Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110102 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC GAIRO AAMURU KUKAMATWA VIONGOZI WALIOKULA FEDHA ZA UJENZI WA SEKONDARI YA...

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Shaidi Mchembe ameagiza kukamatwa kwa viongozi wote waliofuja shilingi milioni 32 za ujenzi wa shule ya sekondari ya Kata ya Idibo.Kauli hiyo ameitoa leo wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TELACK AFANYA ZIARA KUKAGUA KILIMO CHA PAMBA NA MTAMA WILAYANI KISHAPU

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amefanya ziara ya kukagua kilimo cha zao la Pamba na Mtama wilayani Kishapu kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha wakulima kulima mazao hayo kwa wingi kwa njia za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPINA AKAMATA KILO 65,600 ZA SAMAKI ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI...

Mwandishi Maalum,BukobaWaziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Luhaga Joelson Mpina amekamata kilo 65600 za samaki wachanga aina ya Sangara waliokaushwa kwa chumvi wenye thamani ya shilingi milioni mia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHASIBU HALMASHAURI YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA AJISHINDIA KITITA CHA SHILINGI...

Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Mh.Luckiness Amlima akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 50 mwishoni mwa wiki kwa Mkazi wa wilaya ya namtumbo mwenye umri wa miaka...

View Article


VOA SWAHILI: Mvua kubwa jijini Dar es salaam zaathiri shughuli za kichumi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jikinge na Ugonjwa wa Kisukari

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 08.01.2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MKOANI MBEYA WAZIDI KUJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA USAJILI LICHA YA MVUA...

Licha ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Mbeya, Wananchi katika Kata na vijiji mbalimbali mkoani humo, wameendelea kuhamasika kujitokeza kwa wingi kusajili kupata Vitambulisho vya Taifa.Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jafo ataka Ukarabati wa Ruvu sekondari uwe wa haraka na Viwango

Na Nteghenjwa Hosseah, Kibaha.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amemtaka atakayepewa jukumu la ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Ruvu wilayani Kbaha mkoa wa Pwani wafanye kazi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu atembele Kiwanda Cha Matrekta Na Kiwanda Cha Viua Dudu

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel atembelea kiwanda cha Viua dudu kilichopo Tamco – Kibaha na kukutana na balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Lucas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MGIMWA ATUMIA MAMILIONI UJENZI WA MADARASA YA SHULE ZA MSINGI,...

Na Fredy Mgunda,Mufindi Kaskazini. Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini kwa kushirikiana na wananchi wa kijiji cha Kibengu wametumia jumla ya shilingi milioni mia moja kumi na tisa na laki mbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO APONGEZA JITIHADA ZA MBUNGE WA MAKAMBAKO

Nteghenjwa Hosseah,Makambako.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amempongeza Mbunge wa Makambako Mhe. Deo Sanga kwa jitihada mbalimbali anazozifanya...

View Article


DKT. NDUGULILE ASHIRIKI UJENZI KUAMSHA ARI YA WANANCHI KUCHANGIA SHUGHULI ZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI, WAJUMBE WA SERIKALI YA KIJIJI LAMADI WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA...

Na StellaKalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SimiyuMkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amemsimamisha kazi kwa muda wa mwezi mmoja Mwenyekiti wa Kijiji cha Lamadi Wilayani Busega Mhe.Nzala Hezron...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTARATIBU WA KUSAJILI CHAMA CHA SIASA HUU HAPA.

Na  Bashir  Yakub.Haki ya  kusajili  na  kuwa  na  chama  cha  siasa  ipo  kwa kila  mtanzania.  Hata  wewe  unaweza  kuwa  na  chama  cha  siasa  ikiwa  utataka  kufanya  hivyo.  Wako  wanaofikiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO JANUARY 9,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI ATATUA MIGOGORO YA ARDHI PAPO KWA HAPO KWA WAKAZI DAR

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii.WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameamua kukutana na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wanamigogoro mbalimbali ya ardhi kwa lengo la...

View Article

GIGY MONEY USO KWA USONA NA BASATA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAKA AWASILI SINGIDA LEO,KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM SINGIDA KASKAZINI.

''Tutashinda na tutashinda kwa sababu mtaji wa ushindi tunao lengo ni lile lile kuhakikisha Singida kaskazini inaendelea kuwa ngome ya CCM''Alisema Shaka wakati akizungumza na Viongozi wa CCM...

View Article
Browsing all 110102 articles
Browse latest View live




Latest Images