droo kubwa ya Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NDIKILO AWAPA ONYO WARATIBU WA ELIMU KATA /AWATAKA KUJIKITA KWENYE AJIRA...

Na Mwamvua Mwinyi,ChalinzeMKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo,amewaasa waratibu wa elimu kata,kusimamia masuala ya elimu ili kuinua kiwango cha taaluma,na atakaebainika kwenda kinyume na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAZIMIO YA MKUTANO KATI YA SMZ NA SMT KUSHUGHULIKIA MELI ZINAZOPEPERUSHA...

Meli hizo ni: Kaluba yenye usajili namba IMO 6828753 iliyokamatwa tarehe 27 Desemba 2017 ikiwa na wastani wa kilo 1,600 za dawa za kulevya huko katika maeneo ya Jamhuri ya Dominican Republic; na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WENYE SHIDA WAFAIDIKA NA BIMA YA AFYA

Na Anthony Ishengoma.Watoto wanaoishi katika Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini wamefaidika na huduma ya Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu yao baada ya shirika la Abbot Tanzania kuwezesha ufadhili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Profesa Mbarawa awataka TPA kukamilisha na kuhamia jengo jipya

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuhakikisha kazi ya kukamilisha ujenzi wa jengo jipya 'One Stop Centre' inakamilika haraka na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUMALIZA MGOGORO WA NYAMONGO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kumaliza mgogoro ulipo kati ya wananchi wa Kata ya Nyamongo na muwekezaji wa mgodi wa North Mara.Amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA DK SHEIN ENEO LA UJENZI WA MATANKI YA MAFUTA MWANGAPWANI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar  Ahmeid Rashid akitowa maelezo ya ujenzi wa Matenki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAKOLANYA KUMALIZANA NA YANGA MWISHO WA MWEZI HUU

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.BAADA ya kutokuwepo katika kikosi cha Yanga kwa muda mrefu, Mlinda mlango wa timu hiyo Beno Kakolanya ameweka wazi kuwa sasa amerejea baada ya kumalizana na uongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MAHIGA AHIMIZA MAZINGIRA MAZURI KUVUTIA WAWEKEZAJI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dk.Augustine Mahiga amesema kuwa ili kufikia uchumi wa viwanda ni muhimu kutengeneza mazingira mazuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-

Na Agness Francis, Globu ya JamiiKAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imetangaza rasmi kugawa gawio la Sh.bilioni 1.7 kwa kila robo ya mwaka kwa wateja wake wote wanaotumia Airtel Money  ikiwa ni mara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Ikiwa ni katika kuhakikisha anabeba kiatu cha ufungaji bora msimu wa 2017/18 mshambuliaji wa Simba , Emmanuel Okwi leo ameweza kuifungia timu yake magoli 2 na kujiweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la mto Mara linalounganisha wilaya za Tarime na Serengeti akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 18, 2018. Waziri Mkuu...

View Article
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>