Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA AJENGA ZAHANATI YENYE VIFAA VYA KISASA NA KUIKABIDHI SERIKALINI

 Mfanyabiashara, Emmanuel Mallya (katikati) akisaini hati na mkataba wa zahanati EB, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Michael Kilawila kwenye hafla hiyo ya makabidhiano. Kushoto ni mke wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMPA POLE KANGI LUGOLA KWA KUFIWA NA MKEWE

*Lugola atoa ratiba ya maziko ya mkewe, kuagwa Dar, kuzikwa MwibaraNa Said Mwishehe, Blogu ya JamiiRAIS Dk.John Magufuli ametia saini Kitabu cha Maombolezo na kumpa pole, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA, ASKARI WA MBELE VITANI - WAZIRI JAFO

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Arusha Dc wakati wa ziara yake katika Halmashauri hiyo. Waziri wa Nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUSHWA IMECHANGIA WAKANDARASI KUJENGA BARABARA CHINI YA KIWANGO-DC HAPI

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi akionesha sehemu   ya Udongo ambao umechanganyika na takataka zilizokuwa chini ya barabara ya Msasani CCBRT ,ambayo imekuwa ikimeguka kila siku kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA NA MKURUGENZI MKAZI WA UNDP KUANZISHA KIKOSI KAZI CHA...

Na Mwandishi Wetu - Dar es SalaamWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi. Natalie BOUCLY wamekubaliana kuanzisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA NA MKURUGENZI MKAZI WA UNDP KUANZISHA KIKOSI KAZI CHA...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi. Natalie BOUCLY wamekubaliana kuanzisha kikosi kazi cha pamoja cha...

View Article

WAZIRI MWIGULU ATOA TAARIFA YA MWAKA 2017 NA MIPANGO YA WIZARA 2018

“kwa mwaka 2017 matukio yaliyoniudhi zaidi ni tukio la kushambuliwa kwa askari polisi na wananchi maeneo kibiti na kushambuliwa kwa kiongozi mda wa mchana tena katikati ya mji wa serikali na watu...

View Article


TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KIBIASHARA NCHINI ARGENTINA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MILIONI 400 ZA OFISI YA RAIS – TAMISEMI KUJENGA NA KUKARABATI KITUO CHA AFYA...

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mufindi itatumia jumla ya shilingi Milioni Mianne (400) kujenga na kufanya ukarabati mkubwa wa kituo cha Afya Malangali, kilichopo kata ya Malangali Halmashauri ya Wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA YA WAKAZI DAR WAMUAGA MWANAHABARI JUSTINE LIMONGA

Dotto Mwaibale na Kulwa MwaibaleKatibu  wa Itikadi na Uenezi  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, ameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanahabari, Justine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA

 Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar Khamis Abdul-Rahman Msham akiwasilisha Takwimu za Bei kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 02.01.2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1

 Kaimu kocha mkuu wa Simba akishauriana jambo na wachezaji wake wakati wa mchezo wao na Mwenge wa Kombe la Mapinduzi katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA

 Sehemu ya waombolezaji wakiwa msibani eneo la Magomeni Jijini Tanga  Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Tanga,Burhan Yakub kushoto ambaye amefiwa na mkewe akiwa na ndugu jamaa wakati wa msiba huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kituo cha Afya Nduruma kupata miundombinu zaidi ya Afya - Mhe Jafo

Nteghenjwa Hosseah, Nduruma.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Mhe. Selemani Jafo ameagiza ujenzi wa miundombinu ya Afya unaoendelea katika kituo cha Afya Nduruma Wilayani Arumeru mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO JANUARY 3,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIJAGE ZIARANI MKOANI SIMIYU, AFUNGUA OFISI ZA SIDO NA KUKABIDHI ENEO...

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage afanya Ziara katika mkoa wa Simiyu leo tarehe 2/1/2018. Katika ziara yake Mhe. Mwijage amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WANAOELELEWA VITUONI WAASWA KUJITAMBUA

WATOTO wanaolelelewa katika vituo vya kulea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi wametakiwa kujitambua na kujikubali ili kutekeleza wajibu wao wa kupokea malezi mema. Aidha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MELI YA WATALII 570 YATIA NANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM.

Bodi ya Utalii Tanzania imeshiki kutoa taarifa za utalii wa Tanzania kwa watalii takribani 570 waliowasili kwa meli ya kitalii ya kampuni ya Nautical Majuro katika Bandari ya Dar es Salaam . Ujio wa...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images