Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

VITUKO, VITIMBI VYATAWALA UCHAGUZI WA NAIBU MEYA DAR

View Article



BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 03.02.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiwa ameongozana na baadhi ya maofisa wa Jeshi hilo alipofanya ziara katika bandari ya Dar es salaam, leo kwa lengo la kukagua magari 119 ya Jeshi hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAFURIKA USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOANI RUVUMA

Mamia ya Wananchi wa Wilaya za mkoa wa Ruvuma wamejitokeza kwa wingi kwenye vituo vya Usajili zoezi la Vitambulisho vya Taifa huku baadhi wakiwataka viongozi kusimamia utekelezaji wa agizo la Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIJAGE: NJIA NZURI YA KUFIKIA UCHUMI WA KATI NI UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema njia nzuri ya kufikia Uchumi wa Kati ifikapo mwaka 2025 ni kupitia Uchumi wa Viwanda jumuishi. Waziri Mwijage ameyasema hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWAKYEMBE AUNDA KAMATI YA NGUMI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) leo tarehe 3 Januari, 2018 amekutana na wadau wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini. Kikao hicho ni mwendelezo wa vikao vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampeni ya Uzalendo yapata Mapokeo Chanya

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe akiwapongeza wajumbe wa kamati ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzalendo kwa ubunifu waliyofanya katika siku ya uzinduzi uliyofanywa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM NA JAMUHURI UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

KIPA wa Timu ya Jamuhiri Ali Khamis akijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Mshambuliaji wa Timu ya Azam Benard Arthur akifunga bao la kwanza kwa Timu yake katika dakika ya 26 ya mchezo huo uliofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimfafanulia jambo Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MATUKIO MAKUBWA NA MADOGO YA JINAI KATIKA MKOA WA MBEYA

 Ifuatayo ni taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha Januari hadi Disemba, 2017. Taarifa hii inaonesha matukio makubwa na madogo ya uhalifu, matukio ya usalama barabarani, matukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA KIPINDI CHA MWAKA 2017

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, DCP Mohamed Mpinga.

View Article

KIPINDI MAALUM.MHE.RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA MAGAVANA WA BOT...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAJIZATITI KUONGEZA IDADI YA WALIPAKODI

Na: Veronica Kazimoto, 04 Januari, 2018, Dar es Salaam. Mwaka huu wa fedha wa 2017/18, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imedhamiria kuongeza idadi ya walipakodi kwa ajili ya kuisaidia nchi yetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA UGANDA YOWERI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya...

View Article


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI RUVUMA KWA ZIARA.

Waziri mkuu Kassim Kajaliwa amewasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku sita ambapo katika ziara hii waziri mkuu atatembelea halimashauri ya MBINGA,na NYASA na kuhitimisha katika Manispaa ya SONGEA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE AUNDA KAMATI YA KUPITIA KATIBA YA MCHEZO WA NGUMI.

Na Shamimu Nyaki-WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe ameunda kamati ya watu kumi na moja watakaopitia Katiba ya kusimamia mchezo wa ngumi  za kulipwa hapa nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WILAYA YA CHEMBA WAHAMASISHWA KUTUMIA FURSA YA KUJIPATIA KIPATO KWA...

Na Shani Amanzi, Wananchi wa Wilaya ya Chemba wamehamasishwa kutumia fursa ya mifugo waliyonayo katika kuwapatia kipato na siyo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani pekee kutokana na mabadiliko ya tabia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPANGO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA MTEULE WA BoT

 Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, akisaini kitabu cha wageni alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI

Na: Frank Shija - MAELEZOSerikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezifutia leseni za uendeshaji wa shughuli za kibenki Benki tano ambazo zimeshindwa kukidhi matakwa ya sheria ya Mabenki na...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images