Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Profesa Mbarawa avamia bandarini Usiku, abaini madudu...!

Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini mawakala wa meli wanaotoa huduma...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jalada la kesi ya Vigogo, Six telecom latua kwa DPP

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.JALADA la kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Dola za Marekani milioni 3.7, sawa na Sh.bilioni nane, dhidi ya vigogo wanne wa Kampuni ya Six...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAZINA YANG’ARA TENA MATOKEO DARASA LA NNE

SHULE ya  Msingi Hazina ya jijini Dar es Salaam imeng’ara kwenye matokeo ya darasa la nne kwa kufanikiwa kuwa ya kwanza Mkoa wa Dar es Salaam na kutoa wanafunzi saba kati ya 10 walioingia kumi  bora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU MSTAAFU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TELACK AFANYA ZIARA KUKAGUA KILIMO CHA PAMBA NA MTAMA WILAYANI KISHAPU

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amefanya ziara ya kukagua kilimo cha zao la Pamba na Mtama wilayani Kishapu kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha wakulima kulima mazao hayo kwa wingi kwa njia za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMEMSIFU LOWASSA KWA KUFANYA SIASA ZA KISTAARABU

*Asema ni mwanasiasa wa tofauti na wengine*Amuahidi kumpa ushirikiano,apokea ushauri wakeNa Said Mwishehe, Globu ya jamiiRAIS Dk.John Magufuli amemuelezea Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kuwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUNDA SAFI NA SALAMA YAPO HAPA..

View Article

MICHUZI TV: WAZIRI LUKUVI ATATUA MIGOGORO PAPO KWA HAPO KWA WAKAZI WA DAR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI SIMBA WAREJEA DAR NA VIFURUSHI MKONINI

 Wachezaji wa Simba SC, Nicolaus Gyan na Asante Kwasi wakiwasili leo jijini Dar es Salaam kutokea visiwani Zanzibar baada ya kuondolewa katika Michuano ya  Kombe la Mapinduzi kwa kushika nafasi ya tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI POSSI AJITAMBULISHA RASMI KWA RAIS WA AUSTIA

 Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani anayehudumia pia Austria, Balozi Abdallah Possi akiwasili katika Ikulu ya Viena, nchini Austria kwa kujitambulisha rasmi kwa Rais wa nchi hiyo, Dkt. Alexander Van...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi 26 IFM wahitimu shahada ya uzamili

 Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANAFUNZI 26 wamehitimu shahada ya uzamili ya Teknolojia ya habari  na Uongozi  wa katika chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hazina yang’ara tena matokeo darasa la nne

SHULE ya  Msingi Hazina ya jijini Dar es Salaam imeng’ara kwenye matokeo ya darasa la nne kwa kufanikiwa kuwa ya kwanza Mkoa wa Dar es Salaam na kutoa wanafunzi saba kati ya 10 walioingia kumi  bora...

View Article

MOGELA, KAYUNI WAMZUNGUMZIA MAREHEMU ATHUMAN JUMA CHAMA "JOGOO" ALIYEZIKWA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Mpya wa Madini, Doto Biteko aanza kazi

Naibu Waziri wa Madini, Doto Mashaka Biteko ambaye ameapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Madini tarehe 8 Januari, 2018...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akiongoza kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara.Kushoto  meza kuu ni Katibu Mkuu wa wizara, Meja Jenerali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akipata maelezo ya hali ya sekta ya mifugo na Uvuvi kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Denis Mwila (mwenye suti nyeusi) alipotembelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEKARI 2,737 ZA MAZAO ZALIWA NA KUHARIBIWA NA PANYA HUKO CHALINZE, WAKULIMA...

Na Mwamvua Mwinyi,Globu ya Jamii - ChalinzeHEKARI 2,737 za mazao hasa mahindi katika halmashauri ya Chalinze, mkoani Pwani ,zimeliwa na kuharibiwa na wimbi la panya ambalo limejitokeza tangu mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA SEKTA YA KIBENKI NCHINI

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu sekta ya kibenki nchini kutokuwa salama si sahihi na zinapaswa kupuuzwa. Sekta ya kibenki nchini ipo salama na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MAADILI YA BUNGE YAAGIZWA KUMHOJI OLE SENDEKA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUZI WA STUIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Studio ya Kisasa ya Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) ikiwa ni shamra shamra za sherehe...

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images