Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA ELIMU YATOA VITABU 16985 KWA SHULE ZA SEKONDARI SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka(kushoto) akikabidhi vitabu vya matayarisho ya awali ya kuwaandaa wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa elimu ya sekondari (baseline course), kwa Afisa Elimu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA: UKAGUZI WA KINGA NA TAHADHARI DHIDI YA MOTO

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeundwa na linatekeleza majukumu yake chini ya Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji namba 14 ya mwaka 2007 (Fire and Rescue Force Act No. 14 of 2007). Majukumu makubwa...

View Article

MAPINDUZI CUP, FULL HIGHLIGHTS: YANGA 2-1 MLANDEGE"

View Article

Azam TV - MAPINDUZI CUP, FULL HIGHLIGHTS: SIMBA SC 1-1 MWENGE SC

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI MIWNGINE WA TEMEKE MIKOROSHINI AIBUKA NA KITITA CHA MILIONI 50 ZA...

  Katibu Tawala wilaya ya Temeke, Ndugu Hashim Komba akikabdhi  mfano wa hundi kwa mshindi wa mchezo wa bahati nasibu wa Tatumzuka  Enirisha Kilango mapema leo kwenye ofisi za Mkuu wa Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHOMBO KIMEKATA KATIKATI YA SAFARI

 Dereva wa chombo hicho akitafakari namna ya kufanya, baada ya kukata kiwese akiwa njiani kupeleka ng'ombe kwa Bosi wake.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESLB kuanza kuwasaka wadaiwa sugu 119,497 jumatatu ijayo

*  Wanadaiwa Tshs 285 bilioni*  Ukaguzi kwa waajiri pia kufanyikaNa Mwandishi WetuBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wiki ijayo (Jumatatu, Januari 8, 2018) inatarajia kuanza kuwasaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza katika Mkutano na wananchi wa Kata ya Kiwangwa kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu kuzungumza na Wananchi wa kata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA KANGI LUGOLA

​Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 3, Januari, 2018 amehani msiba wa Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola ambaye ni Mke wa Naibu Waziri wa Nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017)

 Bwana. Hamisi Kambona na Mkewe Bibi. Hawa Salimu wakiwa katika hafla fupi ya kuadhimisha miaka hamsini (50) ya ndoa yao iliyofanyika Disemba 30, 2017 nyumbani kwake Mkoani Morogoro. Bwana. Hamisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU MEYA JIJI LA MBEYA (CHADEMA) AAHIDI USHIRIKIANO NA WATEULE WA RAIS...

Na Mathias Canal, MbeyaIMEBAINIKA kuwa tofauti za kiitikadi baina ya madiwani katika Halmashauri nyingi nchini, zimekuwa ni kikwazo kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye tija kubwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YATANGAZA TAREHE YA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI MDOGO KATIKA JIMBO LA SIHA NA...

Subira Kaswaga – NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha mkoani Kilimanjaro na Kinondoni mkoani Dar es Salaam pamoja na Kata nne za Tanzania Bara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIBWEKA, VITUKO VYATAWALA UCHAGUZI NAIBU MEYA DAR

* Meya wa Temeke, Ubungo nusura kuzichapa Na Said Mwishehe, Blogu ya jamiiVITUKO, Vibweka, vitimbi na kila aina ya kejeli zimetawala wakati wa uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam.Ilikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA INATARAJIA KUSAJILI WAFANYABIASHARA WADOGO MILIONI MOJA NCHI NZIMA

Na Chalila Kibuda, GlobuMamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imesema kuwa wanatarajia kusajili walipakodi wapya milioni moja (1,000,000)  ambao watalipa kodi ya shilingi Bilioni 1.5.Kodi  zinazolipwa ndizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA YACHANGIA ASILIMIA 27 YA VIFO VYOTE NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yasema kuwa magonjwa yasiyo yakuambukiza yanachangia kiasi kikubwa katika vifo vyote vinavyotokea hapa nchini. Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AAGANA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) ANAYEMALIZA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO TABATA WALALAMIKIWA KUTELEKEZA NYAYA, NGUZO ZA MRADI KIFURU,

WAKAZI wa Kata ya Kinyerezi eneo la Kifuru kwa Kinana wameulalamikia uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kituo cha Tabata jijini Dar es Salaam kwa kitendo cha kutelekeza nguzo na nyaya za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola  kwenye msiba wa  mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Gerezani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO JANUARY 4,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images