Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VISIMA VYA MAJI VILIVYOCHIMBWA NA UNHCR WILAYANI KAKONKO KUWANUFAISHA...

Kisima Cha Maji Kilichochimbwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR)katika Kijiji cha Kasanda ambacho kitawanufaisha Wananchi wa Maeneo hayo na Wakimbizi waishio katika...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA.

 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti la mikono mirefu akikagua baadhi ya majengo ya kituo cha afya cha Nduruma  ambayo yapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO DECEMBER 15,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na Afisa Rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama mara baada ya kuwasili kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI...

Mbunge wa Jimbo la Nkenge leo amekabidhi vifaa vya michozo vyenye thamani ya shilingi milioni 36,080,000 za kitanzania kwa shule zote za sekondari zilizo ndani ya Wilaya ya Missenyi na timu za mpira za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe,Mohammed Abdalla Salum katikati akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Ofisi mpya ya Shirika la Ndege la ATCL Kijangwani Posta mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIODANGANYA RUZUKU YA UCHIMBAJI WATAKIWA KUREJESHA

Serikali imewataka wanufaika wa ruzuku ambao hawakuitumia kama ilivyokusudiwa warejeshe fedha walizopatiwa mara moja na vyombo vya ulinzi na usalama vihakikishe waliohusika kuidhinisha wanawajibishwa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exim Benki Tanzania yashinda tunzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA)

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha ushiriki Tuzo za Mwajiri Bora 2017 (EYA), Mkuu wa Rasilimali watu wa Exim...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof Lipumba ashangaa kuzushiwa ugonjwa

Na Baba Feilsal.MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi(CUF) Ibrahimu Lipumba amesema afya yake iko imara na hana tatizo lolote kiafya.Ametoa kauli hiyo  muda huu wakati akizungumza na Michuzi Blog kwa njia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TADB PAYS A FAREWELL TO MIVARF’S RAVI MALIK

The sole agricultural bank in in the country, Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) has paid a farewell to the Technical Adviser (Rural Finance) to Marketing Infrastructure, Value Addition and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA...

 Ofisa wa Masuala ya Maji na Usafi wa Mazingira  kutoka Shirika la  Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Nosakhare Boadi akizungumza wakati  wa Mkutano wa kutoa maelezo kwa ufupi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa pili kulia akiwa na maafisa wa Jeshi la Polisi wakati wa uzinduzi wa Zahanati ya Mkoa wa Katavi leo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE YA SH. MILIONI 60 KWA WAJUMBE WA...

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...

View Article


HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA NYUMBA ZA NHC IYUMBU ,DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI TAZARA WATOA ONYO KWA WAHALIFU

Na. Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limewaonya badhi ya watumishi wasio waaminifu wanaofanya kazi katika Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya wizi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI AMALIZA MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 10 CHAMWINO DODOMA

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi amefuta uamuzi wa viongozi wa Vijiji vya Membe na Mlimwa vilivyopo Kata ya Membe Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma wa kumpatia ardhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWAASA WANA CCM KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO,RAIS DKT MAGUFULI...

 Katibu MKuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza mapema jana kwenye mkutano wa Halmashauri kuu ya Wilaya uliokuwa ukifanyika jana katika kata ya Ilongero,Singida vijijini katika jimbo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA YANGA KUTOA MAAMUZI YA MFUMO WA UENDESHAJI KLABU

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa  akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam.Klabu ya Yanga inatarajia kuwa ya pili kuingia katika mfumo wa hisa kutoka ule wa umiliki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIJAGE :HAKUNA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema hakuna changamoto za biashara nchini bali kinachotokea ni kukosa elimu na taratibu za kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AHAMIA RASMI MKOANI DODOMA

 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Ofisi yake muda mfupi baada ya kuhamia rasmi Makao Makuu ya Nchi, Dodoma. Amefikia Ikulu ndogo iliyopo eneo la Kilimani...

View Article
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live




Latest Images