Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110117 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Yapata Mamilionea Wapya wa Mwaka Mpya 2018

Meneja wa Wateja wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akiongea kwa njia ya simu na moja wa washindi wa promosheni ya Tumia Tigo Pesa na Ushinde iliyofanyika usiku wa kuamkia mwaka mpya katika ofisi za Tigo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAONGEZEWA MUDA WA MWEZI MMOJA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina(wa pili kushoto) akipiga chapa ng’ombe katika hitimisho la zoezi la upigaji chapa mifugo Kitaifa katika Kijiji cha Migato, Wilaya ya Itilima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Milion 6 zatolewa Mlimani City 2017

Meneja wa Dula la Phone One, Saiyed Shabi lililoko Mlimani City akichagua kuponi ya mshindi wa kwanza wa droo ya tatu ya promosheni ya fanya manunuzi MLIMANI city na ushinde katika msimu wa sikukuu...

View Article

AMSHA KIPAJI CHAKO NA ZAX 4REAL KWA KUFUNGA NA KUINGIA MWAKA MPYA WA 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KIFO CHA MTANGAZAJI LIMONGA JUSTINE LIMONGA WA UHURU FM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO JANUARY 2,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

VOA Swahili: Matukio muhimu duniani 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2018

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia wadau wote popote mlipo heri ya mwaka mpya 2018. Inawaombea amani,upendo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU MKUU WA KANISA LA METHODISTI NCHINI AFARIKI

Askofu Mkuu wa kanisa la Methodisti nchini, Dk. Mathew Byamungu, amefariki ghafla usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Taarifa iliyotolewa na katibu wa kanisa la Methodisti,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMEWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO CHA KOROSHO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wanaioishi kwenye mikoa ambayo zao la korosho linastawi wachangamkie kilimo cha zao hilo kwa sababu lina fursa nyingi.“Mahitaji ya korosho ni makubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM YAPONGEZA MIRADI YA AFYA TABORA.

Na Mwandishi wetu,Tabora Umoja wa Vijana wa CCM umesema umeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya afya inayotokana na ahadi katika ilani ya uchaguzi katika halmshauri za wilaya mji wa Nzega na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA BILIONI 1.2 ZIMETENGWA NA WAKALA WA BARABARA NCHINI TANROAD KWA...

ZAIDI ya shilingi bilioni 1.2 zimetengwa na Wakala wa barabara nchini TANROAD kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara kutoka Ulanga hadi Kurungu wilayani mkuranga katika Mkoa Pwani.Akizungumza na wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUCHIKA ATEMBELEA TPSC TAWI LA MTWARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika (kushoto) akiwasili chuo cha Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mtwara ikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT JPM AOMBOLEZA MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA

Mhe. Rais John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Alphaxard Lugola aliyefiwa na Mkewe Kamishna Msaidizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATOA KADI ZA CHF KWA WAZEE 4,000

*Ahimiza wakazi wa Ruangwa wajiunge na bima hiyoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa wajiunge na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kumudu gharama za matibabu bila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA FAMILIA YA NGUZA VICKING IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza wakiwasili viunga vya  Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LIMONGA JUSTINE LIMONGA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MNDOLWA AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO, AAHIDI KUUNDA KAMATI KUTAFUTA...

Na Bashir Nkoromo.Mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa ameahidi kuunda Kamati ya  kutathmini namna Jumuiya hiyo inakavyolishughulia kwa ufanisi tatizo la kuporomoka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBOVU MAGARI MAPYA YA POLISI WAISHITUA WIZARA MAMBO YA NDANI

 *Masauni aunda kamati maalumu kufanya uchunguzi upyaNa Said Mwishehe, Blogu ya jamiiNAIBU Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Masauni Yusuph Masauni ameagiza kuundwa kamati maalumu kuchunguza magari...

View Article

TRA YATOA UTARATIBU WA KUSAJILI WALIPA KODI WADOGO

View Article
Browsing all 110117 articles
Browse latest View live




Latest Images