Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109584 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM YAMINYWA NA MAJIMAJI, YAKUBALI SARE YA 1-1

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Majimaji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika leo mchana kwenye Uwanja wa Majimaji,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA...

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamiiWAFANYAKAZI watatu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka sita likiwemo la kuisababishia Serikali hasara ya...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 18.01.2018

View Article

New full-length live video from Mzungu Kichaa's 2017 tour

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO

Sisi, Familia ya Mrs Bdariya Ramadhan Kiondo (Aliekuwa Afisa waMambo ya Nje Mkuu na Mkuu wa Utawala na Fedha katika Ubalozi wa Tanzania New Delhi, India, tunamshukuru Mungu kwa zawadi aliotupa kwetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE BARAZA VYAMA VYA SIASA WAJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA SHERIA MPYA

Na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.BARAZA la Vyama vya Siasa nchini limekutana na wajumbe wanaounda baraza hilo kwa lengo la kujadili mapendekezo  ya kutungwa kwa ya sheria mpya ya vyama vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO YAGHARAMIA MATIBABU YA WALIOJERUHIWA KWA MOTO BUGURUNI

Na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii .SHIRIKA la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASCO), limeamua kugharamia matibabu kwa wananchi ambao wamepata majeraha mwilini kutokana na mlipuko wa moto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA ARDHI YADHAMIRIA MIJI MIKUU NCHINI KUWA KWENYE MPANGILIO MZURI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMKURUGENZI wa Mipango Miji Mijini na Vijijini kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa John Lupala amesema Serikali imejipanga vema kuhakikisha miji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyombo vya Habari Vyaaswa Kuwa na Watumishi Wa kutosha Mkoani Dodoma

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMAMkurugenzi wa Idara ya Habari Dkt. Hassan Abbas ametoa wito kwa vyombo vyote vya habari mkoani Dodoma na kwingine nchini kuhakikisha wanakuwa na wafanyakazi wa kutosha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOISHI MAENEO HATARISHI KUHAMISHWA CHEMBA

SERIKALI wilayani Chemba mkoani Dodoma imesema kuwa imepanga kuwahamisha watu wanaoishi maeneo hatarishi ya kupata mafuriko kutokana zaidi ya kaya 2,000 zimezungukwa na maji katika kata ya Mrijo hadi...

View Article

INTRODUCING New Single By SG-SHINE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILWA YAJIPANGA KUBORESHA MIUNDOMBINI YA AFYA

Angela Msimbira- OR TAMISEMI KILWAKaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Dr. Khalfanis Mbukwa amesema kituo cha afya cha Kilwa Msoko ni miongoni mwa vituo 44 vya afya vilivyopatiwa...

View Article

SIKILIZA WIMBO MPYA WA MSANII VICTOR MKWANZANIA UITWAO MAARIFA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtwarefa yatoa Tamko-Mtwara

Siku chahche baada ya Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Nchini TFF kutoa taarifa ya kuwafikisha katika kamati ya maadili Viongozi wanne wa Soka Wakiwamo Msimamizi wa Kituo cha Mtwara Dastan Mkundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AZINDUA JENGO LA MADARASA MAWILI...

Na Evance Ng’ingoMWANAMITINDO wa kimataifa afanyaye shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata madarasa mawili ya shule za msingi iliyopo katika kijiji cha Msinune kilichopo kata ya Kiwangwa Wilaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKAGUA MIFEREJI YA MAJI KATIKA ENEO LA BUGURUNI MIVINJENI NA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wanaoishi kwenye mpaka kati ya Buguruni Mivinjeni na Sharifu Shamba pamoja na Mtoni kwa Azizi Ali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARI 19, 2018

Kupata magazeti yote BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WAZEE 280

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amegawa kadi za matibabu kwa wazee 280 wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kadi hizo zitawawezesha wazee hao kutibiwa bure.Amesema Serikali imedhamiria kuboresha huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali haijapiga marufuku biashara na matumizi ya mkaa

Wakala unapenda kuujulisha umma kuwa Serikali ya Tanzania haijapiga marufuku biashara na matumizi ya mkaa, isipokuwa inachotaka ni kuona uvunaji misitu unafanywa kwa kuzingatia sheria na kanuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

watatu walamba mamilioni ya tatumzuka jumapili Jackpot

 Meneja Mawasiliano wa mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka Sebastian Maganga akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) hivi karibuni wakati wa kuwatambulisha na  kuwakabidhi hundi zao...

View Article
Browsing all 109584 articles
Browse latest View live




Latest Images