Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT)...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wanachama wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kabla ya kufungua mkutano huo  Mkuu wa (CWT )katika ukumbi wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIWANI MTARAWANJE AAPA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KIJICHI

Na Chalila Kibuda, Globu ya jamiiDIWANI wa Kijichi, Eliasa  Mtarawanje amesema kuwa kazi kubwa ni kuwatumikia wananchi  wa kijichi bila kujali itikadi za vyama.Mtarawanje ameyasema hayo mara baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

washindi 12 droo ya pili Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC wapatikana

 Maofisa wa NBC wakiendesha droo ya pili ya Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Humudi Semvua kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Meneja Masoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Tanzania Mortage Refinance Company (TMRC) Yachangia Shilingi...

Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kifedha ya Tanzania Mortage Refinance Company (TMRC) imekabidhi msaada wa shilingi milioni nane kwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANASHERIA WA GGM MBARONI KWA KUMNYIMA NYARAKA NAIBU WAZIRI

Na Joel Maduka,Geita Mwanasheria Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) David Nzarigo amekamatwa na serikali baada ya kudaiwa kukutwa na nyaraka za serikali . Mwanasheria huyo amekamatwa kwa amri ya...

View Article


TIA YAJENGEA UWEZO WAHADHIRI WAKE KUFANYA TAFITI KUANDAA MACHAPISHO

View Article

Walimu Wapongeza Uamuzi wa Rais Dkt Magufuli Kuhusu Ulipaji wa Madeni.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA...

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akikagua ajali iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX, iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI MLIOCHAGULIWA WATUMIKIENI WANACHAMA WOTE KWA UADILIFU -KINANA

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimewataka viongozi wake wote waliochaguliwa hivi karibuni katika ngazi mbalimbali kuhakikisha wanawatumikia wanachama na wasio wanachama kwa uadilifu na uzalendo ili kuendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KUTENGUA MATOKEO YA UJUMBE WA NEC KUTOKA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Edmund Bernard Mndolwa ametengua ushindi wa Ndg. Ngingite Nassoro Mohamed ambaye alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKIMBIZI WAIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWAFUNGULIA SOKO LA BIDHAA ZAO

Mtaalamu wa Masuala ya Ukatili wa Kijinsia na Ustawi wa Jamii kutoka Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Ofisi ndogo ya Kibondo akizungumza na Wanawake wakimbizi wa Kambi ya Mtendeli iliyopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AONGOZA KUAGA MIILI YA ASKARI 14 WA JWTZ WALIOUAWA WAKIWA KWENYE...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Mwakyembe ateta na Wadhibiti wa Maudhui ya Luninga

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza taasisi zote zinazohusika na udhibiti wa maudhui ya luninga nchini kubuni mkakati wa pamoja wa kuboresha udhibiti.Dk...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA KONGWA AENDELEA NA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI KUSIKILIZA NA...

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deo Ndejembi, leo ameendelea na ziara katika kata ya Hogoro na vijiji vyote vitano vya Kata hiyo ambavyo ni Mkutani, Banyibanyi, Nyerere, Hogoro na Chamae. Hogoro ni kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ASHTUKIA MAKUSANYO YA HOSPITALI MISUNGWI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tamisemi Selemani Jafo ametilia shaka makusanyo katika hospitali ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza na kuagiza kusimamiwa vyema ukusanyaji mapato.Jafo ameyasema hayo...

View Article


TIA yahamasisha wahadhiri kuandaa tafiti na machapisho

Na Said Mwishehe wa Globu ya JamiiTAASISI ya Uhasibu Tanzania(TIA) imesema kuwa kuna umuhimu wa wahadhiri  kufanya tafiti na machapisho mbalimbali kwa ajili ya kufundishia wanafunzi wao.Kufanya utafiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI AWASILI MKOANI DODOMA NA KUPOKEWA NA MWENYEJI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


KIPINDI CHA BBCDIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAGIZA BENKI ZISIZOKIDHI VIGEZO ZIFUTIWE LESENI

Benny Mwaipaja, WFM, DodomaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania BOT kuzifutia leseni benki zote za biashara pamoja na benki za wananchi zitakazoshindwa kukidhi vigezo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii watakiwa kutengeneza kazi nzuri zitakazovutia Wadhamini.

Na Shamimu Nyaki – WHUSM.Serikali imewataka wasanii kutengeneza kazi nzuri zenye ubora zinazozingatia maadili ya Kitanzania ili kuwavutia wawekezaji wengi wanaotaka kudhamini kazi hizo katika kuziandaa...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images