Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE.! WAZIJUA FAIDA LUKUKI ZA FENESI.?

Imeandaliwa na ​ Geofrey Chambua ​kutoka vyanzo mbalimbaliHuenda umewahi kuliona na kulipita tu ama kutovutiwa na ladha yake ama kukereka na utomvu wake baada ya kulaHabari mbaya kwako ni kwamba...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJWNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amesimikwa rasmi kuwa chifu wa kabila la Wasafwa linalopatikana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGAPE YAKABIDHI BAISKELI KWA VIJANA 15 WALIOHITIMU MAFUNZO YA HISA SHINYANGA

Shirika lisilo la kiserikali la Agape AIDS Control Programme (AACP) limetoa mafunzo ya Hisa kwa vijana 15 kutoka katika kata za Mwamalili,Didia na Masekelo zilizopo katika wilaya ya Shinyanga. Pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ASIMAMISHA UUZAJI WA MALI ZA KNCU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bibi Anna Mghwira asitishe uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU).Ametoa agizo hilo jana jioni (Jumatano,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUGULILE AZINDUA SACOSS YA WANAWAKE MKOANI MBEYA

Kitengo cha Mawasiliano WAMJWNaibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) amezidua Saccoss ya Wanawake katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Dkt Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JANUARI 18, 2018

Kupata magazeti yote BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

shule ya Lupalilo Sekondari yakosa umeme zaidi ya mwezi mmoja sasa

Shule ya sekondari ya Lupalilo inakabiliwa na ukosefu wa nishati ya umeme kwa zaidi ya mwezi mmoja hivi sasa, baada ya Transfoma iliyokuwepo kuungua na kusababisha kukwama kwa shughuli mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: HII NDIYO SABABU ILIYOMUWEKA PEMBENI KWA MUDA MSANII NURU THE...

*Asema suala la ndoa kwa sasa kwake bado analitafakari...Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiUNAPOAMUA kuzungumzia au kutaja majina ya wasanii wa kike ambao wanajihusisha na muziki wa kizazi kipya a.k.a...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKONDARI YA ST. JUDE yang'ara Mashindano ya Wanasayansi Chipukizi

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Profesa Simon Msanjila akikabidhi zawadi kwa Prosper Gasper na Erick Simon kutoka Shule ya Sekondari St. Jude's jijini Arusha baada ya kuibuka washindi wa jumla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FURSA NYINGINE YA SCHOLARSHIP YAJA: SHULE ZA SEKONDARI ZATAKIWA KUTUMA MAOMBI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAUME WA TARIME ACHENI UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa wanaume wa wilaya ya Tarime kujiepusha na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kuachana na kilimo cha bangi.Alitoa kauli hiyo jana jioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA KIWANDA CHA MICRONIX-NEWALA.

Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba ametembelea kiwanda cha kubangua Korosho cha Micronix System Limited kilichopo Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara na kuzungumza na Viongozi wa kiwanda hicho juu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA CHEMBA YAANZA KUJIANDAA UZINDUZI WA SIKU YA MAADHIMISHO YA WANYAMA...

Na Shani Amanzi, Uzinduzi wa kuelekea siku ya Maadhimisho ya Wanyama Pori Duniani Kitaifa, utafanyika Marchi 03, 2018 katika Mkoa wa Dodoma ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DENMARK YAJADILI FURSA UWEKEZAJI NISHATI YA UPEPO NCHINI TANZANIA

Kampuni ya Vestas A/S ya Denmark kwa kushirikiana na Ubalozi wa Denmark nchini kwa mwongozo wa Wizara ya Nishati wameandaa mkutano wa kujadili fursa za uwekezaji katika nishati ya upepo (wind energy)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI SHINYANGA YAKAMATA BUNDUKI YA KIVITA AK -47 YENYE SKAFU YA CHADEMA

Na Kadama Malunde - Shinyanga. Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata silaha ya kivita aina ya AK-47 iliyotupwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanataka kuvamia kiwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI MPYA WA VYOMBO VYA HABARI NA ASASI ZA KIRAIA KUINUA FURSA YA KUPATA...

 Serikali ya Marekani kwa kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), imezindua mradi wa kuimarisha asasi za kiraia na vyombo vya habari uitwao Boresha Habari Katika hafla fupi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MV MAGOGONI YASIMAMA KUTOA HUDUMA MAPEMA LEO ASUBUHI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JALADA KESI YA MHASIBU MKUU WA TAKUKURU NA WENZAKE LAPELEKWA TAKUKURU KWA...

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamii, Upande wa mashtaka katika kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizoendana na kipato chake  inayomkabili Mhasibu Mkuu wa Takukuru Godfrey Gugai na wenzake...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images