Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110031 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA yanunua vifaa vya kisasa Bandari ya Mtwara

Na Mwandishi WetuMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imenunua vitendea kazi vipya na vya kisasa kwa ajili ya bandari ya Mtwara ili kuongeza ufanisi.Vifaa hivyo ambavyo tayari baadhi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Jengo jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali  ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MVOMERO ATOA SIKU NNE KWA WAFUGAJI KUONDOKA MAENEO YALIYOTENGWA KWA...

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh muhamed Utaly ametoa siku kumi na nne kwa wafugaji waliovamia maeneo yaliyotengwa kwaajili ya shughuli za kilimo katika kata ya Melela,kuondoka mara moja katika maeneo hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATIZO LA MAJI MKURANGA KUWA HISTORIA- NAIBU WAZIRI ULEGA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNaibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema suala la maji Mkuranga ni tatizo la muda lakini sasa matumaini yameanza kuonekana baada ya  benki ya Dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DROO RAUNDI YA TATU KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUCHEZESHWA KESHO

Droo ya raundi ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) inachezeshwa kesho Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32.Raundi hiyo ya Tatu itahusisha timu nne(4) za mabingwa wa mikoa timu tatu(3) za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

korosho zikiandaliwa vizuri tayari kwa kuhifadhiwa kwenye la Mkuranga

Watalaam wa zao la korosho  wakiangalia ubora wa korosho  na kuziweka katika madaraja ili kuingia  katika ghala la Mkuranga baada ya kuchambuliwa na kuandaliwa. Akina mama wa Wilaya ya Mkuranga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA

Kikao cha kamati ya Mashindano kilichokutana Desemba 29, 2017 kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kujadili mchezo namba 31 na 32 uliohusisha timu za Abajalo FC dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO

Mwili wa Mpendwa wetu Athumani Hamisi Msengi unatarajia kuzikwa hapo kesho Januari 5, 2018 baada ya Swala ya Ijumaa na Maziko yatafanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.Mipango ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 5, 2018

Kupata magazeti yote BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt . Ibrahim Msengi Ndugu wa Marehemu Athman Khamis Nyumbani kwake Sinza kijiweni jijini Dar es salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

Kamati ya nidhamu iliyokutana Januari 1, 2018 ilipitia ripoti mbalimbali za mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Novemba 2, 2017 na ule kati ya Azam Fc na Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPINA ATOZA FAINI YA MILIONI 180 VIWANDA VYA KUCHAKATA MINOFU YA SAMAKI

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewaamuru wamiliki wa viwanda vitano vya kuchakata minofu ya samaki vilivyoko jijini Mwanza kulipa faini ya shilingi milioni 180 ndani ya saa 24 baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WAPYA WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPIGWA MSASA

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata maadili ya utumishi wa umma na kuepuka vitendo vya rushwa.Rai hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE MAAFURU NYUMBA YA TEMBO YAZIDI KUVUTIA WATALII

Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo.Wanyamapori aina Tembo wakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP AKAGUA MIRADI KINONDONI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akikagua mradi wa maendeleo ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika Wilaya ya Kipolisi ya Magomeni jijini Dar es salaam, mradi ambao unatarajiwa kuanza kutumika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA LUSHOTO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUSAIDIA SEKTA YA AFYA JIMBONI...

Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi uliofanyika Kijiji cha Lwandai Kata ya Mlola wilayani Lushoto ambapo pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI AONESHA MAENEO YANAYOHITAJI UMEME CHALINZE

Na Said  Mwishehe, Blogu ya jamiiMBUNGE wa  Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete amemuonesha Naibu wa  Waziri wa  Nishati, Subira Mgalau maeneo yenye mahitaji maalumu ya kupatiwa nishati ya umeme....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DROO YA TATU YA KOMBE LA FA YACHEZWA, YANGA NA AZAM ZATUPWA UGENINI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiDroo ya tatu ya Kombe la Shirikisho Azam Sports HD imechezwa leo na timu 32 kupangwa. KMC vs Toto Africans Majimaji vs Ruvu ShootingNjombe Mji vs Rhino RangersKiluvya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM

 Mwili wa  Athumani Hamisi Msengi kumaliza ukiwa nyumbani kwake mara baada kuswaliwa Sinza Madukani. Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt.Jim James Yonas akizungumza jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI

Siku moja baada ya ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuagiza Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuhakikisha mabomba ya barabara ya Buguruni kwa...

View Article
Browsing all 110031 articles
Browse latest View live




Latest Images